Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini
Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza...
Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏
Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza Vifaa Vidogo Vidogo Vya Simu Kama Vile Earphones, Makava Ya Simu Na Chaji.
Kwani Mtaji Ninao...
Netflix is helping produce three Kenyan movies and will spend Sh33 million to train actors, as part of its investment in local content.
The three are in different stages of production while their licensed local titles are being reviewed by Netflix.
The US streaming service said the Kenyan...
1. Hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies!
mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi
2. Wamekuwa na vijikaulimbiu (slogans) viiingi visivyo na maana kama titles za bongo movies. baadhi ya...
Heshima kwenu wakuu.
Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho.
Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu.
Natanguliza shukran zangu za dhati...
Aliyekuwa mwanajeshi wa SAS amewaasa raia wa kawaida wa Uingereza wakae nyumbani na watazame kwa umakini movies za 'Call of Duty' badala ya kusafiri kwenda Ukraine kupigana na majeshi ya Russia.
Phil Campion, mwenye miaka 53, alihudumu jeshini toka mwaka 1997, na akashiriki mapigano ktk kikosi...
Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache.
1:Kifo Haramu
2:Shamba Kubwa
3:Nsyuka
4:Gubu La wifi
5:Chiku na Kapili
6:Shumileta
Nawe shusha zako
Anayejua Kingamuzi gani naweza kununua nikaona zile Movie za zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.
Kwema wakuu!
Faida ya kuangalia Movie au Series ni kuelewa kiundani neno kwa neno na Story nzima. Kwa wale wapenda Movies na Series kutoka nje ya nchi ambazo hawatumii Kiswahili kama lugha mama, wanaelewa ugumu wa kushindwa kuelewa kinachoendelea kwenye Movie au Series husika sababu tu ya...
Kwa wale wapenzi wa movies naomba mdondoshe Movies Kali za mwaka huu iwe actions or horror ambazo kwako wew ndio best movies in 2021 🔥
Nataka nami nisibaki nyuma natamani kuzitazama 🤝
Habari,
Zipo external za transcend, used but in mint condition.
2TB kwa 100,000 FIXED
3TB kwa 200,000 FIXED
Call 0712198128
Call 0712198128
Call 0712198128
Habari wana jukwa hili tamu,moja kwa moja ngoja nienda kwenye point,kuna biashara ya LIBRARY YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD ni biashara inayoonekana ya kawaida sana,ila ni biashara yenye pesa nyingi tu,ninaposema pesa nyingi nina maana faida kibao,isiyo na presha ya mtaji kukata,mara bidhaa...
Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe.
Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana...
#Repost CNN @download.ins
---
FinanceBuzz will pay an individual $1,300 to watch 13 scary movies in October, in an effort to find out whether the size of a movie's budget impacts its scariness. They will monitor the person's heart rate during the films using Fitbit, the company said.
The...
Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂
Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta...
GWAJIMA AMEATHIRIWA NA FILAMU ZA HOLLYWOOD "FICTION MOVIES" PAMOJA NA MAMBO DHAHANIA.
Na, Robert Heriel.
Gwajima anaonekana ni muumini mkubwa wa filamu za kimarekani "Hollywood", hasa zile fiction movies, adventure movies na Horror movies.
Ukimsikiliza Kwa umakini mkubwa Ndugu Gwajima...
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomben mnitajie list ya movie kali za kihalifu au kihuni kama hizi nlizowah kuziona mimi.
-Living Pablo
-Narcos season
-El Mariachi
Mostly zinakuwa za South America hasa Mexico na Colombia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.