moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndagullachrles

    Waliovamia uwanja wa ndege Moshi wapewa siku saba kuondoka

    Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameagiza kuondolewa mara moja kwa wananchi waliovamia na kujenga nyumba za kuishi ndani ya eneo la la uwanja mdogo wa Ndege uliopo Soweto Manispaa ya Moshi. Agizo alilitoa Jana mjini Moshi baada ya kukagua upanuzi wa uwanja huo unaotarajiwa kigharimu...
  2. Lexus SUV

    Kiwanda cha MO Dewji Moshi kipo/kinajengwa wapi?

    Habari wakuu, napenda ulizia kuhusu jambo kuu hapo juu kwa anaejua anitaarifu please.
  3. Black Butterfly

    TAMISEMI itusaidie Walimu tuliopandishwa Madaraja Halmashauri ya Moshi tupewe Barua za Uthibitisho

    Naomba kufikisha kero yangu ambayo inanigusa binafsi pamoja na Watumishi wa Kada ya Ualimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi huku Mkoa wa Kilimanjaro. Sisi Walimu ambao tulipandishwa madaraja tangu Mwaka 2021 hadi kufikia leo ninavyoweka malalamiko haya hatujapewa Barua za Uthibitishi wa...
  4. M

    Wanafunzi wa Chuo cha Ushirka Moshi (MoCU) level ya Diploma kushindwa kufanya udahili kutokana na kucheleweshwa kwa matokeo ya supplementary

    Uongozi wa Chuo kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) umechelewesha kutoa matokea ya supplementary kwa wanafunzi wa level ya Diploma na pia kutuma matokeo hayo NACTE kwa ajili ya utambuzi, Hivyo kusababisha zaidi ya wanafunzi 200 kushindwa kufanya maombi ya elimu (Degree) kwa mwaka wa masomo 2023...
  5. T

    Mangariba wawili maarufu kwa ukeketaji vichanga huko Moshi Kilimanjaro watangaza kustaafu

    Mangariba wawili mashuhuri mkoani Kilimanjaro, wanaosifika kwa kukeketa vichanga na wasichana, wamesalimu amri na kutangaza kuachana na kazi hiyo, baada ya kubanwa na Kamati ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA) katika Kijiji cha Mawala, Wilaya ya...
  6. Teko Modise

    Hivi kuna barabara ina trafiki wengi kuzidi Arusha - Moshi?

    Nimekuja kaskazini, kila baada ya Kilomita 5 unakutana askari wa usalama barabarani. Yaani ukitoka na gari private Moshi mpaka Arusha ni mwendo wa kunyata (kutembea polepole) barabara ina matrafiki wengi sana. Huwezi kutoboa lazima usimamishwe. Hivi kuna barabara nyingine yenye trafiki wengi...
  7. Lexus SUV

    Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  8. peno hasegawa

    Tetesi: Waziri Jerry Silaa kuzuia ujenzi kituo cha mafuta, eneo lilikokuwa open space Moshi sasa lina Hati mmiliki

    Waziri Jerry Silaa, chambua kwa kina taarifa Za eneo hilo. Nikukumbushe tu kuwa eneo hilo lilikuwa open space na sasa lina hati kamili. Mwisho panajengwa kituo cha mafuta.
  9. ndagoTV

    Car4Sale Gari linauzwa Moshi

    Gari linauzwaa moshi Million 5, ina kila document muhimu inayohitajika. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0628239332
  10. Bushmamy

    Moshi: Kijana akutwa amefariki dunia shambani huku mwili wake ukiwa hauna nguo

    Kijana mmoja ajulikanae kwa jina la Emmanuel Alex, anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28, amekutwa amefariki dunia shambani huku mwili wake ukiwa hauna nguo yoyote. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Orori kata ya Machame Mashariki, limezua taharuki miongoni mwa watu katika eneo hilo huku...
  11. al-baajun

    Wakuu msaada sehemu ya kuwapeleka wageni wangu Moshi

    Habari wadau, Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo). Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya...
  12. Lady Whistledown

    Moshi: Mlinzi aliyehukumiwa kifo kwa Mauaji ya Mwanafunzi wa Sekondari ya Scolastica aachiwa huru

    Mahakama imemuachia huru aliyekuwa mlinzi wa Shule ya Sekondari Scolastica, iliyopo mji mdogo wa Himo wilayani Moshi, Hamis Chacha (34) aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kumuua kwa makusudi mwanafunzi wa shule hiyo, Humphrey Makundi. Chacha ameachiwa huru baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama...
  13. Boss la DP World

    Moshi: Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM adaiwa kuwatapeli Vijana waliotaka connection za ajira Serikalini

    Hii ni video ya mmoja wa waathirika akisimulia mkasa huo. Kama ni kweli TAKUKURU fanyeni kazi yenu kwa watoaji na wapokeaji https://youtu.be/0FShyxkzsLY?si=ZnTW2Uee3bRbNQks
  14. Jamii Opportunities

    Electrical Technician at Bonite Bottler Ltd

    Position: Electrical Technician Qualification Applicant should be a holder of VETA level lll/Diploma in Electrical Engineering from a recognized Institution. Key skills & Abilities: Ability to maintain all the electrical equipment to acceptable and approved standards for efficient operation...
  15. EINSTEIN112

    TANZIA 10 wafariki baada ya lori la Polisi kugongana na kirikuu Kilimanjaro

    #BREAKINGNEWS: Watu 10 wamefariki dunia na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya Lori la Polisi kugongana na gari dogo la mizigo (KIRIKUU), katika eneo la Datch Conner, Siha mkoani Kilimanjaro. Mkuu wa Wilaya ya Siha Christopher Timbuka amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku akibainisha kuwa...
  16. MK254

    Daraja la Crimea laghubikwa na moshi mkubwa

    Kugusa hili daraja huwa kama umegusa nafsi ya Putin, na ndio mojawapo wa sababu Ukraine huwa wanalipiga shaba sana..... Video shared on social media on Saturday shows smoke coming from the Kerch Bridge linking Moscow-occupied Crimea with Russia's mainland. The bridge has been the scene of...
  17. Jaji Mfawidhi

    DOKEZO Ufisadi Moshi: Wajenga na kugawa maeneo ya wazi Manispaa ya Moshi. Meya, Madiwani wahusishwa

    Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika. Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo, alipoingia JUMA RAIBU[Meya aliyeondoshwa] alianza kutoa vibali vya ujenzi katikati ya mji kujenga nyumba...
  18. Lexus SUV

    INAUZWA Subwoofer inauzwa, Moshi- free derivery within Moshi town

    🙏🏾
  19. Fortilo

    Moshi, The most underrated city in Tanzania. Angalia maoni haya mzungu, ni safi kama Kigali, ameipenda kuliko Nairobi

    Wakuu umofia kwenu, Pengine ukimya wa watu wa Moshi na roho yao ya Maisha popote ndio inafanya wasidai moshi yao kama ilivyo. Angalia mawasiliano ya huyu mzungu anavyoisifia Moshi. Kwamba anashangaa kwanini inasifiwa Arusha pekee na sio Moshi? Serikal yenyewe inapeleka mirad yote ya...
  20. peno hasegawa

    Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake, Abuu Shayo, wakati akiendesha kikao cha Kamati ya Mipango Miji na Ardhi katika manispaa hiyo. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi, wakati kamati hiyo...
Back
Top Bottom