moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Ushahidi: usione wembamba wa reli, gari moshi hupita! Mwanamke hata awe mfupi kapewa uwezo mkubwa wa kuyamudu.

    Atakumudu vema tu,
  2. Moshi: Padri wa Kanisa Katoliki alaani walioiba sadaka kanisani

    Paroko wa Parokia ya Narumu, Kata ya Machame Mashariki, Padri Thomas Chuwa amelaani vikali katika ibada ya Misa Takatifu kitendo kilichofanyika katika Ibada ya Jumapili iliyopita ambapo watu / mtu wasiojulikana wameiba kapu la sadaka kanisani. Sadaka hizo zilikuwa ni majitoleo ya shukrani...
  3. Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  4. Moshi: Padri amshinda DPP kesi ya kubaka mwanafunzi na kuachiwa huru

    Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji. Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
  5. Mlioapa kutofanya mapenzi hadi ndoa mwaka 2001 pale uwanja wa mashujaa Moshi, mlifanikiwa?

    Ilikuwa siku ya Ijumaa, tarehe 01, desemba 2001, katika uwanja wa mashujaa mjini Moshi tulipokutanika wanafunzi wa kidato cha pili katika kilele cha siku ya ukimwi duniani. Shughuli zilikuwa nyingi pale lakini mojawapo ya mambo yaliyoweka alama mpaka kesho katika waliokuwepo ni kile kiapo cha...
  6. C

    Miji ifuatayo iandaliwe kuwa Majiji

    Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo. Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
  7. B

    “Benki ni SimBanking” kuongeza ujumuishi wa huduma za fedha, Moshi

    Wakazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro wameonekana kuipokea vyema promosheni ya “Benki ni SimBanking” ikiwa ni sehemu ya jitihada za Benki ya CRDB kuongeza ujumuishi wa Watanzania kwenye huduma za kibenki. Wakazi hao waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa promosheni hiyo mkoani Moshi walionyesha...
  8. F

    Juma Raibu atishia kumtwanga risasi diwani mwezake

    Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
  9. N

    Moshi Manispaa: Mwalimu wa kawaida ambae hana cheo hajapata kishikwambi. Manung’uniko yayawala

    Lile Lengo la Serikali la kumpa kila Mwalimu kishikwambi limegonga mwamba katika halmashauri ya Manispaa ya Moshi. Ambapo sasa mwalimu ili upate kishikwambi lazima uwe kwenye categori ya uongozi. Yani uwe eitha: 1. Mkuu wa shule 2. Second masta 3. Mwalimu wa taaluma (Academic master) 4...
  10. B

    Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Ofisi - Moshi Kilimanjaro

    Kazi: Msimamizi wa Ofisi Mahali: Moshi - Kilimanjaro Majukumu Kusimamia shughuli za ofisi Kutunza hesabu za ofisi Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali Sifa Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B' Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
  11. Tusipojidhatiti mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Moshi vijijini, Marangu kutakuwa kitovu cha ushoga

    Sidhani kama nitaeleweka ila naomba ikae hivyo. Ni juzi tu vijana wa kiume wa umri wa zaidi ya miaka 30 madereva bodaboda na mwingine kinyozi walikutwa wanalawitiwa, walivamiwa na kupigwa. Kama haitoshi huwezi amini siku 35 zilizopita watoto kumi na mbili walibainika kuwa wanaingiliana wenyewe...
  12. Moshi: Waliotuhumiwa kuua walinzi wa Asante Tours na kupora Tsh. Milioni 65 washinda kesi

    Walioachiwa huru ni Erick Teete, Fadhili Mohamed, John Daniel, Nassoro Nassoro, Paschal Mushi, Ibrahim Mkindi, Robert Massawe na Juma Hamis Ramadhan. Uamuzi huo umetolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Moshi dhidi ya watuhumiwa walioshtakiwa kwa mauaji ya walinzi wa kampuni ya Utalii ya Ahsante Tours...
  13. Moshi ndiyo wanaojua kusherekea Christmas na kuitendea haki

    Kuna utofauti Mkubwa sana kulia Christmas Dar na Moshi Tuanzie week ya maajilio ambao inaanzia jumapili ya mwisho ya November, ukiwa Dar makanisa hawana mda hata wa kuimba nyimbo za maajilio ni mwendo wa mapambio, vurugu vurugu, hakuna utaratibu. Mfano nyimbo karibu zote za Boney M. Kams First...
  14. Wachaga kwenda Moshi December ni ishara ya upendo na mshikamano

    Ukitaka kujua Moshi kuna watu njoo mwezi huu, mitaa inameremeta kama maua. Huu utamaduni unaashiria wachaga ni kabila lenye upendo na mshikamano, na pesa ipo pia. Kipindi nasoma same boys watu wa kanda ya ziwa walikuwa hawaendi makwao likizo wanajibana kwa watu, kuja kuchunguza ndo nikaambiwa...
  15. M

    MSAADA: Gari kutoa moshi mweupe (mawingu) baada ya kuwashwa

    Wakuu habari za majukumu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nina Gari spacio new model nilipata Ajali nikapinduka nayo matairi juu baada ya kuparamia gema, haikuchukua dk kumi nikasaidiwa Gari tukainyanyua. Engine haina mbinyo wowote isipokuwa rejeta imesogea kidogo na iliingiwa na udongo...
  16. Nani kaenda Christmas Moshi?

  17. S

    Je, ilikuwa bora kununua ndege badala ya mabehewa na vichwa ili kufanya safari za treni kwenda Mwanza, Kigoma na Moshi?

    Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
  18. Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
  19. C

    BASI NZURI ZA DAR - MOSHI

    Happy Sunday🖐🥰 Wadau naombeni ushauri basi nzuri za Dar -Moshi. Nategemea kusafiri next week na sijawahi kufika Moshi. Naombeni ushauri wa basi ambazo ni nzuri,luxury,good customer care na mwendo rafiki kwa maisha ya abiria ili safari yangu ya kwanza kuelekea kaskazini isiwe ya majuto. T. I. A🙏
  20. Tetesi: Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum

    Katika hali isiyo ya kawaida, mwalimu wa shule ya msingi Moshi Manispaa amewekwa lokapu kituo kikuu cha polisi Moshi na afisaelimu sekondari Moshi Manispaa, bila mwajiri wake ambaye ni Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kujua mwalimu aliko kwa muda wa siku mbili. Kwa maelezo ya mwalimu huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…