ZANGINA S. ZANGINA, KATIBU UENEZI CCM MKOA WA MOROGORO ALIPOKUWA IFAKARA AKIHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina alipokuwa akitimiza majukumu yake ya kuhamasisha wananchi wa Ifakara na...
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Mkoa wa Morogoro
HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO
Mkoa wa...
Wakuu,
Baada ya videos kusambaa mtandaoni kwamba kumekuwa na uandikishwaji mkubwa wa wanafunzi underage kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, sasa hivi kumeibuka shutma mpya dhidi ya zoezi hilo.
Akiongea leo asubuhi, kada huyu wa CHADEMA amefichua kuwa kuna baadhi ya vituo vya kujiandikisha...
Kataa au ukubali sehemu tajwa hapo juu kusema ukweli ni poa sana kuishi na kufanya makazi na watu wake wala hawana shida na wageni kabisa yaani ukiishi kwenye hiyo mikoa unapata ladha ya furaha ya maisha sio kama wale wa kanda ya kaskazini wamejaa ubinafsi na majungu tu na wivu kwa wageni...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Dadeki! Haya Maisha bhana kûna mambo ukiyakumbuka unabaki kucheka tuu.
Bhana! Bhana! Kûna Dili nilikuwa nafukuzia Mbeya. Sasa Dili lenyewe likabuma, Pesa ya Guest Ikawa imeisha, Pesa ya nauli haitoshi kwani nilikuwa nimebakiwa na elfu ishirini na Saba na nauli...
Wakuu nna habari ya kuwajuza kuhusu industry yetu ya burudani.
Ali Kiba wiki hii mwishoni ataenda kufanya show ya kuzindua duka la mavazi. Hongera sana Kiba kwa kuaminika na muuza duka na kukupa nafasi ya kupafomu mbele ya wateja wake.
Diamond ndani ya wiki hizi mbili amekuwa busy na show za...
Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kusambaza Umeme kwenye Vitongoji 166 vilivyopo Mkoa wa Morogoro baada ya kukamilisha nishati hiyo kwenye Vijiji 652 kati ya 669 sawa na Asilimia 97.5.
Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza kusababisha kutokea kwa magojwa ya Mlipuko.
Hili Dampo limekuwa ni kero sana, taka zinazagaa barabarani na...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Mafisa Manispaaa ya Morogoro huku kwetu kuna Dampo ambalo halitunzwi vizuri na uchafu wake umekuwa ukisambaa maeneo tofauti hali ambayo inaweza kusababisha kutokea kwa magojwa ya Mlipuko.
Hili Dampo limekuwa ni kero sana, taka zinazagaa barabarani na...
Nimekutana na wazawa wa Morogoro kutoka sehemu tofauti tofauti, wanaume kwa wanawake.
Watu hawa ni kawaida kukuta mume na mke hawajui kusoma na kuandika vizuri na wengine ni ukoo mzima, wanatatizo gani hawa.
Ndugu zetu?
Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kushiriki na wengine.
Ramani ya Mkoa wa Morogoro
HISTORIA YA MKOA WA MOROGORO
Morogoro ni mji uliopo...
4:18 PM
Mwili wa mtoto Rashmi Abdalah (5) ukiondolewa kwenye mashamba ya miwa wilayani Kilombero. Picha Happiness Mremi
Kilombero. Mwili wa mtoto Rashmi Abdallah (5), mkazi wa Kijiji cha Katurukila, wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, uliokutwa kwenye mashamba ya miwa wilayani humo, umezikwa...
Tukio hili limetokea wakati Mtendaji wa Kijiji cha Tuninguo, kata ya Mvuha, alipozuia Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita, asiwakaribishe wananchi katika ziara yake. Mtendaji alijitetea kwa kusema kwamba hakuwa na barua kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya (OCD), akizuia pia...
Ijumaa tarehe 20 saa 1:15 asubuhi haikuwa siku njema kwangu, nilifika stesheni ya SGR nikiwa na furaha ya kuanza safari ya kuelekea Dar es Salaam, baada ya kukaguliwa tikiti yangu nikaambiwa niweke begi kwenye mtambo wa ukaguzi kisha nikaenda upande wa pili wa mtambo kulipokea begi.
Nilipofika...
Yeye kwa kushirikiana na wahalifu wengine ofisini kwake, wametengeneza mfumo bila kuishirikisha taasisi ya serikali inayotengeneza websites na mifumo yote ya serikali yaani eGA.
Mfumo huo ambao hautumii kikoa (domain) ya serikali ya Tanzania yaani .go.tz, unatumia domain ya .us ambayo si...
MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani.
Chanzo: habarileo_tz
Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
MOROGORO IMEKOSA NINI?
Swali la dhati kabisa kujiuliza?
Magwiji wengi kwenye fani za siasa,michezo na muziki
MORO JAZZ BAND MBARAKA MWISHEHE aliiweka kwenye ramani Morogoro
Achana na BIFU la AFANDE SELE na PHILIP NYANDINDI A.K.A OTEN bifu la kugombea Ukubwa au ujogoo wa mji wa MJI KASORO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.