morombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria tunaoenda hadi Intel kupitia kwa Morombo jioni tunateseka kwani magari huishia Morombo

    Wananchi wanaotegemea magari ya Intel yanayopita Morombo wanakumbana na changamoto kubwa nyakati za jioni kuanzia saa 12. Magari mengi hukataa kuendelea na safari hadi Intel na huishia kupakia abiria wanaokwenda Morombo pekee. Hali hii imewasababishia usumbufu mkubwa wasafiri, wakiwemo...
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Moshono, Njiro au Morombo (Arusha)

    Vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko Gharama ya 200k-250k kwa mwezi Ikiwa inajitegemea ni vyema zaidi Shida ni ya fasta sana tafadhali
  3. JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza nilienda kwa Morombo wanakochoma nyama nilikuwa disappointed sana ni pabaya

    Kwa Morombo jina kubwa ila ni sehemu mbaya sana kuna mda najiuliza inamaana sisi tuna allergy na mambo mazuri Mambo niliyokutana nayo kwa morombo Vumbi Kuchafu mazingira kwa ujumla Mazingira ya kupikia machafu Vyoo vichafu Pako disorganized Mbuzi zinazochomwa hazina standard Nikiwa Rais wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…