mpango

  1. Vedasto Prosper

    Kwanini, Simiyu, Kigoma, Mara, Geita na Pemba hawatumii Uzazi wa Mpango Kama Mbeya na Iringa?

    Katika ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria wa Mwaka 2022 ya Wizara ya Afya Dodoma kushirikiana na Wizara ya Afya Zanzibar, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dodoma, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar, iliyotoka Januari 2023, INaonesha Kuna Mikoa kabisa haina...
  2. Replica

    Asilimia 28 ya wanaokaribia kustaafu hawana mpango mkakati baada ya kustaafu

    Wachambuzi wameitisha mjadala wa mawazo kutoka kwa wadau ili kufanyia kazi tatizo la kutokuwa na mipango baada ya kustaafu kwa zaidi ya robo ya watu waliofikisha umri wa miaka 55 na zaidi. Baada ya kustaafu wahusika hukumbwa na kuongezeka kwa gharama za matibabu na kujitunza kutokana na umri...
  3. Doctor Mama Amon

    Bad news to PM Majaliwa and VP Mpango; The Tanzania-Dubai Treaty is covertly open-ended for facilitating ‘Arab settler colonialism’ in Tanzania

    1. Introduction Dear Phillip Mpango, The Vice President of the United Republic of Tanzania: Dear Kassim Majaliwa, The Prime Minister of the United Republic of Tanzania: On 15 July 2023 the Minister of Works, Transport and Communications, Professor Makame Mnyaa Mbarawa, and his technical team...
  4. Mtemi Eno

    Mpango wa kumuaga Mkude kwa heshima siku ya Simba Day bado upo?

    Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga. Huo mpango wa kumuaga bado upo?
  5. LIKUD

    Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  6. BARD AI

    Dkt. Mpango akerwa na Utaratibu wa Kuhamisha Watumishi Wabovu badala ya kuwaondoa kabisa

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na kisa kupelekwa kwenye maeneo mengine ya utumishi. Mpango ametoa kauli hiyo akiwa Kigoma ambapo ametaka...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mnzava Asisitiza Kuwa na Mpango wa Matumizi Bora ya Ardhi ili Kumaliza Migogoro ya Ardhi Nchini

    MHE TIMOTHEO MNZAVA ASISITIZA KUWA NA MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI ILI KUMALIZA MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Nampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujali maisha ya wananchi wa nchi hii. Maazimio haya ni ushahidi wa namna...
  8. S

    World Economic Forum(WEF) na mpango wao wa kupunguza watu duniani kuanzia 2023

    Mnamo wa mwezi wa kwanza, tarehe 19, wanajamii wa WEF walikutana na kujadiliana mambo mengi kuhusu Dunia kiujumla. Ila wakati mmoja, kuna mmojawao akatoa pendekezo la kupunguza watu duniani kuanzia mwaka 2023 angalau kwa asilimia 50. Bill Gates tena amezua gumzo baada ya kuandika katika...
  9. SAYVILLE

    Kwa msimu wa 2022/23 Yanga imepata hasara ya zaidi ya Tsh. Bilioni 4

    Kama mnavyojua weekend iliyopita klabu ya Yanga ilifanya mkutano mkuu wa wanachama wake na moja ya ajenda ya mkutano ilikuwa kutoa ripoti ya mapato na matumizi ya mwaka 2022-2023. Kumezuka mjadala mkubwa ambao nadhani na mimi nimechangia sana kuuleta wa kuhoji taarifa zilizokuwa zinasambaa kuwa...
  10. Li ngunda ngali

    Dkt. Mpango: Mimi ni mzalendo wa kweli

    ' Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.' ' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye makubaliano ya aina yeyote.' ' Wakati wote alionyesha tai yake kwa watu wake wa karibu na...
  11. The Boss

    Ukimya wa Philip Mpango na Mwigulu kwenye ishu ya DP World unashangaza

    Hawa watu wawili Philip Mpango na Mwigulu Nchemba....mbona wao wako kiimya sana? Au na wao "wanaamini" nchi imeuzwa Kwa "waarabu"? Mbona hatusikii wakitetea serikali hata mara moja? Au hao ndo kuna mmoja wao "kaagizwa" ..akae mbali asichafuke na wale "wazee" wanaosimamia "project" ya "Chafua...
  12. H

    Mkataba wa Bandari: Ni kweli Rais wa hajui alichosaini au ni mpango mkakati uliojificha?

    UTANGULIZI: Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria kumshauri Rais wa JMT kuridhia kuingia kwenye mkataba wa kipuuzi na kipumbavu namna ile. Ni...
  13. Anna Nkya

    Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  14. tpaul

    Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

    Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...
  15. L

    Japan yapuuza maslahi ya nchi nyingine kwa mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyuklia baharini

    Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan hivi karibuni imeanza kazi ya majaribio ya mitambo ya kupeleka maji machafu ya nyuklia baharini. Baada ya kumalizika kwa majaribio hayo, Japan inatarajia kuanza rasmi mpango wake wa kutupa maji machafu ya nyukilia kwenye bahari ya Pasifiki. Mwaka 2011...
  16. M

    TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  17. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaja na Mpango Mkakati wa Kumlinda Mkulima wa Korosho Nchini

    SERIKALI YAJA NA MPANGO MKAKATI WA KUMLINDA MKULIMA WA KOROSHO NCHINI. Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi imeendelea na jitihada za kuimarisha bei ya korosho nchini kwa kufufua viwanda vya kubangua korosho pamoja na kuanzisha viwanda vipya sambamba na kuanzisha kongani la viwanda...
  18. Barieda

    Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

    Wakuu kwema, Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto). Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye...
  19. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika kudhibiti kuenea kwa jangwa ni wa kutekeleza Mpango wa Maendeleo Duniani

    Tarehe 17 Juni ni Siku ya 29 ya Kupambana naKuenea kwa Jangwa na Ukame Duniani. Watuwanasema kwamba China ina karata za turufutatu za kujitangaza, ya kwanza ni reli ya mwendokasi, ya pili ni ya usafiri wa anga za juu, na yatatu ni udhibiti wa majangwa. Ikiwa mojawapoya nchi ambazo zimeathiriwa...
  20. Boss la DP World

    Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue. Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
Back
Top Bottom