Kati ya movies za Yesu ipi ulioikubali sana? Kati ya ile ya 1979 ambayo ilikuwa so popular hadi waliitafsiri kwa kiswahili au the passions of Christ?
Personally me ile ya kwanza ilikuwa nzuri sana but lugha haikuwa halisia kwani Yesu hakuongea kiingereza bali Aramaic ila stori was good na...
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena
Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
Salaam kwenu.
Naulizia hiyo movie hapo juu kwa mwenye direct link au hata torrent ambayo sio CAMRip au WebCam iwe HD naomba anijuze please.
Natanguliza shukran.
Ni kama wewe ni muwindaji haujawahi kumuona simba, au ni mvuvi haujawahi kumsikia nguva.
Okay maybe utasema simba wapo mpaka leo na sio mfano halisi, basi niseme ni kama wewe ni palaeontologist na haujawahi kusikia habari za dinosaur.
Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production.
Steven kanumba baada ya...
Weekend ikiwa inakaribia,
Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa kuzunguka internet kupata Movies tunazozitaka.
Kutatua hilo kuna hii Movie Newsletter by...
Wadau wa movies,Kuna movie moja imechezwa Africa na watoto wawili, mmja dogo wa kiume na mwingine wa kike(west Africa) hope Cameron.
Madogo wote wanandoto za kuzamia ulaya kupitia Morocco to Spain.Madogo wanapanda ndege kule matayle ya ndege yanapojikunjia..........wapo juuu barid kinomaa...
Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast
Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na...
It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako ndani unafurahia muda wako to the maximum!
Tazama hapa ....
1. THE 8th NIGHT
Miaka alfu mbili...
50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni.
Kwa mujibu wa utafiti mpya...
Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60.
Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari...
Hali inazidi kutisha sana katika upande wa bongo movies, kwani hiyo tasnia haiendelei na wala hailipi. Ukija kutafta watu maarufu na wenye hela utakuta ni wa bongo fleva, je huko bongo movies shida ni nini?
The late Kanumba alijaribu kuipambania sana hiyo tasnia baadaye JB naye akaipambania...
Eti wakuu.
Tunaposema jumuhuri ya Muungano wa Tanzania tunamaanisha nini?
Jamhuri inamaanisha nini?
Ina sifa gani?
Mbali na jamhuri, kuna vitu gani vingine?
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.