mpango

  1. Mpinzire

    Marekani kutomruhusu Zelensky kukubali mpango wa amani wa China

    Msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby anasema kwa vile Ukraine ni taifa huru, huru na linalojitawala kikamilifu, Marekani haitamruhusu Rais Zelenskyy kukubali mipango yoyote ya amani iliyopendekezwa na ujumbe wa China mjini Moscow wiki hii. John kirby bado ameelezea kuwa kuwa maamuzi yoyote...
  2. GENTAMYCINE

    Dkt. Mpango: Viongozi acheni kupiga 'Vistoristori' na Madereva wenu ndani ya Magari ili Siri zenu zisisambazwe

    "Katika kutunza Siri za Watumishi wa Serikali niwaase sana nyie Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wengine Serikalini muache Kupiga Vistorivistori mkiwa na Madereva wenu ndani ya Magari yenu ili kuepuka Siri zenu Kuzagaa na Kuaminika kwao hawa Madereva wenu wanawajueni zaidi kwakuwa muda mwingi mko...
  3. N

    Mpango wa Serikali kuwainua vijana kiuchumi

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliahidi kutatua changamoto ya ajira kwa watanzania alitoa ajira lakini pia kama tunavyojua serikali haiwezi kuajiri watanzania wote hivyo akasema ataweka mazingira wezeshi ya vijana kujiajiri Ili kufanisha hilo Rais Samia Suluhu kupitia Wizara ya Viwanda...
  4. T

    Tuwatumie wafungwa kutekeleza mpango wa lishe mashuleni wenye matokeo makubwa

    Rais wa JMT, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Waziri wa kilimo, Mhe. Hussein Bashe na wengine wanaohusika Ninawapongeza sana viongozi wangu kwa kuwekea mkazo kilimo kiasi cha kilimo kuonekana ni ajira kwa vijana. Mipango na mikakati ya wizara ya kilimo inayobuniwa chini ya waziri Bashe inatoa...
  5. Analogia Malenga

    Nape: Hatuna mpango wa kufungia VPN

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye amesema amesikia uvumi ya kuwa serikali ina mpango wa kuzuia VPN, amesema suala hilo haliwezekani, wala serikali haina mpango huo Hata hivyo, amesema mtu akikutwa amefanya kosa la kimtandao huku akitumia VPN atahukumiwa kwa makosa hayo. Kwasasa hakuna sheria...
  6. mdukuzi

    Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

    Naandika nikiwa Simiyu baada ya kutoka safarini Pemba Nimetembea mikoa mingi Tanzania ila haya maeneo tajwa yanashangaza. Karne hii mwanamke anazaa watoto kumi!!! Nilichogundua, wanawake wengi huku hawajui mensturation cycle inafanyaje kazimama mtu mzima hajui tarehe yake ya kuwa hedhini...
  7. Lycaon pictus

    Trump alikuwa na mpango wa kulipa wanaozaa watoto wengi

  8. Shujaa Mwendazake

    Baada mpango wao wa Ulaghai wao kufeli na mambo kuanza kwenda kombo, Fei na genge lake waanza kutoa mapovu

    Naam, Baada ya hukumu ya awali iliyotolewa na kakamati ya TFF, Fei akiongozwa na genge lake walisema wataomba revie na ikibidi watajiandaa na kuchukua hatua ya kwenda CAS. Niltegemea utekelezaji wa walichokisema kuwa ndo jambo sahihi zaidi katika taratibu za kisheria, kwani baada ya hukumu...
  9. ESCORT 1

    Kutana na Phil Jones, mchezaji asiyecheza Man Utd lakini hauzwi na hana mpango

    Philip Jones alisajiliwa na aliyekuwa kocha wa Man Utd, Sir Alex Ferguson mwaka 2011. Kipindi hiko akiwa kinda akichezea Blackburn Rovers. Alitajwa kama mchezaji bora katika nafasi ya ulinzi wa kati kwa siku za usoni. Phil Jones akaanza kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Nafasi yake ya...
  10. G

    Kadyrov wa Chechnya ana mpango wa kuanzisha Jeshi binafsi kwa kuwa Wegner wamemkosha

    Kiongozi wa Chechnya ambaye ni kipenzi mkubwa wa Putin amepongeza na kusema kuwa shughuli za jeshi binafsi la Wegner zimemfurahisha hivyo anasema ataanzisha jeshi maka hilo pale atakapotoka madarakani Chechnya's Kadyrov plans mercenary group, praises Wagner Story by dw.com • Sunday 248218 The...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Serikali inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri

    Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia inaanda mpango wa kuwakopesha vijana wa vyuo vikuu pale wanapohitimu masomo ili kuwasaidia katika kujiajiri.
  12. Unique Flower

    Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanao🥰😘😘😘

    😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  13. Poppy Hatonn

    Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  14. Z

    Ukitaka wafanyabiashara wasikuhujumu washirikishe katika Mipango yako ya Maendeleo ya kitaifa

    Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana basi Yao harafu wewe unataka kujenga reli lazima watapambana na wewe kuona hufanikiwi kiurahisi...
  15. JanguKamaJangu

    Sheikh wa Dar es Salaam aliyetenguliwa asema hana mpango wa kukata rufaa

    Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine. Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini...
  16. B

    Dkt. Mpango: Aliyetoweka na kufanyiwa matanga hatimaye alipatikana mbaroni Polisi

    Hii nchi ni ngumu sana. Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola. Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo: Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
  17. JanguKamaJangu

    Dkt Mpango: Kuna manung’uniko mengi ya Wananchi kuhusu mifumo yetu ya haki jinai

    Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi. Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
  18. Doctor Mama Amon

    CHADEMA waja na mpango mkakati ‘kupindua meza’

    Freean Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Taifa BAADA ya zuio lisilokuwa la kikatiba wala kisheria, la mikutano ya hadhara kwa muda mrefu, sasa ni wazi kwamba, Chadema wamezindua mikutano yao ya hadhara wakiwa na lengo kubwa la kueleza wapi serikali “imekwama” kukomboa wananchi na janga la ufukara...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mpango wa wazungu ni kuua kabisa taasisi ndoa

    Kuna jambo ambalo linaendelea na sio wote wamepata bahati ya kuliona. Ndoa ni baraka ya Mungu. Wazungu hawataki kabisa kukisikia kitu hiki. Walianza na ndoa za kimkataba, hawakutosheka, wakaenda kwenye ndoa za mtu na mnyama, na sasa wanakuja na ndoa za jinsia moja, na pia kuna ndoa na masanamu...
  20. Mparee2

    NIDA waje na mpango wa Vitambulisho Kidato cha nne

    Napendekeza kuwa, NIDA waje na mpango mkakati wa kuwapatia vitambulisho vya NIDA wanafunzi wote wa kidato cha nne wenye sifa. Kama taarifa zao zitachukuliwa mapema, inamaana kabla ya maliza kidato cha nne wote watakuwa wamepata vitambulisho vyao na kuepuka usumbufu usio kuwa wa lazima...
Back
Top Bottom