moto

  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Soko la Mbagala sasa liko safi na linafikika kwa urahisi. Masoko machafu yote yabomolewe na kujengwa upya

    Habari! Mwaka jana kabla soko la Mbagala kuungua moto niliingia sokoni ili nipate mahitaji muhimu . Lile soko lilikuwa chafu na wakati wa mvua linatoa harufu mbaya sana. Njia za kuingilia na kutokea hazijulukani. Bidhaa ziko hovyohovyo. Huwezi kuingia mara mbili kama hujazoea uchafu. Jana...
  2. aka2030

    Airport simba wakaguliwe sana wasije kusafiri na kuni za kuwashia moto

    Naaam hili lizingatiwe kwa manufaaa ya Taifa tusije kutia aibu nyingine kwa kuwasha moto hovyo viwanjani.
  3. M

    Kwa namna hii Serikali iweke VAR hata kwenye ngumi. Mwakinyo hajashinda kabisa kuanzia mwanzo alipelekewa moto

    Tunaharibu sana kuwa na upendeleo usiofaa hata kidogo. Mtu anapelekewa mwanzo mwisho halafu anapewa ushindi wa mchongo. Wapi amempiga huyu jamaa? Ile moja tu ya kubahatisha?
  4. MoseKing

    Sensa 2022: Matokeo yanaonesha Watanzania wengi "hukata moto" miaka ya 30+. Je, ni hali mbaya ya maisha?

    Ni Kwasababu ya ugumu wa maisha? Au kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza? Au ni kutokana na mtindo wa maisha?
  5. Determinantor

    CCM Kwa moto sana, watuhumiana Ushoga, Wizi na Uuaji!

    Hii week hatimae imeisha, ni jambo la kushukuru Mungu. Kwa upande wa CCM mambo si haba, at least wamethibitisha haya machache japo kwa kutuhumiana na kushutumiana! 1. Wabunge wa CCM wanawatuhumu wabunge wenzao WA CCM kuwa mashoga/mabasha na KIONGOZI wa Bunge anakaa kimya kuashiria ni kweli...
  6. MK254

    Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
  7. KING MIDAS

    Ndege ya Saudi Arabia yaungua moto Sudan

    Shirika la Saudi Arabia limesema moja ya ndege zake aina ya Airbus A330 ilihusika katika "ajali" baada ya video kuionyesha ikiwa moto kwenye lami katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum wakati wa mapigano." Saudia imesema katika taarifa yake leo Jumamosi kwamba, safari zake zote za...
  8. Izy_Name

    Simba SC yatinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia huko twitter

    Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
  9. Izy_Name

    Mshambuliaji Jean Baleke awasha moto Simba SC

    Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa kocha wake amewapa mabosi wa Simba ramani ya kumweka ndani ya timu hiyo. Kocha wa Simba...
  10. wajingawatu

    Tarehe 21-04-2023: Simba watabatizwa kwa moto

    Klabu yenu pendwa ya Simba imepangwa na bingwa mtetezi wa Caf CL, Waidad Casablanca, kwenye robo fainal ya Caf CL. Kwa wale wasioifahamu vizuri Waidad AC, nawaomba mje kwa Mkapa hapo tarehe 21/04/2023, ili mshuhudie klabu yenu pendwa ikibatizwa kwa moto. Kile kipigo cha tatu, tatu...
  11. M

    Kisasi ni haki, Yanga dhidi ya Rivers moto utawaka

    Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili ktk mazingira tofauti. Rivers walikutana na yanga iliyokuwa bado inajitafuta, ilikuwa ndio...
  12. F

    Mbunge Ole Sendeka awasha Moto bungeni kuhusu ripoti ya CAG

    Ktk Azimio Maalum la Kumpongeza Rais Samia kwa uongozi mzuri, kupitia Bunge la 12 mkutano wa 11 kikao cha Kwanza, Ole Sendeka awasha Moto. Alianza kwa kumsifia Sana Rais Samia lakini mwishoni akaanza kwa kulaumu waliotajwa Ubadharifu Ripoti ya CAG kuenedelea ofisini hadi Sasa. Kadai...
  13. Q

    Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  14. JanguKamaJangu

    Mexico: Watu 40 wafariki kwa moto katika kituo cha Wahamiaji

    Watu waandamana nje ya kituo cha wahamiaji cha Mexico baada ya moto kuzuka katika kituo hicho, Machi 28, 2023 Takriban watu 40 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka katika kituo cha wahamiaji cha Mexico kwenye mpaka na Marekani. Kituo hicho katika Mji wa Mexico wa Ciudad...
  15. E

    El Classico imekuwa yamoto!

    Nashukuru kwamba mimi ni shabiki wa Barca na wamenikosha sana roho. Wasi wasi unaanza pale ninapo waza hasira ya madrid. Watakuwa na uchu sana wa kulipiza sasa sijui kama hiyo mechi iliyobakia kama tutatoboa kibabe tena. Nyie mnaonaje?
  16. figganigga

    Abdul Kambaya awasha moto Tanga. Ataka watu wajiunge CHADEMA ili kuondoa mifumo mibovu

    Baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama wa Chama cha Wananchi CUF, Abdul Kambaya, na wanachama 384 kutangaza kujiunga na Chadema. Sasa wawasha moto. Tarehe 23 Februari 2023, Kambaya na wenzake walitangaza kujivua uanachama CUF kwa madai kuwa chama hicho kimepoteza mwelekeo...
  17. Hance Mtanashati

    Aisee video ya demu wangu Remix ya Meja na Marioo ni moto wa kuotea mbali

    Nimebahatika kuitazama video ya wimbo wa Meja Kunta aliowashirikisha Marioo na Mabantu ,tuongeeeni tu ukweli video ni kali mno yani haichoshi kuitazama. Uwepo wa Marioo kwenye huu wimbo umezidi kuunogesha wimbo haswa pale anapoimba "Mchumba anataka nini ,mchumba anataka helaaaa " Natabiria...
  18. Hemedy Jr Junior

    Nataka kuteketeza 10 million means kuzichoma moto hizi pesa baada ya kugundua pesa hizo sio halali

    Pesa makaratasi... hii ndo maanake ☝️😁😁 ukichoma pesa serikali inakupa kesi. Pesa zangu afu serikali inanipangia matumizi ☝️ hata kuchoma pesa ni matumizi mbona nikipoteza pesa hainisaidii kutafuta hizo pesa.... Utumwa still bado upo. Any way ....
  19. Kidagaa kimemwozea

    Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

    Hatimaye najibu Mpemba's Law 🤭 Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda...
  20. B

    Huko Kenya moto si wa kitoto

    William Ruto amemjibu Raila Odinga kuwa asithubutu kuingiza wananchi barabarani kwani Kenya inaongozwa kwa sheria sio maandamano. Ikumbukwe kuwa Raila Odinga alihitisha maandamano ya kitaifa tarehe 20, jumatatu ijayo, sababu ikiwa ni ugumu wa maisha, kuporwa kwa kura wakati wa uchaguzi...
Back
Top Bottom