nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000.
lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza kupata usharudi hapa kwa wabobevu wa hizi harakati.
NB. mimi ni kinyozi pia Lakin natumia kijana wa kazi ila nikirudi katika mishe naungana nae hasa wikiend.