mpaka

Mpaka is a town in eastern central Eswatini in western Lubombo District. It lies about 22 kilometres (14 mi) northwest of Siteki on the MR3 highway.

View More On Wikipedia.org
  1. Kilimo kinalipa wanangu wa NETO

    Kilimo kinalipa wanangu wa NETO njooni tujaribu nahuku sasa kama kule kumegoma inakuaje mfano mpaka sasa hatuelewi kama oral tulifaulu au tumefeli. Majibu tuliyo nayo niya written tu
  2. Natumia Iphone 7 plus ila haifungui Social Media Mpaka Na Data

    Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
  3. TANZIA Shabiki Maarufu Wa Simba SC Mjata Mjata maarufu kama mpaka Mafuta Afariki Dunia

    #TANZIA: Shabiki wa Klabu ya Simba, Mjata Mjata, amefariki Dunia wakati akipatiwa matibabu mkoani Tanga. Mjata alikuwa mmoja wa wadau wa soka waliokuwa na mchango mkubwa katika kukuza mchezo wa soka, na hasa kupitia upendo wake kwa timu ya Simba SC. Mjata Mjata ni miongoni mwa mashabiki...
  4. Ushauri: Maswala ya Elimu yote kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vya ualimu yawe chini ya Wizara ya ELIMU, TAMISEMI wapunguziwe mzigo.

    Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
  5. S

    Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

    Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo. Soma Pia...
  6. Mil.800 mpaka bil.1 mshahara na marupurupu ya mbunge,si upinzani wala fisiemu wanalizungumzia

    Habari wakuu Sijsikia viongozi wa upinzani wakiliongelea hili kwa nguvu,wala fisiemu Marupurupu kuwa makubwa yasio akisi hali ya wanaotuwakilisha ni chanzo cha kuwa na vibaraka sio tuu wa kuacha serikali ifanye inavyotaka,lakini kuwa muhuriwa mambo ambayo hayana maslahi kwa nchi yetu au...
  7. Kama mzazi angekua anaitwa kila unapozingua kazini mzazi wako angekuwa ameshaitwa mara ngapi mpaka sasa?

    Wakuu, Nimekumbuka kipindi tuko shule, ukifanya kosa au kuwa mtundu shuleni mzazi wako anakuwa hakauki shuleni. Sasa usiombe ukadakwa kwenye skendo kubwa kama kudakwa na boifrendi/gelifrend hapo ndio unapelekwa asembo kabisaaa, unachapwa mbele za watu na suspenshen juu!😂😂 Ila waalimu...
  8. Ujanja ujanja wa GSM kwenye ligi anauleta mpaka TRA na bandarini

    GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu. Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home...
  9. P

    Matukio ambayo nikikumbuka namshukuru Mungu naendelea kua hai mpaka sasa

    Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
  10. Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  11. Je uliwahi kufanya mistake wakati ukiendesha gari, unalojutia mpaka leo?

    Mimi niliendesha gari kutoka Dar, nikiwa maeneo fulani ya Singida, kuna sehemu imenyooka kweli kweli malori mawili na gari ndogo moja yalikuwa mbele. Nilikanyaga mafuta gari ikawa spidi kali sana. Nakaribia kuovateki gari ndogo nayo ikataka kuovateki. Nilipiga honi akarudi ndani nikaovateki...
  12. Tupo na JKT na Tabora utd mpaka zishuke daraja

    Ni kawaida kwa vilabu vidogo vidogo kukamia na kuweka nguvu nyingi zinapocheza na Bingwa mtetezi. Tabora utd baada ya kuifunga Yanga wakaweka mpaka sherehe na pesa ndefu wakagawana, Ila walipocheza na walozi wengine wanaachia tu! Kwani hii Ligi anayecheza ni Yanga peke yake? JKT akicheza na...
  13. Wakuu nimepunguza bei mpaka 250k

    Pc yangu ile nimepunguza bei maana inaonekana bei ya mwanzo ilikua mkasi sana. Hp probook Proccessor Intel-pentium inside (7thgeneration) Ram 8Gb HDD 500Gb Batrery 4hrs Price 250k 0628116693 Dar Es Salaam
  14. Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
  15. Naapa naahidi Tanzania nitakulinda mpaka kufa

    Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele . Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu . Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex ,kwaheri warembo ,kwaheri mashababi na kwaheri majobless pro max . Nawapenda Sana Ila mwisho na sio...
  16. Wakuu naweza kujiunganisha na huduma ya eSIM mimi mwenyewe nikiwa home au mpaka niwafate vodacom ofisini kwao

    Uzi tayari
  17. M

    Havard graduate wanalalamika kukosa ajira. Soko la ajira gumu mpaka marekani. Hali inatisha

    Kwa miongo kadhaa, kupata MBA kutoka Ivy League imekuwa ikichukuliwa kama tiketi ya dhahabu kwa ajira popote. Kulingana na Fortune, MBA ya Harvard inachukuliwa kuwa bora zaidi, ikishika nafasi ya juu katika orodha ya shule za biashara 98 za Marekani. Hata hivyo, mwaka 2024, hata digrii ya MBA...
  18. Netanyahu na wenzake walisema Gaza hamna njaa mpaka congress wakampigia makofi, leo analalamika kuwaona mateka wake hali zao

    Wanaukumbi. All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole. The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
  19. Mpaka sasa usajili wa mpanzu ndiyo hasara kubwa kuliko yote ligi kuu

    I salute you kinsmen Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba. Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
  20. N

    Rais Samia ni lazima Jenista Mhagama awe waziri wa Afya?, Unataka aaibishe nchi mpaka lini?

    Mapenzi haya ya Samia kwa Jenista ni sawa na uwehu, huyu waziri wa Afya wa sasa Jenista Mahagama ni kilaza kiasi kwamba hata kusoma hotuba aliyoandikiwa hawezi kusoma. Km anampenda sana kwanini asimpatie kazi itakayomfanya asionekana mbele ya hadhara? Nia ya Samia ni kuiaibisha nchi yetu? Miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…