IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,878
- 7,526
POLE mshana hii ni fuel leak?Nimetoboa fresh tu mpaka Mbezi nikakutana na mengineView attachment 3593422
POLE mshana hii ni fuel leak?Nimetoboa fresh tu mpaka Mbezi nikakutana na mengineView attachment 3593422
Mshana kulikoni oil imemwagika?Nimetoboa fresh tu mpaka Mbezi nikakutana na mengineView attachment 3593422
Kwani 30 kwa 30 shilling ngapi huko kijijini?Mkirudi huku mamlaka za miji midogo mje na mafao ya kutosha.Hatutawagawia mashamba wala nyumba za urithi.Mkumbuke hayo,tunawapenda sana.
Kipande cha nondo kilichokuwa kimejikita ardhini😭 kimetoboa tankPOLE mshana hii ni fuel leak?
Hapana wese almost half tankMshana kulikoni oil imemwagika?
Hilo jiji la Dar es salaam limeshakuwa overpopulated.
Sasa hivi ni athari za overpopulation zinaonekana.
Watu wanarundikana Dar tu.
Mikoani wanapakimbia.
Mkifika tunapunguza hatua na bei inaongezeka maradufu.Mnasubiriwa tu wakuu.Kwani 30 kwa 30 shilling ngapi huko kijijini?
Aisee pole sanaKipande cha nondo kilichokuwa kimejikita ardhini😭 kimetoboa tank
Karibia njia zote. Muda wa peak hrs ni saa 1 asubuh had saa 3 na saa 10 jion had saa 2 usiku.Nimeepa hiyo road nikapita Goba nikapata msala😭
Bora moro road huko Goba ukikutana na kitu waweza acha gari.Nimeepa hiyo road nikapita Goba nikapata msala😭
Hilo jiji la Dar es salaam limeshakuwa overpopulated.
Sasa hivi ni athari za overpopulation zinaonekana.
Watu wanarundikana Dar tu.
Mikoani wanapakimbia.
Na bado population ikifika 15m.Hilo jiji la Dar es salaam limeshakuwa overpopulated.
Sasa hivi ni athari za overpopulation zinaonekana.
Watu wanarundikana Dar tu.
Mikoani wanapakimbia.
Asante sana mkuuAisee pole sana
Aisee pole sana
Nauza matenki ya magari.Nimetoboa fresh tu mpaka Mbezi nikakutana na mengineView attachment 3593422