Poleni na majukumu wakuu,
Niende kwenye mada. Kwa wale ambao washaangalia filamu flani za Kimarekani zinaitwa THE PURGE nadhani wanaelewa nini kilikuwa kinafanyika mule, kwa wale ambao hawajawahi ntaeleza kiufupi.
Ni kwamba ilikuwa kila baada ya muda fulani Serikali ya Marekani ilikuwa inatoa...