moyoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Petro Masunga

    SoC03 Haya ndiyo yalikuwa moyoni mwangu kuhusu mabadiliko na uwajibikaji

    Naitazamia nchi ya watu wazima, huku nikiwa na kiasi cha tashwishi. na kujiuliza maswali, kama nchi ya watu wazima tunataka nini? hivi mwelekeo wetu ni upi? kiongozi ni yule, na mwongozwa ni huyu. najaribu kuwaweka kwenye kundi moja, lakini hawawekeki. hivyo niliona kila mmoja akiendelea na njia...
  2. Mwl.RCT

    SoC03 "Mwiba wa mti huonekana, wa moyoni hauonekani"

    MWIBA WA MTI HUONEKANA, WA MOYONI HAUONEKANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Methali ni usemi mfupi ambao una ujumbe wa maadili. Methali nyingi zina ujumbe wa kina ambao unaweza kusaidia katika kuelewa maisha na kuwa na maadili mema. Moja ya methali maarufu ni "Mwiba wa mti huonekana, wa...
  3. King snr

    Wanaume tutoe ya moyoni tusije kufa nayo

    Bila salamu naandika kwa uchungu nilionao moyoni nataka sumu zote zitoke Leo. Miaka tisa iliyopita niliingia kwenye mahusiano na mtoto wa binamu yangu. Nilikuja kuomba ushauri hapa baada ya penzi kukolea. Thread hii hapa: Nampenda sana mtoto wa binamu yangu, nitaruhusiwa kumuoa? Miaka mingi...
  4. Chizi Maarifa

    Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

    Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu. Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu. Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza...
  5. Gan star

    VIDEO: Hayati Magufuli tutaishi naye moyoni mpaka kizazi cha tatu na cha nne

    Performance za kibabe za huyu Mwamba hakuna mtu anayeweza kutia Maguu. Jamaa ni Legendary, ngoja mda wetu wa kuchukua madaraka ufike tutaelewana tuu, wacha wazee wataabishaji waishe kwanza.
  6. Liverpool VPN

    Niko njia panda yenye maumivu moyoni: Biashara yangu imelala sana je, niende kwa mganga?

    MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani basi laki kadhaa ziwe kwenye wallet yangu. Katika kukimbiza ndoto zangu niliamua kufungua biashara...
  7. S

    Hasira ukaa moyoni Mwa mtu mpumbavu.

    MHUBIRI 7 Ukweli wa maisha 1 Heri sifa njema kuliko manukato ya thamani; Na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa. 2 Heri kuiendea nyumba ya matanga, Kuliko kuiendea nyumba ya karamu. Kwa maana huo ndio mwisho wa wanadamu wote, naye aliye hai atautia moyoni mwake. 3 Huzuni ni afadhali kuliko...
  8. Zakaria Maseke

    Madhara ya kukaa na kinyongo au hasira moyoni

    Katika magonjwa yanayoongoza kuua watu ni HASIRA au KINYONGO. HASIRA au KINYONGO ni chanzo cha magonjwa mengi na vifo. Vinapunguza sana siku za kuishi. Uchungu usipoutoa moyoni utatokea sehemu nyingine, 👌 ukitokea kwenye ziwa, 🤱 tunaita kansa ya titi, 🌝 ukitokea kwenye moyo tunaita presha, 😯...
  9. R

    Je, TBC wameripoti taarifa za Tundu Lissu kurejea nchini? Kama wameripoti, imetoka moyoni?

    Mhe. Tundu Lisu ameripoti kurejea nchini mwezi huu, hii ni habari kubwa nje na ndani ya nchi. Swali la kujiuliza: Je, TBC wameripoti habari hii saa mbili kwenye taarifa ya habari? Wameripoti mitandaoni? Kama awajafanya hivyo kwenye taarifa ya habari, tunaamini mfumo unasema na kutenda kile...
  10. Acehood

    Uzi maalumu wa kutoa ya moyoni

    Malizia hasira zako kwenye huu uzi. Ropoka yote yanayokusumbua, iwe mwenye nyumba, timu, mchezaji, mwana jf, mwanasiasa n.k
  11. Mwizukulu mgikuru

    Bora uchelewe kuoa au kuolewa ili ukutane na yule mtakaependana kutoka moyoni

    Ndoa nyingi siku hizi zimekuwa zikivunjika mapema sana yaani watu wanaowana baada ya miaka miwili tu ndoa inavunjika na muda mwingine unakuta harusi pamoja na maandalizi mengine yalikuwa ni ya gharama kubwa saana. Tatizo kubwa nililokuja kuliona asilimia kubwa ya waolewaji wengi wanaolewa na...
  12. Erythrocyte

    Nape Nnauye ataka Mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyodhibitiwa iruhusiwe. Je, hoja hii inatoka moyoni mwake?

    Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa zamani wa Itikadi na uenezi wa CCM, amenukuliwa leo akitaka mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iruhusiwe, kwa vile jambo hilo litasaidia kuamsha chama chake cha CCM kutoka kwenye usingizi wa pono. Nape Nnauye ambaye sasa ni Waziri wa Habari, na ambaye Ubunge...
  13. M

    Baada ya Kuapa naanza kumuona Rais Ruto kama ni Mtu mwenye Papara, Kukomoa, Unafiki na Visasi Moyoni

    Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake. Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake. Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
  14. koba lee

    Hebu njooni hapa tufunguke ya moyoni

    Poleni na majukumu wakuu, Niende kwenye mada. Kwa wale ambao washaangalia filamu flani za Kimarekani zinaitwa THE PURGE nadhani wanaelewa nini kilikuwa kinafanyika mule, kwa wale ambao hawajawahi ntaeleza kiufupi. Ni kwamba ilikuwa kila baada ya muda fulani Serikali ya Marekani ilikuwa inatoa...
  15. Princep

    Ishi kwa Amani Moyoni mwako kwa kuanza na kuwasamehe waliokukosea

    Dunia nzima hakuna ambaye ni mkamilifu asilimia 100% kwa maana hiyo kila mtu kwa nafasi yake anafanya makosa kwa bahati mbaya au kukusudia Hivyo usitake kuwa mkamilifu kwa kuwa haiwezekani hata Kidogo Kwa maana hiyo mtu yeyote ambaye anajitambua anajua kwamba kila mtu anayekutana nae kwenye...
  16. Taifa Digital Forum

    Watumishi wa kima cha chini Mkoani Singida watoa ya moyoni nyongeza ya mishahara.

    Watumishi wa kima cha chini Mkoani Singida wamezungumzia nyongeza ya mishahara iliyotolewa na serikali ya awamu ya sita.
  17. cold water

    X wangu ananitumia kwenye matatizo yake. Nitaamka lini?

    X wangu ananitumia kwenye matatizo yake nikisha msolvia anaanza dharau, akiwa na shida ananiweka karibu. Kuna muda natamani kumkazia huruma inakuja namsaidia.
  18. sinza pazuri

    Lizer afunguka ya moyoni: Diamond alikuwa analipia nyimbo za Wasafi kupigwa Clouds

    Producer namba moja wa muziki East Africa wakuitwa Lizer Classic ametoa za ndaaaaani kabisa namna Clouds na Wasafi walivyofanya biashara ya muziki. Alitoa comment hiyo akimjibu shabiki kaukau wa mtandaoni.
  19. M

    Vijana wengi wa DSM walishaharibi niwa kingono. Utakuta mtu anafamilia lakini anayo siri moyoni. Hii ni sababu ya kuendekeza tabia, mila na uovu.

    Dar ni mji mbaya sana. Maan watu wanafundishwa uovu toka wadogo. Wanafundishwa kulawati na kulawitiwa wakiwa wadogo. Ndo maana wengi walishalawitiwa inabakia kuwa siri yao tu. 👇
  20. Robert Heriel Mtibeli

    "Mazoea" yako hujenga mwamba mgumu moyoni mwako

    "MAZOEA" YAKO HUJENGA MWAMBA MGUMU KATIKA MOYO WAKO Anaandika Robert HERIEL Yule Shahidi Ingawaje maisha yanatufundisha tusiwe na MAZOEA kila siku, hayataki tuzoee lakini Sisi ndio tunalazimisha kuwa na MAZOEA, ndio maana leo ni tofauti na Jana, na kesho itakuwa mbali na siku ya leo. Wala...
Back
Top Bottom