Wakuu habarini ..
Kwa wapenzi wa movie naombeni mnitajie movie kali latest zinazohit kwa kipindi hiki ,,ili usiku nianze nazo maana sina info. Juu ya movie yoyote kali zilizo be released..
Msaada wakuu..
Category za movie ziwe ;
1. Action
2. Romance
3. Thriller
4. War
5. Crime
Kuhusu...
Habari zenu wandugu? Ni kitambo kidogo sasa hatujakutana kwenye hiki kijiwe chetu cha movies kutokana na mambo ya hapa na pale lakini natumai kila kitu kipo poa!
Pasipo kupoteza muda, leo tutazamia ‘session ya 04’ kwenye huu mfululizo wetu wa kuhamasishana kutazama filamu mbalimbali kwa...
Wiki hii nilipata nafasi ya kuangalia movie pamoja na series mpya kutoka NETFLIX ORIGINALS. Hizi zote wameziandaa wenyewe;
EXTRACTION (Movie)
Hii imejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kuwa full packed na fights za kutosha, kwa wapenzi wa action movie hii lazima uikubali. Ila walipofeli na...
Niaje wazee? Natumai mnaendelea vema huku mkiendeleza mapambano dhidi ya janga hili la Corona. Tafadhali usipuuzie, ni serious na inaua. Usingoje serikali ikuchukulie hatua, bali chukua mwenyewe kwa ajili ya familia yako.
Basi kama ilivyo kawaida, leo hii nitajaribu kushirikiana nanyi baadhi...
Habari wapenda filamu wenzangu. Ni siku nyingine tena tumepewa nafasi ya kukutana hapa na kujadiliana mambo kadhaa kadhaa kuhusu utazamaji wa filamu, starehe ambayo kwa sasa ukizingatia na hali ya mlipuko wa Corona inatufaa zaidi kwa kutuhamasisha tukae ndani kujiepusha na michangamano isiyo ya...
Kutokana na mlipuko na kusambaa kwa homa kali ya mapafu – Corona (COVID -19) ni muda sasa wa kupunguza rapsha za hapa na pale tujitulize nyumbani muda wote ama muda mwingi zaidi. Ni kweli ni kadhia kubwa, huchosha sana, lakini hatuna budi kwa ajili ya usalama wetu binafsi na familia zetu.
Basi...
Kwa upande wangu mimi muvi za animation nilizokubali kuna:
1. How to Train ze Dragon
2. The Monsters
3. The Croods
4. Aladdin.
Mimi nimeanza na hizo na wewe kama mdau wa animation ongezea basi.
===========================================================================================
Public...
Nitajie movie zinazohusiana na Crimes, Sex drama, na comedy. Zote ziwe za black Americans. single movies.
Mfano addicted,get rich or die trying, little man etc
Watu wengine hatupendi kuangalia horror movie sio tu inatisha pekee Bali tunataka iwe ndani yake Ina mvuto (idea nzuri) na unique ndo dhumuni kubwa ya Huu Uzi mfano mzuri ni "Final destination" japo ni horror movie lakini ina idea ya kipekee na yenye kuvutia ndani yake.
Script writer wa hii...
Right now are you in fear? Every moment in your life are you in fear?(No) When you are not in fear just stay like that because to create fear you have to create excessive imaginations.
To not be in fear you don't have to do anything. Thing that have not happened you are creating.Your fear is...
Napendelea sana kuangalia movie na series za commedy na baadhi ya series commedy nashauri wapenda commedy wenzangu waziangalie (hapa nitataja kumi bora tu)
1. Friends
2. Seinfeld
3. The Big Bang Theory
4. Fraiser
5. Cheers
6. Malcolm in the middle
7. Scrubs
8. Boy Meets World
9. Brooklyn Nine...
Hii ni uzi maalum kwa wapenzi wa movie za ki-Nigeria. Utapata updates za movie kali zenye story nzuri, movie za kichawi, mapenzi ngumi nk. ungana na sisi kwa burudani kali kila siku.
Naamini mpo wazima,pole kwa waleo wagonjwa na wasio jiskia poa
"Natafuta Movies kwamiliki wa Bongo movies #businesspurpose
Je wewe ni producer au tu mmiliki wa filamu yani una miliki wa filamu za bongo naomba tuongee biashara, filamu zako zisiwe katika mtandao wa youtube tafadhali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.