movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Wildlifer

    Video: Tanzania Royal Tour

    Her Excellency! Impressive video!
  2. Niache Nteseke

    Wakuu Nawezaje Kuikuza Hii Movie ionekane Screen nzima?

    Heshima kwenu wakuu. Naomba mnielekeze jinsi gani naweza kuikuza hii movie ijae/ienee/ionekane kwenye screen nzima...? Naombeni msaada wenu wakuu. Shukran.
  3. Mchochezi

    Movie gani imekubamba 2021

    Leo zimeachiwa episode 5 za mwisho za series ya Money Heist na kufikia mwisho wa series hiyo. Ikiwa pia tupo mwezi Disemba, mwezi wa mwisho kwa mwaka huu 2021, ni series na movie gani zilikuvutia sana mwaka huu? Karibuni kwa mjadala
  4. D

    Movie gani hii ya bongo? 😂

  5. L

    Natafuta mawakala wa movie za kutafsiri

    Habari za leo wanajamii. Kati ya post zangu za hapo nyuma niliongelea application niliyotengeneza ya kuondoa sauti za waigizaji kwenye movie za netflix ili niweze kuweka sauti za kiswahili. Kwa ufupi natafsiri movie kama wanavyofanya kwenye tv ila niuze mtaani. Tayari nimemaliza kufanya...
  6. H

    'Would you Rather' na 'You're next' ya 2011

    Naombeni wadau movie hizo mbili nilizotaja hapo juu, nimejaribu kuzicheki kwenye website hizi nkiri.com, kimoitv, Toxicwap, netnaija hazipo Please kama nitazipata kwa mb ndogo nitafurahi pia
  7. H

    Naombeni jina la Movie Hii

    Inazungumzia muuaji anayeua wanawake wenye nywele ndefu
  8. P

    INAUZWA Transcend External 2 TB 100,000 & 3 TB 200,000 used,mint condition

    Habari, Zipo external za transcend, used but in mint condition. 2TB kwa 100,000 FIXED 3TB kwa 200,000 FIXED Call 0712198128 Call 0712198128 Call 0712198128
  9. Red Giant

    Movie: The harder they fall (2021)

    Kawaida western huwa zinakuwa na actors wazungu ila hii ni macowboys weusi watupu tena wenye majina makubwa. Stori ni jamaa kurevenge vifo vya wazazi wake lakini kuna plot twist moja nzuri sana. Nimekubali sana uigizaji wa Lakeith, Zazie na Idris Alba. Japo kuna baadhi ya gun fight tumepigwa...
  10. Sky Eclat

    Kuna walionufaika kwa kukodisha nyumba zao kwa Bongo Movie Industry kwa kurekodi filamu?

    Ukodishaji wa nyumba kwa filamu una faida kubwa katika nchi ambazo sanaa ya filamu imesimama vizuri. Afrika ya Kusini, Ghana na Nigeria wenye nyumba huwa wana faidika katika biashara hii. Uzuri wa biashara hii, nyumba hutegemea na hadithi au simulizi la filamu, kuna wanaopenda nyumba za...
  11. BAK

    Director of photography killed, movie director injured after Alec Baldwin discharged prop firearm on movie set

    Director of photography killed, movie director injured after Alec Baldwin discharged prop firearm on movie set By Sandra Gonzalez, CNN Updated 7:17 AM ET, Fri October 22, 2021 Alec Baldwin fired prop gun that killed 'Rust' crew member Alec Baldwin fired prop gun that killed 'Rust' crew...
  12. Idugunde

    Balimi xtra lager la usiku huku unaangalia movie Mnet 4, linashuka kwa baridii

    Peppermit ipo hewani ni revenge ya nguvu baada ya wqzazi wa starring kuuwawa. Lakini kikubwa ni balimi kushuka kwenye koo huku usungizi ukijitafuta taratibu. Viva Balimi Extra lager.
  13. Gabb_y

    App ya kudownload movie zilizotafsiri na sizoni bure

    *****†********
  14. Gabb_y

    Download movie zilizotafsiri tafsiriwa pamoja na sizoni bure hapa

    *****†********
  15. Red Giant

    Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

    Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa. Pia niulize...
  16. Program Manager

    Msaada app inayoweza ku convert movie za format hii

    Hizi ni movie hazifunguki kwa VLC so nataka kuziconvert ili zifunguke kwa VLC Winx Hd na Any video converter zimeshindwa ku convert
  17. Candela

    Movie ya soz ujinga mtupu

    Habari wanajamvi, nimewaletea mada hii kuhusu baadhi ya movie za ulaya na asia. Kuna hii movie inaitwa soz, nijikite wakati wale wapelelezi wawili wanamfatilia profesa. Walibain kuna mtu anamwinda professa pia wakaamua wamkamate ila cha ajabu wakati mpelelezi mmoja anapigana na huyu jamaa...
  18. Gordian Anduru

    THE CALL: bONGE LA MOVIE

    "THE CALL" bonge moja la muvi 2013, ni kitengo cha huduma za dharura 911 Los Angeles, wanapokea simu za matukio ya hatari jijini, halafu kuna huyu jamaa ana matatizo ya akili anateka wasichana wenye nwele ndefu zenye rangi flani anawapasua vichwa kwa uangalifu apate wigi la nywele hizo...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Jerry Silaa hajahudhuria shauri lake, Kamati yaomba kumkamata

    Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa baada ya kutofika katika shauri lake. Silaa alihojiwa mara ya kwanza na kamati hiyo Agosti...
  20. Saint Ivuga

    Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
Back
Top Bottom