Hivi ni sahihi kuendelea kuwa na Tangazo hilo mpaka leo? Mie ninafikiri Tangazo la hivi sio baya kutolewa just at the same Day kwenye Media na kisha siku zinazofuata basi lisiwepo! Haid nimejisikia vibaya pengine Taasisi yangu nimekosea kutoliweka kwa web Tangazo hilo! Twampenda Rais wetu...
katika vitu ambavyo vina nishangaza kanda ya ziwa yani unakosa maji huku ukiangalia ziwa likiwa lina maji ambayo siyo ya chunvi.
kuna siku mvua ilinyesha ndio maji yaka toka yani mpaka mvua kweli.huduma za maji kanda ya ziwa ni za kusua sua tunaishi na ndoo na mapipa kwa mgao.
tatizo ni nini kwa...
Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii.
Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali.
Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli...
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimezidi kuleta athari kubwa kwa wananchi, uchumi na miundombinu. Mamlaka ya hali ya hewa imetangaza uwepo wa mvua mikoa ya Morogoro Iringa, Ruvuma, Songwe, Mbeya na Njombe nk, hivyo kama raia wema ni vyema kupeana taarifa barabara korofi ambazo zimekumbwa na...
Nimejiuliza sana, chanzo cha mgao huu wa umeme ni nini haswa? Kuongezeka kwa wateja, uchakavu wa mitambo? What exactly?
Mambo yote hayo sio dharura, taasisi yenye vision na mission inapaswa kuyaona hayo na kujipanga miaka kadhaa nyuma kabla hayajatokea.
TANESCO ni punda asikwenda bila kiboko...
Ukiuliza sera ya serikali kwa sasa ni nini hata viongozi wenyewe hawajui. Wataanza kukutajia SGR, Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere, watakutajia Bandari na kadhalika.
Kwa ufupi hata viongozi hawajui Tanzania na Watanzania wanahitaji nini.
Watanzania wenyewe pia hawajui wanahitaji nini...
Habari, wajf. Kichwa habari kinaeleza.
1. Mimi kuosha vyombo. Hili tu.
Wewe je ni jambo gani Hilo mpaka linafanya umkumbuke Mkeo sio mchepuko hapa nazungumzia WIFE MATERIAL. Tiririka
Ukiishi mbali na nyumbani lazima utafikiria ni vipi utasolve ishu ya nauli endapo ikitokea dharura mfano msiba unaokutaka usafiri instantly kwa maana Akiba kuweka zimetushinda na huwez kuwa na hela siku zote wewe sio bank.
Kwa waliozaliwa Dar na kwao Dar na wanaishi Dar kwao umbali sio...
Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
"Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi...
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025
Nimekaa chini nimefikiria...
Rais anavunja katiba wazi wazi kwa kuzuia mchakato wa Katiba Mpya. Anaposema wananchi hawana ufahamu kuhusu Katiba, yeye ni malaika? Aliikuta Katiba na wananchi tunataka Katiba Mpya ili tuweze kurekebisha makosa ambayo watawala wanayafanya wakiamini uongozi ndiyo umiliki wa nchi
Rais anapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.