movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. Sherlock

    Kenyan movie scene is making huge strides

    our movie scene has made tremendous strides. Check out this action packed trailer
  2. K

    TID afunguka kiasi alicholipwa kwenye movie ya girlfriend

    Msanii mkali kama anavyojiita TID mnyama ,ameweka wazi kiasi alicholipwa kwenye movie mahiri miaka ya nyuma "Girlfriend" 'Walinilipa laki 5 kwenye movie ,ni pesa nyingi kwa kweli wakati huo, lakini walinichezesha main actor bila Mimi kujua" Amefunguka Mnyama huyo hatari zaidi ya simba...
  3. HumbleBoy98

    Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

    Habari zenu wadau wapenda movies hasa zile za kutisha. Hivi juzi Kati hapa nilicheki movie inayoitwa 'the conjuring', nilicheki sehemu ya Kwanza na ya pili. Hii ni baada ya kupata habari zake humu JF kwamba inatisha Sana na kilichonivutia zaidi kutaka kuzicheki hizi movies Ni kwasababu they...
  4. K

    Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

    Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021. Source:SnS.
  5. Amaizing Mimi

    Msaada jina la hii movie

    Habarini wadau. Naomba kujua jina la hii movie.star wa ile picha anaitwa jonathan gabot(sina uhakika na spelling),ni picha flan ya kifalme ambapo jamaa wanapewa mitihani mingi halaf mshindi anamuoa mtoto wa mfalme.picha yenyewe imeigiziwa nchini nepal.
  6. Da Vinci XV

    Napenda jinsi majina ya sinema za kitanzania yanavyotoa tukio zima la sinema

    Napenda jinsi majina ya sinema za kitanzania yanavyotoa tukio zima la sinema Utaskia "mwimbaji wa injili aliyepigana na simba alimuoa binamu yake baada ya kurogwa na mjomba wake PART 2" daaah ushawahi kuona hizo titles zetu😅
  7. R

    Kwangu mm Extraction ndio movie bora 2020

    Habar wadau Kuna mambo huwa yanachekesha sn ukiyafuta wachambuzi wa filamu ukimwambia akutajie movie bora 2020 atakuambia siji wonder woman 1984 mara sijui bloodshoot na movie zengine za ajabu ajabu tu ikifike mahala muache ushamba nimechek movie ya extractiom mambo yaliyonishangaza ktk movie...
  8. Richmoto Kushmoto

    Movie bora ukipata muda zitazame

    IP MAN 4 KUNG FU JUNGLE JOHN WICK 3 OLD GUARD EXTRACTION TERMINATOR ZOTE NOW YOU SEE ME HARD WAY ya michael jai white THE INFORMER LOST BULLET THE EQUALIZER INVISIBLE DRAGON thank me late after your watching
  9. Red Giant

    Movie za Christopher Nolan hasa Inception na Tenet zinazingua sana

    Nilikuwa naangalia movie ya Tenet. Sijaenjoi kabisa. Unaangalia movie lakini unakuwa kama unasolve puzzle bwana. Inception nayo ilikuwa hivyohivyo lakini afadhali hii ilikuwa na action nzuri. Nyie wenzangu mmeenjoy Tenet?
  10. T

    Sinema (movie) za Vichekesho za watoto ambazo sio Katuni

    Wadau naomba msaada wa kujua sinema (movie) za vichekesho za watoto kuanzia miaka 3, ambazo si za vibonzo (katuni). Endapo zipo nyingine nzuri za katuni unakaribishwa pia kunipa msaada. Ila ningependa kuzijua zaidi ambazo si za katuni.
  11. I am Groot

    Wonder Woman 2 Movie (WW84): Wale wapenzi wa movies (big screen) mzigo uko mlangoni

    Baada ya kusubiri kwa muda mrefu tangu june ilipotakiwa itoke na kuahirishwa mara 2 hatimae kitu kimeanza kutoka rasmi. Tambua tarehe ya ufunguzi katika nchi yako ukaenjoy. Pia itapatikana katika app ya HBO MAX kwa malipo ya $14 tu. The latest international release schedule appears below...
  12. Mkogoti

    Msaada wa hizi movie

    Kwema Wadau wangu mko poa, Natumaini wazima wote, Oke. Wakuu mi naomba kuelezwa kama kuna mmoja wapo alishaona hizi movie sijui hiyo ya Will Smith ni series ata sielewi, kiufupi nijue zinahusu nini ndani ili niweze zipakua nikazicheck, maana nimekuja huko mjandala mara hizo mbili kama ya Tenet...
  13. Salahan

    Wazo la Biashara Bongo Movie

    ZINGATIA:Haya ni mawazo yangu binafsi hivyo yaweza kupuuzwa au kutiliwa maanani bila shuruti yoyote. Kwanza ningependa kuwapongeza kwa kuipigania kazi ya sanaa hususani sanaa ya maigizo.Ninyi na wadau wengine mmekuwa chachu ya mabadiliko ya taswira ya Bongomovie kimaendeleo nikimaanisha ilipo...
  14. Mkogoti

    Ukiambiwa ufananishe mahusiano yako na Movie, je yatakuwa yanafanana na Movie gani

    Kwakweli Mimi Mahusiano yangu ni Movie ya kibongo, Roho saba. 😁😂🤣🤣 Tiririka hapo
  15. Ultimate

    Nitapata wapi hii movie ya kichina The Magic Box.?

    habari wakuu, Kuna series ilikua inaonekana Mambo TV Swahili inatwa The magic box, niliona nao pia channel10 ilikuwepo, nilikua naomba kujua kama kuna website au app ambayo naweza kuangalia au kuidownload. Channel10 wanazingua wanaiplay wakijiskia mara waonyeshe nusu nusu wakate mara waje EP 2...
  16. BRN

    Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri

    Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri kuanzia uigizaji na matukio yanayoendana na filamu zao. Kuna mwigizaji hivi karibuni amejitokeza kwa filamu zenye misemo ya kiswahili hivyo kujizolea umaarufu. Alianza kunivutia kuangalia tena hizi movie zao ila...
  17. DOCTOR UZI

    Ford VS Ferrari ( A Must see movie)

    Wakuu niaje Moja kwa moja kama ww ni mpenzi wa magari na movie bhas nakushauri usisite kuitafuta movie ya ford vs ferrari bonge moja la drama kuhusu racing na magari. Theme ya movie ni kuna jamaa muingereza kwa majina anaitwa ken miles ni jini akiwa kwenye steering wheel anaungana na retired...
  18. RAKI BIG

    Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

    Katika movie zangu kali za mwaka huu ni hii
  19. Johnny Sins

    Movie ya Exam

    ..Alternate Britain..mahali ilipopandwa mizizi ya jengo lenye watu wasomi..na wahusika wanaohitaji kazi ndani ya jumba hili elimu ndo kipaumbele cha kwanza.. ..Walipatikana watu nane wanaohitajika kufanyiwa interview..wakapewa siti wakakaa..wakakabidhiwa askari awalinde.. ..ni kama mtihani wa...
  20. Msukuma wa dar

    Utambulisho wa game ya Twaha Kiduku Vs Dulla Mbabe umekaa kibongo movie sana, Shafii Dauda umebugi

    Nimeona tangazo kupitia Azam TV. Nikabaki nacheka tu. Nakumbuka siku wanasign pambano, Dullah alikuwa sereouz. Jamaa alishauri promoter atoe laki2 kwenye pesa yake ili ikitokea Kiduku amemaliza Round basi apewe. Baada ya hapo ni maigizo tu. Yani Shafii anawafundisha jins ya Ku-Act mpaka radha...
Back
Top Bottom