Hawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies.
Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana
Wajanja sana hawa jamaa😂
Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop.
Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
Wanasema msanii ni kioo cha jamii na kama unavyojua kioo hakibuni na kutengeneza taswira kutoka kusikojulikana bali huonesha taswira ya kitu kilekile kilicho mbele yake. Kwa lugha nyepesi ni kwamba kama msanii ni kioo cha jamii basi watuoneshayo kwenye muvi zao ni yale yale yaliyopo kwenye jamii...
Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu.
Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
Well,
Habari wakuu,
Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo.
Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana.
Natamani nipate chimbo zuri iwe group au hata Dj mwenyewe directly awe ananiuzia jumla. Huwa...
Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi bado nawaona hawa watu wakiwa wamejichora chora miili
Hivi hili jambo lina maana gani kwa wenzetu...
Anayedaiwa kumiliki na kuendesha tovuti haramu ya kusambaza filamu maarufu ‘FMovies’ mapema mwezi uliopita alitambulishwa baada ya kukamatwa na Polisi wa Mji wa Hanoi nchini Vietnam kufuatia uchunguzi wa muda mrefu.
Phan Thanh Cong, 34, raia wa Vietnam aliyekamatwa na mshirika wake, Nguyen Tuan...
Habari wana JF?
Mwaka 2024 ndo tunaumaliza hivyo. Basi nikaona ni vyema kama tukijikumbushia movies na nyimbo ambazo tumezizingatia sana mwaka huu.
Binafasi, movies nimecheki nyingi ila hizi tano ndo nimeziangalia sana. Sina budi kusema ndo movie zangu pendwa:
Good One
Civil War
Sometimes I...
Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax.
Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters?
Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu.
Mwaka 2025 utatutibu maumivu:
Mad Max: The Wasteland
Mission Impossible
Avatar...
Ninataka nikatafute CD nianze biashara ya kuweka movies, nisaidieni majina ya movies kali sana za siku za hivi karibuni zinazovutia sana watu wengi.
Aksanteni nyote!!
Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali,
1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi vya kuzingatia.
2. Sehem gani hapa mwanza naweza nkapata CD za kuanziakwa bei ya jumla.
"Warning, this is the chief of police speaking
Do not steal police hate competition
I repeat do not steal police hate competition.
Where we gonna run, where we gonna hide?
You've got the right to remain silent
But forever they were brought here to protect us
They were brought here not to hurt...
ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+
PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu.
Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi...
Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida.
Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend.
Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.