Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.
Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
Wadau salaam,
Nina mpenzi nimekaa nae kwa miaka mitatu hivi. Nimetaka nimuoe lakini amemwambia dada yake anamwambia kuwa mimi ni mkubwa sana kwake kwa hiyo kwa umri huo nina familia nyingine. Kuwa nataka nimpige mimba nimkimbie.
Mimi nina miaka 35 Binti ana miaka 20. Amejaribu kuongea na mama...
Oya naombeni msaada demu wangu kaniambia ameamua kujiunga kufanya mazoezi ya mpira wa muguu mtaani kwao, team ya mademu, nilipo muuliza kwanini umeamua hivyo kazema ni maamuzi yake kaamua iwe hivyo nikimzuia anasema ameamua kufanya kazoeni na kila siku anaenda uwanjani na akirudi amechoka usiku...
ushauri wenu jamaniii
mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 30 niko kwa relationship na dem mwenye umri wa miaka 28. Huyu mpenzi wangu anafanya kazi na anapata 700k kwa mwezi na mimi sifanyi kazi hata yeye analijua hilo
Tukianza relationship tulikuwa tukigawana mshahara yake nusu kwa nusu...
Jamani, my man has truly outdone himself this Valentine’s! Yaani sijawahi kufanyiwa hivi before, I feel so loved and spoiled. 😍
Morning surprise? He brought me breakfast in bed—hot tea, pancakes, and fresh fruits. Yani alijitahidi kabisa kuhakikisha I start my day feeling special. ❤️
Later...
Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 ..
Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana...
Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha.
Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️).
Sikutaka kumchelewesha kama...
Habari zenu walipa kodi wenzangu.
Nanukuu nilichoandikiwq na huyu mrembo wa kisambaa.
"To you the love of my life"
You are just what I dreamed,my sweetheart would you be my valentine?
Nimjibu nini asa hapa?
Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia
"Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela"
Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa makubwa...
Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika
Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa!
Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu
Nikaamua kuuchuna
Mtoto wa pili kazaliwa
Kafanana na mchina mzee akasema wee hujui tu kafata kwa bibi naibiwa mzee naibiwa
Mwenzenu...
Wazee siongei sana lakini kifupi huyu ni mpenzi wangu anafanya kazi ofisi flani hapa mjini ni kampuni binafsi.
Mpka tunakubaliana kuanza mahusiano sikujua kama ni afisa ubashiri mbobezi (mbetiji) sasa tuna kama miezi kadhaa wazee huyu mtu anabet ni mwisho na anakula sometimes mikeka inachanika...
Wakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
Kwa wale mnaokumbuka miaka hio kulikuwa na sakata la Barclays bank kwenye ishu za mikopo na upotevu wa pesa, wakati huo nikiwa mwajiriwa idara fulani hivi ya Serikali kabla ya kujinasua na kuwa mjasiliamali wa pori kwa pori.
Basi bhana nyakati hizo nilipata boom la kimtindo nikatimba ifakara...
Wahuniiiiiii
Nimewaita mje
Mwenzenu ameyainua matanga, akatafuta kimada nje ya ndoa
Kimada ni mtoto wa 2000, basi kila saa anataka attention, anamkausha baba wa watu huku
Baba anataka msaada afanyaje?
Habari wakuu,
Nimeamka leo nakuta mpenzi wangu kaweka WhatsApp wimbo wa Mboso uitwao Over akisindikiza na maneno na dhihaka za emoj za kuonesha anamwambia mtu ambae sio mimi.
Kuna haja ya kuhoji?
Jamani naomba msaada hii naona kama imekaa vibaya sana kwangu, iliwahi kuwa hivi wakati flani, nilikuwa nakipigiwa simu, moja kwa moja anapokea mpenzi niliyekua nae, nikawa naambiwa ila sikuzingatia maana nilijua haiwezekani, ila hili swala limejitokeza tena, mwanamke nilienae sasa hivi nae...
twajibiii
mimi nikimpigia simu mtu wangu akawa anatumika nakuwa na mawazo na hasira juu nawaza vingi sana
anaongea na nani?
wanaongea nini?
inamaana kuna mtu yupo wakumpigia simu na kuongea nae mda wote mm ananichukuliaje?
na asipo jibu sms ndio kuzidi
nahisi kuna mtu bora zaidi yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.