movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Hii ni movie gani?

    Tupe maneno mawili matatu kuhusiana na movie hii.
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanataka kunifukuza uanachama. Wameshinda uchaguzi sasa hawataki wengine tuseme

    Ameandika Mrema kupotia ukurasa wake wa X, "Nimejulishwa na mwenyekiti wa tawi langu, ameagizwa anifute uanachama kabla ya kesho ili kama nitaendelea na nia yangu ya kuzungumza na vyombo vya habari basi niwe sio mwanachama! "Nimeshangaa sana maagizo hayo na mpango huo ambao unaratibiwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Movie to watch : La la Land

    Movie nimeiangalia zaidi ya mara Tano bila kupelekea mbele Mwanzo nilifikili titanic ndio movie ya kali mapenzi yenye mwisho mbaya Ila baada ya kuangalia hii la la land wanawake wote wana tamaa hadi wazungu Ryan Gosling na Emma Stone wameua sana Anyway kitambo sana humu jukwaani Kama Kuna...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wadau, kufeli vibaya kwa ile movie mnafikiri tatizo lilikuwa wapi na limesababishwa na nani?

    Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
  5. JamiiForums Tanzania Generation ya bongo movie mjini YouTube

    Wadau. ebu tuzungumzie hii generation ya bongo movie ambao wao wamejikita kwenye mitandao ya kijamii hasa YouTube
  6. JamiiForums Tanzania REVIEW YA MOVIE: Kung fu panda 4

    Chameleone: Giving to gain I believe thats how things work
  7. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna movie Ina dialogue Kali kuzidi TROY?

    Aliyeandaa Script uwezo wake wa kufikiria ni mkubwa jinsi character walivyokuwa wakifanya mazungumzo una feel na kuenjoy wanavyojibishana hizi ndio tunaita Masterpiece. 1. Jamaa baada ya kuibiwa mke wake anaenda kwa brother wake kuomba msaada cheki mazungumzo yao yalivyokuwa. MENELAUS: I want...
  9. JamiiForums Tanzania American Renegades: Naitafita sana hii movie.

    Wakuu,naomba msaada kwa yeyote mwenye link ya site kwaajili ya ku-download hiyo movie.
  10. JamiiForums Tanzania My Top 5 list ya Movie Series of All Time

    My Top 5 list ya Movies of All Time ambazo baadhi sio Common Zenye ; 1. Akili nyingi 2. Haziko Predictable 3. Zina Action Zenye quality nzuri (sio kama za kihindi😂) 4. Visa na matukio ya Kusisimua well planned scenes 5. Siasa pamoja na Visa vya Mapenzi kidogo (Hakuna Ushoga wala Usagaji) na...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba jina la hii Movie wadau

    Heshima kwenu nyote. Kuna movie moja ya Kizungu niliwahi kuona jina lake humu ndani ila ni miaka zaidi ya mitatu nyuma nimesahau jina. Hiyo movie Starring hajui kupigana, yupo na mke wake na watoto na anawaokoa kwenye matukio kibahati bahati tu ila ni movie flani nzuri tu. Mwenye kufahamu...
  12. JamiiForums Tanzania Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kudownload movie ya "Io Capitano"

    Wakuu hio movie ya Io capitano naipataje ni bonge la movie la machalii 2 wakitoroka kwenda Italy mwenye nayo anitumie jmn
  14. JamiiForums Tanzania ACRIMONY: Mapenzi na Ndoto, Mahususi kwa Kijana Yeyote Anayepambania Kutimiza Ndoto Zake

    Hii ni story Inayomhusu kijana aliyepambana katika harakati za kutimiza ndoto zake, akiwa bado mwanafunzi wa chuo akapata mwanamke waliyefunga naye ndoa. Mwanamke huyo alikuwa na mchango mkubwa wa hali na mali ambapo aliuza mpaka nyumba ya urithi ya familia pamoja na kutumia pesa zote alizorithi...
  15. JamiiForums Tanzania Planet Rizq - Official Movie Trailer

    https://www.youtube.com/watch?v=TD2UdkY-nYI Planet Rizq - Official Movie Trailer In the distant future, humanity's history is forever changed when several colossal pyramid-shaped ships arrive and position themselves around the planet. These extraterrestrial vessels, unlike anything ever seen...
  16. JamiiForums Tanzania Zipi ni historical series au historical single movie kwa mwaka 2023- 2024?

    Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies .. Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch nasisi tupate uhondo
  17. K

    JamiiForums Tanzania Movie zenye English subtitle

    Wadau, mie mwenzenu ni mpenzi sana wa movie lkn nikienda ku-burn nakuta movie zote zimetafsiriwa kiswahili Sasa mimi maskio yangu ni mazito sisikii vizur kwahiyo yule mkalimani huwa simsikii. Sasa lengo la huu uzi naomba km kuna mdau ana movie ambazo hazijatafsiriwa lkn zina subtitle ya...
  18. JamiiForums Tanzania Ni Movie ipi uli iangalia zaidi ya mara moja ila bado hukuielewa vizuri?

    Ni movie ipi ambayo uliichukua ukaingalia mara ya kwanza hukuielewa ukarudia mara ya pili ndo ukaelewa, au pengine hata mara ya pili pia hukuelewa ikabidi ulizie kwa watu waliyo iona wakueleweshe. Mimi zipo mbili, moja ni 1. TENET niliangalia mara mbili ndo nikaanza kuelewa kidogo 2. Mbili ni...
  19. JamiiForums Tanzania Subtitle kwenye app ya movie box

    Habari za mida waungwana,kuna mdau mmoja niliona alirecomend app ya movie box kwamba ni nzuri na simple, ni kweli nimeikubali ipo vzr, shida ipo kwenye subtitles huwa kuna baadhi ya movie subtitles huwa sinachelewa au inakuwa mbele yofauti na tukio husika,nimejaribu kucheki namna ya kuadjust...
  20. JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu mnaikumbuka hii movie

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…