moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Kuanzishwa kwa kodi ya sherehe Moshi ni pigo jingine kwa wananchi wa wilaya hiyo.

    Mnamo tarehe 9/05/2024, Halmashauri ya Manispaa ya Moshi ilitangaza kuanzisha kodi mpya ya sherehe katika wilaya hiyo. Kodi hii imeelekezwa kulipwa na wenye sherehe (waandaaji wa shughuli), jambo ambalo limezua mjadala mkali miongoni mwa wakazi wa wilaya hiyo. Wakazi wanahoji mantiki ya mwenye...
  2. A

    KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  3. Ili ufanye harusi au sherehe Moshi lazima ulipe Kodi za Manispaa Tsh. 230,000

    Manispaa ya Moshi chini ya Sheria ndogo za (ada na ushuruj ya Mwaka 2019, Tangazo in Serikali Na. 148 la Tarehe 15/02/2019, imeainisha ada na tozo mbalimbali katika kuendesha sherehe kwenye kumbi na maeneo ya starehe. Mchanganuo wa ada na tozo hizo ni kama ifuatavyo; Tshs. 60,000.00, Kibali...
  4. Usafi wa mazingira umeshindikana Manispaa ya Moshi, wananchi walalamika

    Wakazi wa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kuzagaa kwa takataka katika maeneo yao kwa zaidi ya miezi mitatu sasa pasipo kuzolewa licha ya kutozwa ushuru wa uzoaji wa taka hizo Majibu Kwa njia ya simu kutoka Moshi, ni ya uongo na hayaba mshiko. KAZI yake kukusanya michango...
  5. IT specialist anahitajika Moshi Kilimanjaro

    Kama umesoma IT jaribu bahat Yako hapa
  6. Mwalimu ajinyonga huko Moshi kisa riba kubwa ya mkopo

    Mwalimu wa shule ya sekondari ya Ebenezer iliyopo Sango mkoani Kilimanjaro, Anthony Sulle amefariki dunia kwa kujinyonga. Habari kutoka Moshi zinadai kuwa kabla ya kujinyonga marehemu aliandika ujumbe unaoelezea kisa cha yeye kuchukua maamuzi hayo magumu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo...
  7. Mh. Morris Makoi mwenyekiti wa Halmashauri Moshi , mbunge wako Prof Ndakidemi anakuona unachokitafuta Jimboni kwake.

    Kila siku Morris Makoi, uko Jimboni kwa Prof Ndakidemi!! Umesahau kuwa mbunge wako Prof Ndakidemi bafo ni mbunge halali na muda wake bado. Makoi, CCM na vyombo vya usalama wanakuona na wanakusalimia.
  8. Profesa Ndakidemi kuipa Milioni 5 familia iliyopoteza watu wanne kwenye mafuriko Moshi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini (ccm),Profesa Patrick Ndakidemi ameahidi kutoa shilingi Milioni tano familia iliyopoteza watu wanne ambao walifari Dunia baada ya nyumba yao kuangukiwa na kifusi baada ya mvua kubwa Iliyonyesha usiku wa April 25 Mwaka huu . Mvua hiyo ambayo ilileta uharibifu...
  9. Waethiopia haramu 41 wakamatwa moshi kilimanjaro ati dreva amekimbia aisee??Why

    Majuzi niliongelea swala moja la kushangazaaa Kwa nn kila wanapokamatwa wasomali ama waethiopia atuambiwi dreva na waliohusika wamekamatwa?? Mjini moshi waethippia 41 wamekamatwa wakitokea kwao Maswali haya yanatishia mipaka yetu sana 1.Mkuu wa immigration boda nambanga je hawa wamepitia...
  10. Profesa Ndakidemi awakimbilia wahanga wa mafuriko Moshi

    MBUNGE NDAKIDEMI AWAKIMBILIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KATIKA KATA ZA MABOGINI NA ARUSHA CHINI. Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi ametoa pole kwa Wananchi wa Kata za Mabogini na Arusha Chini ambao nyumba na mazao yao yameathirika kwa mafuriko yaliyotokea katika Kata hizo...
  11. Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  12. Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe (Moshi) unaendelea

    Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma. Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma...
  13. A

    Pre GE2025 Victor Tesha karibu jimboni Moshi (V)

    Jimbo linahitaji Kiongozi mwenye maono. Nawe Ni mtu sahihi NB: Victor Tesha ni makamu Rais wa Federation of Miners Association of Tanzania maarufu kama FEMATA na pia ni Managing Director wa Isale Investment Group.
  14. Old Trafford inafuka moshi

    Si muda mrefu taarifa zitatolewa juu ya madiliko makubwa kuanzia kocha hadi wachezaji. Mmiliki mwenye hisa kiduchi anasadikika kuchukia timu nzima na hasira hizo alikusanya siku alivyoona timu yake ikihangaika kuifunga tinu iliyoko mkiani ya kocha wa aliyekuwa akikipiga huko man City. Mzee huyo...
  15. F

    Maandamano CHADEMA: Moshi kwafukuta, CHADEMA yazizima, kweli watu wamechoshwa na CCM na serikali yake

    CHADEMA wamefanikiwa sana hapa Moshi kusimamisha mji mzima, ni matarumbeta, makelele, hamasa kila kona ya mji. Watu wamesimamisha shughuli zote na kuunga mkono juhudi za CHAMA. Asante sana wana Moshi mmeonesha njia!
  16. Ibra Line kusaidia wahanga wa mafuriko Moshi

    Mfanyabiashara maarufu mjini Moshi, Ibrahim Shayo 'ibra Line', ameguswa na mafuriko yaliyosababisha athari kubwa kwa wananchi wa Kata za mji mpya na Msaranga na kuahidi kuwasaidia vifaa mbalimbali ikiwamo mashuka na magodoro. Usiku wa kuamkia Leo mvua kubwa iliyonyesha imeziacha familia nyingi...
  17. Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Kimeumana hapa near planet Lodge Kin'gori mafuriko, hakuna gari kupita kwenda Moshi wala kuja Arusha, maji yameziba njia eneo la King'ori.
  18. Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Uwekezaji Katika Manispaa Ya Moshi

    Ada za kuomba kibali cha ujenzi katika Manispaa ya Moshi. (i) Maombi mapya ya kibali cha ujenzi cha;- ✓ Makazi ni Tshs.400 kwa mita mraba moja. ✓ Makazi na biashara ni Tshs.500 kwa m². ✓ Viwanda ni Tshs.400 kwa mita mraba moja. ✓ Taasisi ni Tshs.300 kwa mita mraba moja. ✓ Vituo vya mafuta...
  19. Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, amelala na kusinzia, sasa wezi wameiba na solar na taa takribani betri 50 na solar panels 30 na taa zimeibiwa na zinaendelea kuibiwa kwenye Barabara ya Nyerere (Nyerere Road) kuelekea kiwanda cha soda cha Bonite. Hii ni zaidi ya hatari na tukiendelea kukaa...
  20. Mwabukusi na Godbless Lema Watikisa Moshi Mjini

    Mtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…