moto

  1. Hance Mtanashati

    Huu wimbo mpya wa Meja Kuta aisee ni moto wa kuotea mbali jamaa anajua sana

    Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu. Wimbo ni mzuri sana ,mashairi mazuri melody Kali Yani kwa kifupi hauchoshi kuusikiliza. Huyu kijana kwa kweli tumpe...
  2. Maleven

    Uume kuwa wa moto kama vile mtu mwenye homa ni kawaida?

    Hasa kipindi cha baridi au unaposimama, uume unakua wa moto sana, kama vile sehemu ya shingo mtu akiwa na homa, ila hauumi, je hii ni kawaida?
  3. Kalpana

    Tamthilia ya Unfaithfull Azam Tv ni ya moto

    Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi.. Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani... Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin Karibuni...
  4. Roving Journalist

    Spika Tulia Ackson asitisha Shughuli za Bunge kwa Dharura, awataka wabunge kutoka nje kwa haraka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023. === UPDATE; Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey M. Kasekenya...
  5. Replica

    Mwigulu amuwashia moto Mpina, ni kuhusu kufunga biashara. Adai Mpina anafurahia watu wakiumia

    Akiwa bungeni leo Juni 26, 2023, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba wakati akihitimisha hoja ya makadirio ya bajeti amemkalia kooni mbunge mwenzeke, Luhaga Mpina kwa madai alikuwa anafungia viwanda alipokuwa waziri huku akifurahia. Mwigulu amesema Mpina alikuwa anafanya sherehe kwa kuchoma nyavu...
  6. sifi leo

    Nisaidieni: Namnyofoaje baba yangu kwenye Shirika kabla Rais Samia hajamuwajibisha?

    Nipeni ushauri, mshua wangu ni miongoni mwa vikonge vilivyosalia kwenye shirika X, na juzi usiku tukiwa mezani tunakula Kwa mbali nilimwona presha imempanda nilivyomuuliza kisa nini akadai anawaza ile kauli aliyoitoa Rais Dr Samia kuhusu mashirika yasiyo na faida. Mzee anadai hawezi nyofoka...
  7. P

    Ya bandari yakiendelea, TRA wamepoa, wafanyabiashara sasa tunanyanyaswa na zima moto

    Huo mkwara wao asikwambie mtu, wanavamia dukani kwako kama vile wanatafuta muuaji, haya ukiwauliza kulikoni? Eti wanasema tunadai malipo ya control ya fire, sasa shilingi ngapi? Bei inaanzia 30,000/= mpaka 1,000,000/= kutegemeana na biashara. Tena inaanzia tangu siku ulipojisajili tin number...
  8. Nyendo

    Boti yenye watalii yawaka moto Baharini

    Waokoaji Nchini Misri wanawatafuta Watalii watatu wa Uingereza ambao hawajulikani walipo baada ya moto kuzuka kwenye Boti waliyokuwa wakisafiria baharini nchini Misri jana Jumapili. Vyombo vya habari vya Misri vimesema Boti hiyo ya Watalii ilikuwa imebeba jumla ya Watu 27 huku miongoni mwao ni...
  9. B

    Moto wa Tundu Lissu umewaibua mafichoni

    Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and white can never be red. Huyu bwana yuko very persistent, determined and self motivated. Hatimaye na wao wameona wasipitwe isije kuwa Maua wakapewa wengine na wao kwakakosa hata...
  10. 3 Angels message

    Moto: Kinachodhaniwa kuwa kiwanda cha Jambo kinawaka moto

    Nimepita mida hii maeneo ya Vingunguti kuna moshi mkubwa sana angani ukitokea maeneo kilipo kiwanda cha jambo na watu wengi sana wafanyakazi na wananchi wengine wakiendelea kushuhudia kiwanda hicho kikiteketea kwa moto === Moto mkubwa umezuka mchana huu katika Kiwanda cha kuzalisha plastiki...
  11. Pang Fung Mi

    Wanaume heshima yetu kauli mbiu yao ni kuwa tuwapelekee moto

    Hello, Taarifa toka kwa Wadiz a.k.a Baharia Ukipata nafasi kuwasikia wanawake wakisema ukweli ni raha sana, mara kadhaa nimesikia hii kauli heshima ya mwanaume ni kuupeleka moto, mengine tutajua mbele. Pamoja na kauli mbiu yetu tukufu ya kutafuta pesa na kuvimba kwenye matumizi. Wito wa...
  12. MK254

    Warusi warudishwa nyuma Bakhmut, hapa ni mwendo wa moto tu

    Warusi wanaendelea kupokea kichapo huku wakitoroka...... Jana yote JF haikukalika pro-Russia waliposheherekea tamko la yule mzee kicha kiongozi wa Wagner... Ukraine has pushed back against Russian forces in the city of Bakhmut, retaking a number of buildings, a Ukrainian armed forces spokesman...
  13. M

    SoC03 Mkia wa moto

    MKIA WA MOTO: Utamaduni wa Kukimbiza Mwenge na Athari Zake Tanzania Utamaduni wa kukimbiza mwenge umekuwa sehemu muhimu ya maisha ya Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, kuna haja ya kuchanganua athari na hasara zinazosababishwa na utamaduni huu ili kuboresha matumizi ya rasilimali na kuleta...
  14. M

    SoC03 Mkia wa Mtoto

    MKIA WA MOTO: Utamaduni wa Kukimbiza Mwenge na Athari Zake Tanzania Utamaduni wa kukimbiza mwenge umekuwa sehemu muhimu ya maisha ya Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, kuna haja ya kuchanganua athari na hasara zinazosababishwa na utamaduni huu ili kuboresha matumizi ya rasilimali na...
  15. M

    Ukisikia ubatizo wa moto kwenye soka ndio huo: Man city 4 - 0 Real Madrid

    Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana, ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto. Hongera Man City, ila chonde chjonde usije ukamla ngo'mbe mzima ukashindwa kumalizia mkia!
  16. BONNIE GOLD

    Hili Piano la Kilimanjaro ni moto aiseee!

    Kilimanjaro Kilimanjaro Kilimanjaro 🔥🔥🔥🔥🔥
  17. FRANCIS DA DON

    Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  18. GENTAMYCINE

    Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

    Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo...... 1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania? 2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako? 3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC? 4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
  19. 5

    China yasema hataki kuongeza mafuta kwenye moto vita ya Ukraine na Urusi

    Kuna wakati China anataka kushirikiana na Urusi kuunda umoja wao na kupiga vita US na washirika wao lakini kuna wakati yeye anahubiri amani na kujitoa mbingu na ardhi kwamba hahusiki kwa vyovyote kumsaidia silaha Russia. Hofu ya China ni nini hasa? Je, bado anaitegemea US na washirika wake...
  20. NetMaster

    Ngoma chapambire moto: Internet ya Tigo post itaweza kumudu huu mziki mpya wa Airtel?

    TIGO POST PAID: 15 GB kwa 15,000 35 GB kwa 35,000 48 GB kwa 40,000 72 GB kwa 60,000 120 GB kwa 100,000 Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
Back
Top Bottom