Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya.
Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili leo anatimiza miaka 97, ni mingi kwa kuiandika na kuihisi kichwani ukifanya tafakari ya kina. Ni miongo tisa na miaka saba. Amekula magunia kwa magunia ya chumvi. Ni umri mkubwa sana kuendelea kuwepo hai, akiwaona wajukuu na watoto zao. Mzee Mwinyi kwa sisi...
Habari Wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 24 Kiukweli nashindwa Kumdanganya Mwanamke nina mapenzi ya dhati kwa mtu ninaempenda kweli. Ni mara ya pili naingia kwenye Mausiano baada ya nilie kuwanae kuniwekea masharti kwenye chakula cha mwili baada ya kumvumilia kwa miezi tisa.
Kazi ipo kwa...
Kumbe hawa wanaCCM wana makundi maana sasa kundi linalotamalaki kwa ubabe wa kugawana nyadhifa ni kundi la wahuni au wenye chama chao.
Waliowekwa kando wamechukia na watalipa kisasi japokuwa sio mapa sana. Ila watalipa kisasi
Sisi wapinzani tujipange maana sasa ndio muda muafaka.
Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja.
Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond Platnumz.
Hii ni kufuatia uvumi unaoenezwa kuwa nyota hao wawili wa Bongo wanachumbiana baada yao...
Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada...
Mhe. Freeman Mbowe yupo mahabusu kwa miezi kadhaa sasa, siyo kwa sababu ametenda kosa ya jinai bali kwa sababu amekataa kutumika kuwakandamiza watanzania. Kukaa kwake ndani naamini ni Mpango wa Mungu kutufunulia aina ya watawala tukio pamoja na namna dola inavyoshughulika na wanachi wasio na...
TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi na wala hajakosea hata kidogo bwana Edo" ingawa kwangu mimi bado nitaendelea kuwakubali (Lion Messi...
Yuko sahihi
Au hayuko sahihi
Ni wewe na mimi kuamua.
Yeye anakupa first hand experience.
Na kwa upendo wake anasema,
Kwa wale ambao hamjachukua hatua kama aliyochukua yeye,
STAND YOUR GROUND.
Amesukumwa na upendo tu.
Hana anachotegemea kutoka kwako.
Na sitaki kuamini kuwa anafanya hivyo
kwa...
Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa!
Umaarufu wako
Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe!
Muonekano wako
Hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye...
Nimekuwa nikimsikiliza sana Gambo kwa mengi anayosema. Ukweli nimetokea kuwa mtu ambaye namfurahia sana, kwa kuwa amekuwa mtu anaetoa kauli makini zenye kujenga bila hofu katika kuielekeza na hata kuikosoa serikali ambayo inaongozwa na chama chake.
Mtazamo niliokuwa nao juu ya Gambo akiwa RC...
Stori yangu inaanzia mbali sana kipindi nikiwa chuo kikuu fulani, ilikua ni mwaka wa pili nikisoma shahada moja ya sayansi
Nakumbuka nilikua field nikakutana na mdada mzuri sana mweupe ana macho yanawaka mithiri ya theluji ya mlima Kilimanjaro miaka hio, 60 nyuma kabla ya mabadiliko ya hali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.