mpenzi wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

    Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu. Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma...
  2. Naombeni wenye kujua haya mambo, naona kama nina kitu Cha kipekee

    Wajuzi wa mambo haya, Naomba nirudi nyuma kidogo,nilikuwa mdogo bado nina kumbukumbu yapata miaka 29 nyuma. Nilikuwa na uwezo wa kuona vitu au kitu kibaya,au kujua ni lini tutapata wageni na nilikuwa nikimwambia mama, Mamangu ni mwana maombi sana na maombi yake juu yetu ni kama umetufunika na...
  3. Zawadi niliyopewa na mpenzi wangu siku ya "Full Moon" 18.02.2022

    Bhanigini bhane, Mimi sio mdau wa mahaba licha ya kwamba nina mapenzi tele. Mahaba ndio chachandu ya mapenzi, mambo ya kuitana bebi, switi hati hayo kwangu ni matumizi mabaya ya sauti. Kunyonyana madenda na kubusubusu kwangu hizo ni kero. Mambo ya kukumbatiana ni kupakana tu taka sumu za...
  4. Muhudumu wa 'lodge' ni pisi kali kumzidi mpenzi wangu niliyempeleka hapo mapumzikoni

    Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo. Alipofika, tukabadilishana mawazo, kula kunywa na hatimaye tukaelekea mapumzikoni. kufika...
  5. Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

    Nipo kwenye mahusiano na huyu dada kwa almost mwaka mmoja. Wiki ilopita kaenda site nje ya mkoa na wafanyakazi wenzie maana nature ya hiyo kazi wengi wanaomzunguka ni wanaume, wanawake wako wawili tu kati ya watu 30. Okay, alivyorudi niligundua alinisaliti akiwa huko site, aligoma kunambia...
  6. Jifunze kuishi na watu wa aina zote

    Kuna Story nimeikumbuka ya miaka Saba iliyopita.. Ngoja niihadithie kidogo iwepo hapa kama ukumbusho wa safari yangu mm na huyu Dada ex wangu popote alipo. Anaitwa Teddy, nilikutana naye 2013 kanisani liitwalo KANISA LA YESU TANGA,( GLORY LAND CHURCH TANGA) Siku moja nilishinda naye ofcn...
  7. Mpenzi wangu wa zamani anataka turudiane. Ameomba talaka kwa mumewe ambaye ni shoga! Ushauri wenu

    Salaam kwenu nyote! Aisee kuna wakati hapa duniani binadamu tunajikuta katika mazingira magumu sana. Hoja iko hivi, huyu binti (dada) tulikutana naye 2004 Novemba, tukapendana yeye wakati huo alikuwa anajiandaa kwenda A level, mimi nikaingia mitaani bongo kuzisaka. Baadae kulitokea mengine...
  8. Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje?

    Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu. Wanasanyasi hebu tujadili hii condition inamaana gani? Najua kunikamata kuwa nachepuka ndio hawezi ila...
  9. Nimempiga mpenzi wangu baada ya kukuta ujumbe wa kimapenzi kwenye simu yake

    Wanajamvi uzima upo? Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu iliyodhihirisha kuwa alikuwa akiliwa na mwanaume mmoja mfanyakazi wa bank). Alikuwa bafuni, kwa kweli...
  10. Nilivyofyeka shamba la jamaa aliyeniibia mpenzi wangu

    Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki kuingiza milioni tatu ilikuwa kawaida na angeweza kuvuna kila wiki kwa miezi mitatu. Mimi zao langu...
  11. Mpenzi wangu anafika ila hamu haiishi

    Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana. Jana jmos asubuh tuliongea akanambia amenimiss ananihitaj niende kwake ila kutokana na majukumu ya kikazi nikamwambia sitoweza...
  12. Najuta kuangalia SMS za mpenzi wangu

    Habari wakuu. Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa kumwambia akanielewa. So naona ni bora niliweke hapa. Lengo sio kuomba ushauri wa mtu.. leo ni kushare...
  13. Mpenzi wangu anapenda ngono sana, nashindwa kumhimili

    Ndugu zangu hali niliyonayo sasa naona sio nzuri, kama nilivyowaambia hapo kwenye juu kama kutakuwa kuna mwenye mbinu mpya anipe. Nimekuwa na mwanamke wangu ambaye kiukweli nilidhani mi napenda mapenzi lakini niligundua mimi sipendi mpaka nilipokutana naye huyo.Eeh bhana yule mwanamke anapenda...
  14. K

    Mpenzi wangu bar-maid

    Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😒 Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi huwa naishiwa nguvu KABISA , japokuwa ananiambia unajua alichokifata hapo (kazi) Nishaurini jmn....😟😟
  15. L

    Inauma sana, ila LET HER GO

    Nimeachana na mpenzi wangu ambae nlikuwa nae kwa miaka sita,lakini nimeanza kuona changes baada ya kufika town hapa dsm .tumeamua tuachane tu.
  16. Yamenikuta leo, nimekosea kumwita jina mpenzi wangu!

    Naamini mko poa wajuba,,, issue iko hv,, mda si mrefu nilikuwa na mpenzi wangu tunapiga story za hapa na pale na nikiri tu kuwa huyu Demu nampenda kinoumah na siwezi maliza siku bila kuhitaji nikutane nae tupige stori. Sasa tumepiga story na story zikafika tamati, nikaamua nimsogelee kifuani...
  17. Ushauri: Mpenzi wangu ataniua!

    Siku za nyuma niliandika kisa cha mapenzi na safari yangu ya kuanza maisha upya ndani ya mkoa mpya. Update: nilipo fika mkoa X mambo yangu kwakweli hayajaenda vizuri kama ilivyo kua matarajio yangu lakini napambana kwakua najua nilikotoka nimemuacha mpenzi wangu anaishi kwangu gettoni. Siku ya...
  18. Mpenzi wangu haoneshi kumpenda Mtoto wangu

    Nimebahatika kuwa na mtoto na mwanamke niliyekua naye awali lakini hatukuweza kuendelea na mahusiano yale. Mtoto anasoma madarasa ya chini na nmemchukua kukaa naye na kwa sasa nina mwanamke tuna mwaka mmoja pamoja na ambaye tuna matarajio ya kusogea hatua za mbali ikiwemo kufunga ndoa...
  19. Harmonize: Zuuh ni mpenzi wangu wa kwanza

    Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra. Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake ya pili 'High School' hivi majuzi, mwanamuziki huyo alifichua kwamba kuzaliwa kwa...
  20. A crazy story na mpenzi wangu wa Chuo

    Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache. Ni mrembo haswa na ana self...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…