Wananchi wanaotegemea magari ya Intel yanayopita Morombo wanakumbana na changamoto kubwa nyakati za jioni kuanzia saa 12. Magari mengi hukataa kuendelea na safari hadi Intel na huishia kupakia abiria wanaokwenda Morombo pekee.
Hali hii imewasababishia usumbufu mkubwa wasafiri, wakiwemo...
Kwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri
Mambo niliyokutana nayo kwa morombo
Vumbi
Kuchafu mazingira kwa ujumla
Mazingira ya kupikia machafu
Vyoo vichafu
Pako disorganized
Mbuzi zinazochomwa hazina standard
Nikiwa Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.