Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.
Movie inaaction za kutosha wale wapenzi wa action Muje Huku kuna watalaam wakina Iko uwaisi Andre Koji Yule Alicheza character ya bruce lee kwenye series ya warrior Ah sahm na wengineo
Story
Wanamwita snake Jamaa Kakua kwenye mitaa maisha ni ya kuungaunga anacheza ngumi za mtaani ili asogeze...
Habari wanajamii.
Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama wanavyofanya Azam tv kwenye tamthilia zao kama Sultan, Jamai raja na Kufli. Jibu ni kwamba gharama ya...
intermittent explosive disorder ilimtafuna vilivyo, udogo wake hakuufaidi sababu ya maradhi hayo, hakuna aliependa kumkalia karibu bila sababu,
Watoto wenzie walimtenga, wazazi wake wakamshindwa pia, Lindy Lewis akapelekwa hospitali ya watu waliothirika na ugonjwa kama wake, huko pia alishindwa...
Ninahitaji kujua iwapo ninaweza kuweka memory card kwenye card reader kisha nikaichomeka kwenye tv kama tunavyofanya na flash kwa ajili ya kuangalia movie.
Nimebaini flash nyingi ni za ovyo tunauziwa flash mbovu. Unanunua flash dukani unaweka movie unakuta ina scratch na kustak stak.
Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa.
Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
Mwak 2051 kinaibuka kiumbe hatari ambacho kinakaribia kumaliza binadamu wote. Wanatumwa watu kuja mwaka 2022 kuomba msaada wa kwenda mwaka 2051 kupambana na kiumbe hicho. Imenifurahisha, japo nimeona critics wameirate chini kama chini hivi.
Kwema wakuu?
Nisiwachoshe, niende kwenye kiini cha uzi.
Hii movie ina nadharia ya comedy, nilipata kuiona katika moja ya channel DSTV. Lakini sikubahatika kuimalizia mpaka mwisho.
Inaanza watu wanaenda kwenye house party, sasa kuna vijana nafikiri wawili (sina uhakika), wanawahi kufika kwenye...
nilizoea kuishi mwenyewe..ila kwa sasa kuna watoto flan nitakuwa nao..so kwa vile mm ni mdau wa movie sana muda wote...naomba majina ya movie ambazo sitakiwi kuweka kwenye folder/flashdisk au dvd ,zile ambazo zina kwich kwich sana...maana hawa watoto wataharibika bure..
Movie inaanza Sunil Shet anaishi na mama yake hawana pesa ikabidi Sunil Shet amuage mama yake, kisha akaenda kumuaga girlfriend wake ambaye kwao ni matajiri.
Baada ya miaka kadhaa wazazi wa demu wa Sunil Shet waka mpa binti yao Akshay Kumar amuoe binti alikuwa hana sauti juu ya wazazi wake...
Nimeichek hii movie director ameeitendea movie toka kampuni ya disney
estella anazaliwa akiwa na nywele zenye rangi mbili yaani nyeusi na nyeupe miaka inasogea estella anakua anaanza shule ya awali lakini tabia yake ya utukutu inamfanya afukuzwe shule.
Jioni moja estella binti mdogo na...
Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano.
Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
arusha
bongo
bongo movie
hai
jana
kesi
kilimanjaro
kuhusu
kusikiliza
kutoka
mahakama
mahakamani
mikoa
mkuu wa wilaya
movie
ole sabaya
sabaya
vichekesho
wananchi
wapi
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada husika,nauliza hivi ni movie gani ulishawahi kuiangalia lakini baada ya kuisha ukajuta kwanini umeingalia kutokana na mambo ambayo umeyaona humo yanaweza kua mauaji,usaliti,uchawi n.k.
Mimi binafsi ni mpenzi wa kuangalia filamu ile sana na nimetazama nyingi sana...
Habari waungwana wa JF.
Nimekuwa mdau sana wa kucheki movie kwa mda mlefu tangu vidudu naweza sema hichi ndicho kilevi changu pendwa hasaaa.
Kuna movie moja yakizungu sikubahatika kuijua jina na niliiona vipande tu na nimekuwa naitafuta kwa mda mrefu bira mafanikio ngoja niielezee labda huenda...
Fortico security walimtambua kama Patrick Hill kwenye kazi zilizohitaji usafirishaji wa fedha, aliajiriwa yeye kama mmoja wa wasindikizaji hao.
Kanuni ndogo tu, unafanyiwa mazoezi ya matumizi ya risasi, kujua kuendesha gari, na kukimbia ikibidi. Kwanini!, ni kwa sababu kila gari lilillobeba...
David Musyoka ni Dereva wa Halmashauri huko Kenya, Kitui County.
Siku kaamka vizuri tu na kaenda kazini, akatumwa sehemu kikazi naye kama kwaida kawasha gari akaingia barabarani.
Mara akiwa barabarani anaendesha akaona watu wanashangaa ndege tai kashika nyoka.
Yule ndege tai akamwachia nyoka...
Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
JMT
Wakuu nimetokea kuzipenda movie za magenious( i mean sterling ndo genious mwenyewe.) ni nzuri saana
Baadhi ya movie/series nilizoziangalia ni
1.SCORPION
2. YOUNG SHIELDON
nimetokea kuzikubali hizi movie
Sasa naombeni mnipe list ya movie za maGENIOUS kama hizo.
Nawasilisha
Grave of the fireflies. Animation ya kijapan ya mwaka 1988. Kijana mdogo akiwa na mdogo wake anapambana kusurvive wakati wa WWII. Da'Vinci Paula Paul mmewahi icheki hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.