moto

  1. BARD AI

    Watoto watatu wateketea kwa moto Rombo

    Watoto watatu wa familia moja katika kijiji cha Lessoroma wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao wanakolala kushika moto. Akizungumzia tukio hilo leo Januari 21, Mtendaji wa kijiji hicho, Emma Mosha amesema tukio hilo limetokea usiku wa saa mbili Januari 20...
  2. Pascal Mayalla

    Gari lalipuka Moto Mbezi Beach!. Hakuna Msaada Wowote wa Zimamoto/Wananchi ni Kukodoa tu Macho Kuangalia kama Sinema!

    Wanabodi Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu, Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!. Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!. Mtanisame nili staafu uandishi wa...
  3. mcshonde

    Messi na Ronaldo walivyokutana

    Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo...
  4. BARD AI

    Mazoezi ya kuzuia majanga ya moto yazua taharuki TRA Dodoma, mmoja akimbizwa Hospitali

    Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto. Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
  5. MK254

    Magaidi wamtia kiberiti kasisi wa kanisa la katoliki kule Nigeria

    Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu kutoroka....Mungu ailaze roho yake pema peponi... ===================== Until his death, Achi was attached to St...
  6. M

    Anayefikiri kuwa moto wa Arsenal ni wa mabua, ni kama fisi anayemnyatia mtu akidhani mkono wake utadondoka apate kitoweo

    Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!! Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka...
  7. saidoo25

    Vifaranga kwa maelfu vyachomwa moto awamu ya sita! uchokozi kwa Rais Samia

    VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA! 1.0 Utangulizi 1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto vifaranga. Mbaya zaidi, hii ilitokea mbele ya mgeni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. 2) Ndio maana...
  8. C

    Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma. Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
  9. Balqior

    Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  10. GENTAMYCINE

    Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

    Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini? Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania...
  11. APPROXIMATELY

    Moto moto wamechokoza wenyewe, yani mpaka wajute, Yanga tunakiwasha

    Yani hapa,mpaka life jitu,tupo tayari kwa mapambano,tunavunja mkataba na azam,tunawafuata dstv,hatutumii vitu vya azam,tunatumia vya azania na makapuni mengine, Yaani tumejianda kwa vita wananchi wote hakuna kununua vitu vya Azam, yaani atakaye pata shida ni azam sio yanga, ebu imagine yanga...
  12. Dr Akili

    BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani. Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali...
  13. JituMirabaMinne

    Kwanini GPS trackers zinaondolewa baada ya vyombo vya moto kuibiwa?

    Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote. Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia...
  14. Dr Restart

    Moto unawaka Tabora Manispaa

    Kuna moto mkubwa umezuka katikati ya manispaa ya Tabora eneo la Salmini Toronto. Kwa mujibu wa chanzo cha moto huo huenda ikawa ni hitilafu ya umeme kwa kuwa duka hilo lilikuwa la uuzaji wa vifaa vya umeme na nyumbani. Kitengo cha Zimamoto kilifika kwa wakati ila bahati mbaya gari lilishindwa...
  15. I

    Uteketezaji huu wa vifaranga ni unyama uliopitiliza

    Kupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko! Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo...
  16. Transistor

    Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

    "Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu. Mara nyingi upitishaji wa...
  17. T

    Tetesi: Moto unalipuka Dodoma, Mzee mpiga debe atolewe🤐

    Jamani jamani nimeinyaka nimeinyaka jamani Busara ni muhimu jamani humo ndani ya cc kimenukishwa na Mzee wa Msoga kama vile kanusa kama nabii akasema jamani jamani. Ni hivi wenye nguvu ndani ya chama wanataka haki itendeke come juwa come rain wanataka kujua ni jambo gani Hayati JPM na Mzee...
  18. Iziwari

    Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  19. The Supreme Conqueror

    Bunge la Peru lamuondoa Rais Madarakani huku Tanzania Mzee Makamba akichochea kuni moto uwake

    Bunge la nchini Peru limemuondoa madarakani Rais wa taifa hilo Pedro Castillo na nafasi yake kuzibwa na makamu wa Rais Dina Boluarte baada ya Rais huyo kufanya jaribio la kuvunja bunge la nchi hiyo Rais huyo alitangaza kutaka kulivunja bunge la nchi hiyo baada ya bunge kuanza mchakato wa kupiga...
  20. H

    Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

    Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
Back
Top Bottom