Hapo juzi mataifa ya G7 yakiongozwa na Marekani yalipitisha azimio la kuweka ukomo wa bei ya mafuta ya kutoka Urusi.
Katika mpango huo nchi hizo zimekubaliana kuwa bei ya mafuta ya Urusi isizidi dola 60 kwa pipa moja..ikizidi hapo mataifa hayo wamesema hawawataki mafuta ya Urusi.
Katika...
Habari wadau,
Naomba ushiriki katika ujenzi wa afya, Dunia hii malaika ni watu na si vinginevyo, kila mmoja wetu kaumbwa kama malaika wa pekee, niwape hili moja la kupunguza mwili na Uzito na kuondokana na tabia ya kula kula kila wakati.
Anza zoezi la kutumia kahawa iliosagwa vizuri ya dukani...
Ama kweli Binadamu tunapanga lakini na Mwenyezi Mungu nae pia anapanga lake / yake vile vile.
Kudadadeki Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Usiku huu kwa Aibu waliyoipata kwa Kufungwa na Ihefu FC huku kwa Kujiamini kabisa kuwa Unbeaten Record yao itaendelea wanapanga Kuchoma Moto Jezi zao...
Kamishna William Mwakilema
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam.
Kitengo cha usalama cha TANAPA...
Wanafunzi watatu wa shule ya msingi Buhangija na kituo cha elimu maalumu Buhangija Manispaa ya Shinyanga wamepoteza maisha, baada ya bweni la wasichana walilokuwa wamelala kuungua moto usiku wa kuamkia leo huku wengine wakinusurika baada ya kuokolewa
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
KABAKA MITANO TENA MGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI UWT TAIFA
Wajumbe kwa kauli Moja wamekubaliana kumchagua kwa awamu nyingine (MITANO TENA) ndugu Gaudensia Kabaka ili kuendeleza Yale mazuri aliyoyaanzisha ili yaweze kukamilika na kuyasimamia yale yaliyokamilika. Kauli hiyo imekuja siku chache...
Kama ni mipango iliopangwa basi imepangika kweli kweli,
vita ya Syria ilianza kwa mwanafunzi kuchora kwenye bweni la shule akimtuhumu Asad, polisi wakamkamata, watu wakaandamana aachiliwe, maandamano yakageuka vita.
Sasa ni zamu ya Iran
- Raia wamesimama nje bila msaada wakisubiri hatma na huruma ya moto.
Kuna haja ya kuondoa hivi viwanda vikubwa kwenye makazi.
Kue na point za zimamoto mahali ambapo kuna makazi ya raia ila hizi pointi ziwe na maji pia
Tuandae raia kuyakabili majanga kama moto , mafuriko n.k
UPDATE
Fire...
Mahakama ya Juu imewaachia huru wanaume 3 waliokutwa na hatia hiyo ikiwemo kumchoma moto msichana wa miaka 19 mwaka 2012.
Kwa mujibu wa Majaji 3 wa Mahakama hiyo wamesema kesi ilikuwa na upungufu mkubwa wa ushahidi wa uhakika, thabiti na wa wazi huku wakimlaumu Jaji aliyewafunga wanaume hao...
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua?
Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli?
hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
Salaam wataalamu...
Nahitaji msaada ndugu zangu, Mwanangu wa kike aliwahi kulazwa Mnyamala kwa Pneumonia na anaemia akiwa na miezi 5 takriban.
Akatibiwa akapona ila hili TATIZO LA KICHWA KUWA CHA MOTO LIKIWA LIMEPUNGUA KIDOGO NA ALISAFIRI KWENYE BARIDI AKAPUNGUA KIASI SIO KUISHA KABISA...
Watoto wawili Meshack Ndimbwa (6) na Agrey Mgimba (2) wamefariki dunia na mmoja kulazwa baada ya kuungua na moto wakiwa wanacheza kwenye banda la kuku kijiji cha Lugarawa Wilayani Ludewa mkoani Njombe.
Akizungumza na Mwananchi leo Oktoba 31, Mwenyekiti wa kijiji cha Lugarawa amesema tukio...
Achana na ule moto wa wiki iliyopita, habari hii imeripotiwa tena kutokea usiku wa tarehe 29 Oktoba 2022, kuna nini kinaendelea huko katika Mlima Kilimanjaro? Ni majanga ya kawaida au kuna mikono ya watu?
Habari yenyewe nimeichukua kama ilivyo, hii paha chini
----------------
Picha ya...
Moto uliozuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro nchini Tanzania karibu na eneo la Karanga Camp umedhibitiwa huku eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 2 hadi 4 zimeteketea.
Akizungumza na waandishi wa habari, Ijumaa Oktoba 28, 2022 katika lango la Mweka, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk...
Nawasalimu wote kwa jina la Jamhuri.
Ni zaidi ya wiki sasa moto unaendelea kuwaka katika mlima Kilimanjaro.
Na kinachoonekana ni kujaza watu mlimani ambao wanaitwa kikosi kazi bila kufanya kazi ya kuzima moto,wengi wao wameenda kula na kupiga picha tu (selfie) na kuwa kero hata kwa watalii...
Siku chache baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kutoa taarifa moto uliokuwa umewaka Mlima Kilimanjaro umedhibitiwa, moto huo umelipuka tena katika maeneo ambayo awali yalidhibitiwa kutokana na upepo mkali.
Moto huo ulinza kuwaka Oktoba 21, 2022 katika eneo la Karanga...
Watoto Rehema Masanga wa miaka 7 na Amos Masanga mwenye miaka 5 wamekutwa wakiwa wamekumbatiana baada kushindwa kujiokoa kutokana na kufungiwa ndani na mama yao.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mafifi, Rabi Mgata amesema chanzo cha moto ni mshumaa ulioshika Godoro na kuunguza nyumba wakati...
Waungwana Tanzania tunapigwa kizembe sana . Hasa hii serikali ya BITOZO wahuni wanafanya lolote wanalotaka.
Inakuwaje ajali za moto zitokee kuamkia Jumapili tu ni coincidence ya namna gani hii..
Aisee kuna watu wanapiga sana hela kupitia haya majanga ya moto halafu hawana wa kuwawajibisha wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.