Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.
Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro.
Mwijaku amekuwa...
aibu
arusha
bongo
bongo movie
clouds
clouds fm
kilimanjaro
kubwa
kusema
mji
mlima
mlima kilimanjaro
movie
msanii
mwijaku
pekee
ulipo
utalii
wakati
watangazaji
Wakuu, nimetoka. Kuangalia movie za nchi tajwa hapo juu za kihistoria ambazo zina akisi yaliyotokea. Into fiction movie , movie hizo ni:
1. SACRIFICE.
2. The BRIGDE AT toko -Ri
3. The steel helmet
4. My way
Zote hizo hapo juu zina potray. Historical true war periods that happened...
Wakuu ndio nimeanza kuuza movie online natoa ofa mpak mwezi wa saba nitakua natuma movie bure kabisa iwe imetafsiriwa au haijatafsiriwa link nakutumia pm nikiweka hapa mods wanafuta uzi wangu:
Kwasasa sipo whatsapp nitatuma link pm na instagram pekee unachotakiwa kufanya ni kunitajia jina la...
Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania.
Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo.
Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje...
Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha!
Moja kwa moja niende kwenye hoja!
wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu!
Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
Naombeni hata link ya kudownload hii movie wadau au nitajieni website ipi nitaupata Huu mzigo maana nimetafuta kimoitv, netnaija na nkiri.com kote huku hakuna itapendeza zaidi ikiwa english subtitle
Wale wa penzi wa movie, aisee tafuteni hii movie ya Death on the Nile imetoka mwezi wa pili.
Bonge la movie na bonge la story.
Sema sio kwa wale wanaopenda movie za mapigano maana humu hakuna
Kama wewe ni shabiki wa movie za kupigana, jina Bruce Willis sio geni kwako. Muigizaji huyo amepata umaarufu kutokana na movie mbalimbali zikiwemo Die Hard, Tears of the Sun, Out of Death, A Day to Die, Unbreakable, RED, The Sixth Sense, Armageddon, American Siege, Apex, Split na Death Wish...
Youtube kuna full movies nyingi sana. Nyingi za zamani na chache mpya. Ni wewe na bando lako tu, na uzuri youtube haili bando kivile.
Mi napenda kutembelea channel inaitwa Wu Tang collection kuangalia movie za zamani za kichina. Hizo ndiyo huangalia sana.
Heshima kwenu wakuu
Naomba msaada, hivi nawezaje kudownload movie za netflix
Yaan nna laptop,nataka nidownload movie kutoka netfl;ix na kulisave file la iyo movie kwenye laptop
Hii inawezekana wakuu? Maana kila nikijaribu kutafuta mafile ya movie niliyodownload kwenye simu kutoka netflix...
Heshima kwenu wakuu.
Aisee nimejaribu kuitafuta sana hii movie, naipata lakini nashangaa nikii-download inagoma kabisa, sasa kwa mwenye direct link ambayo nitaweza kui-download kwa urahisi naomba anisaidie wakuu.
Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu. Thanks.
Habari wana JF..
katika kipindi cha hivi karibuni kama miaka 5 au 6 nyuma kwa wale wafatiliaji wa entertainment hizi mbili muhimu kwa nchi ya marekani nazungumzia muziki na movie wamenotice kua kuna upungufu kidogo kwenye influence ya hivi vitu kwa sasa.
Kwanini????
TUKIANZA NA MUZIKI,
Baada...
Unatazama movie , kwenye movie Kuna tukio limetokea let's say WTC imelipuliwa.
One week later maelfu ya wamarekani wanakusanyika katika viwanja vya Madison square garden Kwa ajili ya kufanya ibada maalumu ya kuwaombea marehemu walio poteza Maisha Yao kwenye tukio Hilo pamoja Na kulaani walio...
" FORREST GUMP"
Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk.
Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi...
Nduguzanguni waungwana
Nimependa mnipe movie hii ya Tomb of the river ya korea nimependa trailer ikiwa na subtitle au mnipe link yake au website nitayopata hii movie angalizo isiwe na mb kubwa Asanteni Waungwana
Habari ndugu. Naumiza sana kichwa kwa imani yangu kwamba pesa ipo uswahilini kwenye biashara ndogondogo. Nawaza kwenda sehemu tajwa na kamtaji kidogo ninacho. Naomba mwongozo na ushauri juu ya biashara hizo kwa wanaoishi na wasioishi maeneo hayo. Natazamia kufanya mojawapo kati ya hizo. Naomba...
Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi hiki walau walikuwa wanapata chochote. Ghafla watu wakaanza kupirate DVD na kuziweka kwenye flash...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.