Mimi siyo mtazamaji sana wa movies, si kwa sababu sipendi, ila ni vipaumbele. Ninapenda zaidi kusoma, hivyo mara nyingi nipatapo nafasi, hutumia kwa kusoma. Ukinikuta natamaza TV, ujue ni ama taarifa ya habari au documentary ya Kisayansi, n.k.
Lakini nimesoma mahala kuwa kuna movies zinazoweza...
Movies aren't just fun; they can be powerful tools for understanding and managing our emotions. We all know how a sad film can bring on tears or a comedy can lift our spirits. But what if movies could be used to delve deeper, to explore and process difficult emotions in a safe space?
A photo...
1. TELL NO ONE.
Ni miaka nane sasa imepita tangu dokta Alex alipompoteza mkewe, bi. Margot, kwa kuuawa kifo cha kikatili na kisha mwili wake ukatupwa karibu na makazi yao.
Kwa kipindi chote hiko mpaka sasa, dokta amekuwa akiumia na hajapata kutulia kamwe. Bado anaomboleza msiba wa mpenzi...
1. VACANCY.
Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni.
Wakiwa safarini, ndani ya gari lao, wakati huu wa usiku, David anaacha njia kubwa na kufuata shortcut ili wapate kuwahi huko...
Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana.
Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America alikoalikwa na rafiki yake Jack walioachana miaka 12 iliopita. Ryan anasumbuliwa na madeni yaliyotokana na...
BEN STILLER
Miongoni ya Movies zake:
1: Night at the museum
2: Along came Polly
3: Meet the Fockers
4: Tropic Thunder
5: Zoolander
ADAM SANDLER
Miongoni ya movies zake:
1: Anger Management
2: Grown ups
3: Zohan
4: Just go with it
5: Blended
Kama una bando la kutosha, anza mdogo mdogo. Futa ambazo tayari.
Halloween
Halloween 2
Halloween 3
Halloween 4
Halloween 5
Halloween: The Curse of Michael Myers
Halloween H20
Halloween: Resurrection
Halloween (2007)
Halloween 2 (2009)
Halloween (2018)
Halloween Kills
Halloween Ends
Friday the...
BEFORE I GO TO SLEEP.
Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua.
Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani.
Anaenda bafuni, humo anakutana na picha kadhaa ukutani, picha akiwa pamoja na bwana yule alomwacha...
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru mno kwa hili.
Hizi hapa ni baadhi ya kazi zao, ukipata muda basi jikonge na roho yako.
1. HAPPY...
1. BABY'S DAY OUT
Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake.
Bahati mbaya mtoto anakuja kuwatoroka na kuzamia ndani ya jiji la Chicago. Sasa mabwana hawa watatu wanabakiwa...
Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo.
1. SECRETARY
Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida.
Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
Download series fuatilia ukizingatia kuna maneno utayajua kupitia movie Kwa mfano mimi neno concubine (mke mwenza) sikuwahi kuliona popote isipokuwa kwenye tamthilia ya jumong. Kwa sasa namalizia Tom rider Maneno mengi nayakumbuka.
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message n.k.
Pamoja na hayo, ikitokea filamu imechagizwa na monologue bora au kwa lugha nyepesi speech...
"Hakuna mwenye uwezo wa kutabiri mambo yatakayotokea wakati ujao kwa usahihi isipokuwa Mungu pekee". Hivyo ndivyo wanasema, maana yeye pekee anatambua mwanzo na mwisho wetu. Wataalamu wengi wamejaribu kufanya hivyo, wengi wameaibika na wengine kuapa kabisa kamwe hawawezi kuja kutabiri, baada...
Nisiwe msemaji sana. Kama wewe mdau wa Horror, hii gem nimeiotea leo inaitwa Trauma ya 2017.
Mademu wanne walienda vacation weekend porini kwenye nyumba flani. Kula sana bata.
Bwana si wakavamiwa na mtu na baba ake, wakiwa na siraha. Wakarape, piga brutally, hadi wanakula nyama zao wakiwa...
1: Jason Bourne vs Mission Impossible
2: Into The Blue vs Fool's Gold
3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War.
4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror
5: White House Down vs Olympic Has Fallen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.