Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.
Vipi wakuu, kwema huko mitaani.
Ebwana inasikitisha kuona nchi kubwa kama TZ, iliyosheheni watu wenye vipaji mbali mbali vya uigizaji, anakosekana mtu wa kuziba pengo aliloacha hayati Kanumba.
Mwanzo mwanzo Rey alikuja na mikwara ya kujifanya kuwa yeye ndo mwenye uwezo wa kuliziba na kulifunga...
TITLE:ONLY ONE KING
MTUNZI:JOTO LA MOTO
SEHEMU YA KWANZA
NJE.IKULU YA MFALME MKUU-MCHANA
Jengo kubwa jeupe, ndani ya uzio wa ukuta na nyaya za senyenge nzito juu.
Kwenye eneo la kilomita za mraba kama elfu kumi hivi.
Nje kuzunguka jengo wanaonekana Askari kadhaa wakiwa wamevalia maalum huku...
Tunapenda kupeleka shutuma hii kwa waigizaji wa bongo movie hasa episode za ndoa/mahusiano/mapenzi. Waigizaji hawa wamekuwa wakiingiza ubaya, ubabe, ufedhuli, kiburi, umalaya, wizi, utapeli, ushirikina, mauaji, matumizi ya dawa za kulevya, ndani ya mapenzi kitendo ambacho kimekuwa kikifundisha...
Zamani nilifikiri inatokana na uwezo wa kupigana wa mtu, hivyo niliamini Jack chan, Jet Li, Jack Bauer na wengine ni mafundi haswaa wa kupigana kuzidi wanaocheza nao. Lakini najiuliza ina maana ni kweli kwamba wale wengine wote hawajui kuwazidi?
Nikiangalia picha nyingi za mapigano ni nakshi za...
Wakuu, Jipatie Movies zako pendwa na Series.
🍿 MOVIE 1 - Tsh 1,000
🍿 MOVIE 7 - Tsh 5,000
🍿 MOVIE 15 - Tsh 10,000
💫SEASON 1 - Tsh 2,000
📍 Delivery In Dar 🛍
Mimi naitafuta movie moja ya kinaigeria inaitwa sioma the monster, kwenye cd ilikuwa ipo pamoja na movie inaitwa ibu the school, mwenye kujua sehemu ya kuipata anitumie hata link ni singo movie sio season, na inapoanza kunakuwaga na wachungaji wawili wanahubiri mtaani, halafu kuna wadada...
Nani anaikumbuka hii movie, nadhani ni ya miaka ya 80s au 70s, plot ni kwamba, wanajeshi wa kizungu wana kwenda mkomboa, jamaa mmoja, huyo jamaa ni Mwafrika nadhani ni alikua politician, walipo mkomboa waka mkimbiza kwenye ndege ya kijeshi na wakati wana jaribu kuruka, mmoja wa hao macomando...
Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana .
We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
Habari wana JF,
Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc?
Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo:
1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio...
Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili maisha yaendelee??
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika
Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka?
===
Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa...
Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania na kuelezea sehemu zenye Vivutio vya Utalii ili kuongeza Utalii na fedha za Kigeni. Ameyasema...
The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni.
Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
Hizi ni moja ya filamu zilizobamba mwaka huu
1. Silverton siege 2022 filamu imechezwa south africa moja wapigania uhuru wanaiteka bank kubwa ndani ya hiyo kuna mtoto wa kigogo mkubwa na ni supervisor wa hiyo wanaiteka lakini hawaibi fedha shida yao kubwa ni nelson mandela aachiwe movie...
"Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule
👇
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.