moto

  1. JanguKamaJangu

    Haiti: Waandishi wauawa kwa risasi wakiwa kazini, miili yao yachomwa moto

    Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu. Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
  2. M

    Je, ni sawa kumpelekea moto mtoto wa kaka yake na bibi?

    Bibi yangu mzaa mama ana kaka yake mdogo ambaye ana binti mzuri sana na nahisi tunapendana, kwa ufupi ni binamu yake mama. Je, kiafrika naruhusiwa kumpelekea moto au ni mama yangu mdogo?
  3. JituMirabaMinne

    INAUZWA GPS trackers za Vyombo vya moto, TV, Computer, n.k. Zinauzwa

    Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k.. Zina sifa zifuatazo. 1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako. 2. Ina Live location na live tracking. 3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa. 4. Inahifandhi...
  4. figganigga

    Mwanza: Hoteli inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2

    Salaam Wakuu, Hotel ya new Mwanza inawaka moto, Zimamoto wameshindwa kuzima kwa masaa 2. Moto umeshika kasi ==== Breaking news Klabu maarufu kama Club Dallas iliyoko katika hotel ya Mwanza Hotel inateketea kwa moto muda huu huku chanzo cha moto hup kikiwa hakijajulikana. Mkuu wa mkoa wa...
  5. JanguKamaJangu

    Moto unateketeza nyumba Ubungo Kibo muda huu asubuhi ya Agosti 30, 2022

    Hapa eneo la Ubungo Kibo(Msewe) mkoani Dar Es Salaam kuna nyumba inateketea kwa moto na hakuna msaada wowote licha ya watu mbalimbali kujaribu kuwasiliana na wahusika wa zima moto. Watu wengi wanaoishi katika nyumba hii ya upangaji wameshindwa kutoa mali zao ndani ya nyumba, baadhi yao wapo...
  6. F

    Kule Kenya mambo ni moto

    Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi alidai kwa alishinikizwa na deep state kubatislisha matokeo ya Urais. Hata hivyo hali ya hewa...
  7. Poker

    Mbabe wa dunia yote US atuma meli za kivita 2 huko Taiwan. Ole wake mtu akohoe cha moto atakiona

    Mbabe wa dunia yote nchi kubwa inayoogopeka na kila nchi duniani imetu.a meli 2 za kivita huko Taiwan. Na katika ujumbe wao wameonya ole wao China ijaribu kurusha kombora wataita maji mma! Na wamesema watazidi kuleta vifaa zaidi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuipoteza china kwenye uso wa...
  8. Championship

    Mikel Arteta anaenda kuwa kocha bora wa nyakati zote. Arsenal imekuwa moto wa kuotea mbali

    Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kocha huyu kutengeneza upya timu iliyokuwa imeshapoteana. Mpaka wakati huu tayari ameshinda michezo minne mfululizo katika ligi ya Uingereza (EPL) na inatarajiwa kwamba katika miaka ijayo atabeba makombe yote ambayo timu yake itashiriki. Timu mbalimbali...
  9. figganigga

    Mbeya: Magari yanateketea kwa moto kijiji cha mwale Chimala

    Moto mkubwa unawaka muda huu kijiji cha mwale Chimala mkoani Mbeya malori ya mafuta yanateketea na moto chanzo cha ajali bado hakijulikani. Malori ya mafuta yanawaka moto ni balaa Ni pale hapo stendi mpya karibu na dukani kwa Mama Pipo. ===== MOTO WATEKETEZA MAGARI 6 NA NYUMBA 4 MBEYA...
  10. JanguKamaJangu

    Msimamo Ligi Kuu baada ya Mzungu wa Simba, Dejan Georgijevic kuwasha moto (20/08/2022)

    Hivi ndivyo msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Simba kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, Agosti 20, 2022
  11. daraja la kigamboni

    Motorola Moto X30 Pro: Simu bora ya mwaka huu

    Motorola Moto X30 Pro Camera 200 MP Selfie camera 60 MP Screen 6.7" Fast charger 0-100$ 19 minutes Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
  12. Mboka man

    Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

    Ninavyozungumza hivi sasa amani ndani ya familia baba mkwe imeshavurugika hakuna tena maelewano kati ya binti na baba mkwe lakini pia kati ya baba mkwe na mkwe chanzo cha haya yote ni mahusiano yangu na binti Na chanzo cha haya yote ni mahali ambayo nilitoa kidogo sana tofauti na matarajio ya...
  13. Roving Journalist

    Wazazi wakamatwa kwa kuwajeruhi kwa moto watoto wao wakiwatuhumu kuiba Mahindi

    Wazazi wawili Yohana Josephat (40) na Lucia Michael (30) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu baada ya kuwajeruhi watoto wao kwa kuwachoma na moto sehemu mbalimbali za mwilini baada ya kuwatuhumu kuiba mahindi debe moja. Watuhumiwa ni Wakazi wa Kijiji cha Yitwimilaa, Kata ya Kiloleli...
  14. BARD AI

    Moto wa Msituni waua watu 26 Algeria

    Kamel Beldjoud ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo amesema watu 24 walipoteza maisha kwenye eneo la El Tarf mpakani mwa Tunisia na vifo vingine viwili vikitokea Kaskazini mwa Algeria. Taarifa zaidi zinasema hadi kufikia Agosti 17, takriban watu 350 walihamishwa kwenye Mikoa...
Back
Top Bottom