Babaa...
Tambua kuwa moyoni naumia...
Nimepata maradhi, na tiba unayo wewe babaaa...
Fanya hima, naumia eeeh...
Kila nikilala taswira yalo naiona, vivyo hivyo suati yako...
Huku akili yangu ikipapasa ndevu zako..... aaah...!😞😞😞moyoni naumia eeehhhh...
Wajua nalikosa huba lako mpenzi...