morogoro

  1. Roving Journalist

    Kamishina Aretas Lyimo: Wananchi wa Mkoa wa Morogoro na mikoa mingine, shirikiana na Mamlaka kupiga vita kilimo cha bangi

    MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na wananchi na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama imefanya operesheni maalum mkoani Morogoro kwa muda wa siku tisa katika vijiji vya Nyarutanga, Lujenge na Mafumbo vilivyopo wilaya za Morogoro vijijini na Kilosa. Katika...
  2. Tanki

    Hebu tuambiane ratiba za Minada au Magulio kwenye mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Dodoma n.k

    Habari wakuu, naamini hii itasaidia Kwa wafanyabiashara na wanunuzi. Hebu Leo tuambiane siku ambazo magulio / minada / hufanyika. Naomba nianze na Dar es salaam nilipo. Kivule Sokoni = Kila Jumanne Kitunda = Kila Ijumaa TABATA Kinyerezi (Mahakamani jirani na Kinyerezi park ) = Kila Jumatatu...
  3. Kyambamasimbi

    DOKEZO TANROAD Morogoro, Zebra ya Msamvu imefutika madereva wanatumia uzoefu kusimama Ili watu wavuke na mamlaka zimekaa kimya mpaka watu wagongwe?

    Ni mwaka sasa tangu kivuko Cha waenda kwa mguu kifutike eneo na msamvu stand ya Dodoma, madereva wa barabara kubwa kama hii wanatumia uzoefu kusimama kuwa hapa Kuna kivuko. Mamlaka zipo na zimekaa kimya au mpaka watu wagongwe? Tusiishi kwa matukio tubadilike.
  4. Cleverman324

    Mkoa gani nje ya Dar naweza kufanya kilimo cha mboga na matunda?

    Wasalam wadau, Naomba mawazo yenu. Binafsi nimekuwa mid town hunter kitambo Sina ujanja wa kutosha kuhusu haso za nje ya Dar, sasa naomba ushauri wenu kuhusu location nzuri ya haso za uhakika nje ya jiji la Dar kwa mtaji wa mil 7+ Natamani nijue eneo nitakapoweza kufuga na kufanya kilimo cha...
  5. Fazzah5x

    Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

    Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
  6. Mr George Francis

    Nakupenda sana kijijini kwetu Tangeni, Mzumbe - Morogoro

    NAKUPENDA SANA KIJIJINI KWETU Tulio wengi Tumetokea kijijini kama sio sisi basi wazazi wetu na kama sio wazazi wetu basi hata babu na bibi zetu. Sisi ni wale watoto wa tabaka la walio wengi. Yaani tabaka la watu masikini. Leo tupo mjini tunapambana. Maisha yetu bado sio mazuri na hatujafikia...
  7. TAWA

    KERO Watoza ushuru wa maegesho ya magari Manispaa ya Morogoro wanatoza ushuru kinyume na utaratibu

    Naripoti kutoka Morogoro manispaa: Kumekuwa na changamoto kwa wakazi wa manispaa ya Morogoro kutozwa ushuru wa maegesho ya magari na watu wa halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kinyume na utaratibu. Ukiegesha gari bila kujali katika maegesho rasmi ya Manispaa au popote pale anakuja mtu wa...
  8. DodomaTZ

    Mwimbaji Qaswida aandaa tamasha Morogoro kusaidia Yatima

    Mwimbaji Qaswida maarufu hapa nchini, Abdulhamid Fannan ameandaa tamasha la kusaidia Yatima na wengine wenye uhitaji litakalofanyika Oktoba 5 mkoani Morogoro. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Fannan alisema katika tamasha hilo atawashirikisha waimbaji mashuhuri kutoka nje ya Tanzania...
  9. B

    Naombeni msaada wa kuifahamu kikosa morogoro kiundani

    Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia. Kodi ya chumba ni bei ghani kule?? Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni?? Utafutaji wa kule ni wa aina gani'je biashara na kilimo zinalipa kwa huko?? Nina mpango wa kwenda kuishi mvumi kilosa...
  10. I

    The Chanzo: Kesi za Ubakaji na Ulawiti Zazidi Kuongezeka Tanzania. Mjini Magharibi, Morogoro, Arusha yaongoza orodha kwa kesi nyingi zilizoripotiwa

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Takwimu za Uhalifu na Matukio ya Trafiki, kesi za ubakaji na ulawiti zimeendelea kuongezeka nchini Tanzania. Mwaka 2022, kulikuwa na matukio 6,827 yaliyoripotiwa ya ubakaji, lakini idadi hii iliongezeka hadi 8,691 mwaka 2023. Mjini Magharibi inatajwa kuwa na matukio...
  11. Sean Paul

    Ushauri wangu kwa LATRA, RPC na RTO Morogoro

    Habari wana bodi. Mimi ni mdau wa sekta ya usafirishaji na katika observations zangu nimegundua tatizo na nashauri watajwa hapo juu katika mkoa wa Morogoro kama ifuatavyo. Manispaa ya Morogoro iliamua kuhamishia mabus madogo yote yanayokwenda nje ya mji yawe yanaanza safari zake stand ya...
  12. James Hadley Chase

    Kwanini Magomeni Mwembe Chai inafanana na Morogoro?

    Magomeni, Mikumi, Kimamba, Rudewa na Kidodi. Ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro. Mji wa Turiani, Dakawa na Mziha, ni miongoni mwa Kata zilizopo Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro. Na Matombo (yaani matiti ya mwanamke), ni sehemu ya milima iliyopo Wailaya ya Gairo...
  13. K

    Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga: Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako

    TAARIFA KWA WATEJA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASIKAZINI MABORESHO YA MITA ZIMEBAKI SIKU Kwa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Zifuatazo ni hatua za kufuata katika kuboresha mita yako HATUA YA KWANZA: Pindi unaponunua umeme kwa simu au wakala wa kuuza...
  14. donocean

    Karafuu (clove) kutoka morogoro.

    Kwa mahitaji ya karafuu kutoka morogoro tuwasiliane bei Tsh 22,000/= kwa kilo. Grade one isiyo na vumbi.
  15. Mohamed Said

    Morogoro Imempa Mtaa Salum Abdallah wa Cuban Marimba Cha Cha Band

    MTAA WA SALUM ABDALLAH WA CUBAN MARIMBA CHA CHA BAND Morogoro wamemuenzi mwanamuziki maarufu Salum Abdallah Yazidi kwa kumpa mtaa ambao yeye aliiishi katika uhai wake. Kumbukumbu yangu ya Salum Abdallah naivuta kuanzia mwaka wa 1957 niko Mtaa wa Kiungani na Sikukuu nyumbani kwa mama yangu...
  16. K

    KAA TAYARI: Wateja wa LUKU wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga. Kuna zoezi la Maboresho ya Mfumo

    KAA TAYARI: Ni zoezi la Maboresho ya Mfumo wa LUKU kwa wateja wa Mikoa ya Morogoro, Dodoma, Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga Sasa ni zamu yenu, tunawafikia hivi karibuni..! USIBAKI NYUMA Usiache kufuatilia Taarifa kwenye Mitandao ya kijami na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili...
  17. M

    Mwenye sunstone, kama unajua location au mtu. Zinahitajika

    Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze. Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
  18. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 4.14 Zakamilisha Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Morogoro

    BILIONI 4.14 ZAKAMILISHA MRADI WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MOROGORO Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ilipokea fedha jumla ya Shilingi Bilioni 4.14 (Tsh. 4,140,000,000) kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kutekeleza mradi wa Hospitali ya Wilaya katika Makao Makuu ya Halmashauri yaliyopo...
  19. Tuko

    Wananchi wafunga barabara Morogoro

    Wananchi wa Mayanga, kata ya Lubungo mpakani na kata ya Lukobe wamefunga barabara inayopita maeneo hayo leo tarehe 12 mwezi wa nane 2024 kuanzia saa mbili asubuhi. Hadi kufikia saa sita mchana hamna kiongozi aliyefika hali inayosababisha mkwamo wa vyombo mbalimbali vya usafiri.... Sababu ya...
  20. A

    KERO Viongozi wa Idara Morogoro hawajauelewa vizuri Mfumo wa PEPMIS, tunaumia sisi Watumishi wa chini

    Serikali ilinzisha Mfumo wa Public Employee Performance Management Information System – PEPMIS lengo likiwa ni kurahisisha utendaji kazi na kuweka uwazi kwa kuwa inajulikana wazi suala la Urasimu ndani ya Taasisi za Serikali zipo kwa kiwango cha juu. Kwa wenzangu ambao hawafahamu, Mfumo huu wa...
Back
Top Bottom