KERO Stendi Ya Basi Msamvu Morogoro inalipisha pesa ya kuingia hata kama una tiketi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya
Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini.

Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi Kuingia Ndani Mpaka Alipie Tzs 300/= Kiingilio

Manispaa Ya Morogoro Hata Kama Mnakusanya Mapato Ila Hii Ni Dhuruma Kwa Watanzania Wote Wanaotumia Kituo Hicho
Tunachojua Msindikiza Abiria Ndiyo Anayepaswa Kulipa Ila Abiria Ameshalipia Kupitia Ticket Yake Ya Basi Husika

Mkurugenzi Ajitafakari Maana Hizi Tenda Mnazopeana Hamtaweza Kuongeza Mapato Kamwe Ni Vyanzo Kibudu /Dhuruma Kwa Wananchi.

Yaani Huu Siyo Ubunifu Ila Kero Kwa Abiria
 
Hata Mwanza stand zote same scenario
 
Hata ukienda stendi ya Magufuli ya Nanenane Dodoma utakutana na utaratibu huo huo. Uwe na tiketi, usiwe nayo! Ukiingia unalazimishwa kulipia 300.

Zamani wasafiri waliokua na tiketi waliruhusiwa kupita, ila kwa sasa hali ndiyo hiyo. Ahueni kwa wasafiri wanaotoka hawasumbuliwi kuonesha tiketi kama zamani.
 
Leo Nimeshangaa Sana Nilipofika Stendi Tajwa Baadaya
Mgeni Wangu Kumkatia Ticket Ya Basi Kuelekea Nyanda Za Juu Kusini.

Nilipofika Mgeni Aingie Stendi Naambiwa Pamoja Na Kukata Ticket Hawezi Kuingia Ndani Mpaka Alipie Tzs 300/= Kiingilio

Manispaa Ya Morogoro Hata Kama Mnakusanya Mapato Ila Hii Ni Dhuruma Kwa Watanzania Wote Wanaotumia Kituo Hicho
Tunachojua Msindikiza Abiria Ndiyo Anayepaswa Kulipa Ila Abiria Ameshalipia Kupitia Ticket Yake Ya Basi Husika

Mkurugenzi Ajitafakari Maana Hizi Tenda Mnazopeana Hamtaweza Kuongeza Mapato Kamwe Ni Vyanzo Kibudu /Dhuruma Kwa Wananchi.

Yaani Huu Siyo Ubunifu Ila Kero Kwa Abiria
Morogoro ni mkoa wenye rushwa na ufisadi wa hali ya juu!
 
Watanzania ni kama tumerogwa hizo tozo za Stand zote wangetoa tu ni ujinga wa kiwango cha juu kuwachaji watu wanaosafiri kwa lundo la Tozo lililopo kwenye mafuta na hayo magari...
Walitamani waweke tozo viwanja vya ndege wameona aibu kwa sababu viwanja vinaenda na standard za Dunia..
 
Back
Top Bottom