Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20.
Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k
Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake
1. ARIZA
2. Tesklat
3. Zemheri
4. Sol yanim
Ongezea list wale wapenzi...
Natumai wanajamvi hili wazima.
Naomba mwenye kujua majina ya movies zinazolezea masuala ya matukio ya dini za Kiislam na Kikristo..mfano maisha ya Nabii Ibrahim, safari ya Wana wa Israel kutoka utumwani Misri, nk.
Itapendeza hata Kama utaniwekea link niweze kufuata na kuaccess vizuri
Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
ATHARI MBAYA ZA BONGO MOVIE KUWA NA VILAZA WENGI NDANI YA JAMII
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Wapo watu wataona nimewaandama hawa ndugu zetu, lakini lazima ukweli tuuseme. Hatuwezi sema kuwa hakuna athari chanya walizotupatia Bongo Movies ndani ya nchi yetu, zipo faida kadhaa, kama vile, kutoa...
BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI
Anaandika, Robert Heriel
Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje.
Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule.
Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu tangu june ilipotakiwa itoke na kuahirishwa mara 2 hatimae kitu kimeanza kutoka rasmi. Tambua tarehe ya ufunguzi katika nchi yako ukaenjoy. Pia itapatikana katika app ya HBO MAX kwa malipo ya $14 tu.
The latest international release schedule appears below...
Kama si muda kubana, tungaliona thread hii tangu jana (Ijumaa), lakini hakuna kilichoharibika, bado ni weekend so twende na hizi hapa kuanzia usiku huu...
Hii itakuwa ni thread yangu ya nane sasa katika mfululizo wa 'movies to watch'... kama ni mgeni, basi waweza zipitia moja baada ya nyingine...
Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe na demu wako maana sio kukaa na watoto maana unaeza aibika.
Huko ni mchezo wa wanaume kwa wanaume...
Nina furaha nimerudi tena uwanjani hapa ikiwa ni toleo langu la saba sasa kuhusu movies mbalimbali. Ni matumaini yangu mko salama. Sasa Weekend ndo' hiyooo inasogea, wengine hatuna mambo ya clubs wala drinking, tunafanyaje? Tunakaaa ndani kutazama movies.
Bila kupoteza muda, tutazame movies...
1. https://www.fzmovies.net/
Ni moja ya tovuti yenye mkusanyiko mkubwa wa sinema ambazo unaweza kuangalia kwenye simu au kompyuta yako.
Pia Inaruhusu Watazamaji Kupakua Sinema.
2. Mobile Movies
- Tovuti hii ilijengwa kwa ajili ya watu wanaotumia simu za kawaida(mobile), Sinema Zote Zipo...
Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline.
Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Kenyan Movie
Bongo Movies
Ni matumaini yangu mko poa. Ni ‘weekend’ sasa, muda ambao tunapata mapumziko, hivyo basi si vibaya kama tukipata wasaa wa kupakua na kutazama filamus kadhaa kwa ajili ya burudani na pia kujifunza.
Bila kupoteza muda, tuzame kwenye hizi hapa ambazo naamini hautajutia ukizipatia muda na bundle...
Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa.
Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu.
IDENTITY ya 2003.
Kuna watu wanaamini hamna kitu kinachotokea duniani kwa bahati mbaya. Kila kitu kimepangwa na kipo kwa...
Sijui kama ni mimi au kuna wengine tunaoona movies ni kama michezo ya kitoto au watoto wadogo.
Mimi akili yangu imegoma kabisa kuzielewa movies. Hata nikiangalia baadae sikumbuki nilikua naangalia kitu gani. Naona kama ni childish sana.
Nimejitahidi kuangalia movies lakini wapi akili yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.