Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.
Kama ulishawah angalia bongo movie hata kwa uchache wake utagundua bongo movie hazifundishi ujasiri kabisa visa vyao karibia vyote ni vya mapenzi hii imepelekea kuwa na kizazi ambacho sio majasiri
Tanzania hatuna majasiri kabisa hii ni kwa sababu mtoto anakua katika mazingira ambayo...
Hapo juu ni picha ila kuna vifaa au vitu flani ulishakiona katika movie, taja movie zote 25 au baadhi, mfano: hapo kuna SAW na Enter the dragon.... Tiririka👇
Kama kichwa cha Uzi hapo juu na wale waliowahi kupitia Uzi wa kula Tunda Kimasihara wa rikiboy watakuwa wanaelewa ninachomaanisha.
Hizi ni movie ambazo Maudhui yake yamehusisha washiriki wake kufanya ngono au kuwa wapenzi bila kutarajia kwa sababu mbali mbali,nitazitaja hapa na maelezo kidogo...
Naomba msaada hv kwenye king,amuzi Cha Azam chenel za movie za kihindi zile zuri za. Mastar marufu Yan kiufupi movie za bollywood ninamba ngap au jina la chanel
Habari ya kila movie watu wema kushinda inakera sana wakati mwingine. Maisha hayako hivyo kabisa. Na sometimes unakuta adui anapambania dili lake lifanikishe mara anatokea "mtu mwema" na kumuharibia.
Inakata sana stimu. Kwanza kwenye maisha halisi watu wabaya wanashinda kuliko wema.
Hii movie...
Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo....;
Anyway katika Ma-directors maridadi John Woo na yeye ni Mtaalamu (From Mission Impossible mpaka A Better...
Hii n list ya movie za kihindi kwa mtazamo wangu naona ndio Bora kwa muda wote Bollywood hasa kwenye love story kama hutaielewa list yangu unaweza taja na zako zilizo kubamba kwangu movie Bora n
1. Dilwale dulhia lejeynge srk
2. Darr srk na sanny deol
3. Fida ya Shahid Kapoor
4. Pyaa...
Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu tafuta hizi baadh tu
Gangs of Lagos
Hey you
Far from home
Shanty town
NB. Ukicomment ushuzi...
Habari za muda huu wapendwa.
Nimekuja kwenu naomba mnijuze kuhusu muvie iwe single au series ambayo ni nzuri kuangalia mkiwa na mpenzi wako tu. Yaani ambayo iko romantically [emoji39].
Mimi kuna series moja ambayo nadhani wengi wenu mnaifahamu inaitwa blood and sands (SPARTACUS). Hiyo kila...
Wangap mnaikubuka hii movie dilwale dulhia lejeynge binafsi sijaona mpaka leo movie Bora ya love story kama iyo hasa ma song yake alafu kulikua na ka Alam.
Fulan hv sharukhan alikua anapenda kupiga kwa kale ka gita kake kanatoa sauti Kama ya kengele fulan hv ebhana full burudani na zile...
Mimi ni mpenzi sana wa bongo movies ingawaje mimi sio mtanzania wala siishi Tanzania. Kuna moja linanikera sana katika movie hizo; ni background music.
Inakuwa hata vigumu kusikia wanachosema waigizaji.
Yaani kiujumla Hutu jamaa sidhani kama hawezi kuigiza,
Namshauri atengeneze movie Kali ambayo itakuwa kwenye viwango vya kimataifa.
Naamini kila MTU kwa hapa bongo ataitazama ukiachana na kimataifa, japo Mimi sio mtaalam wa hii biashara ila itakuwa poaa akifanya hivyo kama wafanyavyo wasanii...
Hello 👋
Ni upendo tu🥰
Muwakumbuke bodaboda wenu mnaowatumaga vitu vya nyumbani na safari za hapa na pale.
Mwaka wa bodaboda huu wadada wameamua kuwabariki😎
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.