Habari,
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam
Umri - 33.6
Kazi - Ajira/biashara
Dini - Mkristo
Elimu - Masters
Rangi - mweusi na mrefu kiasi
Mtoto - Sina mtoto
Natafuta binti
Umri - 24 hadi 29
Kazi - Sio lazima
Elimu - Form 4 na kuendelea
Dini - Ikipendeza mkristo dhehebu lolote ila mcha Mungu sana...
Hapo vipi?
Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa.
Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
Habari JF,
Juzi nmekutana na kitu kizito kwa mchepuko. Baada ya kuniomba a download whatsapp GB katika simu yangu na kuanza kuchati baadae alipotoka akaniachia simu yangu bila kufuta. Ikaingia txt na nikasema nifungue nikakutana na kitu kizito.
UPDATES CHAT :
Tunaendelea:
Baada ya...
Kiufupi kala loss ya ajabu kuwahi kuwepo duniani
Kadamkia matunda ya Tsh. 30k Mabibo, kayakata kata yote ili atengeneze dry fruti. Kafungasha take away 50, lakini hakupata wateja kabisa. Matunda yangeharibika. Kanipigia simu huku analia na kuniambia tayari keshawagawia majirani
Other Cost...
kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏
Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua...
Iliniumiza sana msichana tumeanza naye mahusiano siku tatu tu akaniambia ana changamoto anahitaji tsh 150,000. Nikamwambia sina yote nina Tsh 100,000 nikamtumia. Hakusema hata amepokea, akanyamaza tu.
Ikabidi nimpigie simu kujua kama amepokea au laah, akapokea simu nikamuuliza "umeona kuna...
According to ze Generali him self, ni rahisi kufahamu hili na sio roketi sayansi. Anasema kama upo Dar na mpenzi wako ana mshahara chini ya milioni 6 take home, ana gari na anakula bujiii, basi fahamu kama sio Mwizi basi ni Danga.
Well, kuna watakaouliza General Ulimwengu kafanya lini utafiti...
Natatua case kati ya marafiki zangu wawili; wote ni wanaume na best friends since primary kabla hata sijakutana nao; sasa Rafiki A alikuwa ana kazi sehemu fulan kubwa na alimuahidi Rafiki B kwa muda mref kukitokea upenyo atamuingiza; but ghafla kakutana na mwanamke in less than a month then...
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Mwanza iliyoketi Geita imeanza kusikiliza kesi ya mauaji inayomkabili mkazi wa Lunzewe, Petro Kinasa (30), ambaye ameshtakiwa kwa kosa la kumuua Esta John kwa kumnyonga shingo kisha kuchimba shimo na kumfukia.
Mshtakiwa alipandishwa kizimbani mbele ya Jaji wa...
Kati ya album ambayo unatakiwa kuisikiliza ukiwa na Mtoto mzuri Ghetto nakushauri uweke album ya Ed Sheeran -Divide umo ndani Albino kaimba mapenzi balaa yaani Mtoto atajikuta karopoka I love you na kapanda kitandani bila Kutumia nguvu.
Umo ndani Kuna mikwaju hatari sana kama vile
1. Perfect...
Habari za mchana Wa jf.bila kupoteza wakati niende kwenye mada:Nina miaka 25( ME)natafuta mpenzi
Nko Dodoma.
Umri kuanzia 20-30
Kama uko seriously njoo pm
Wasalaam wana wa Mungu,
Kosa au dhambi unayoichukia kwa mwingine basi nawe usifanye kwa maana machukizo mbele ya Mungu ni yale yale.
Wanadamu sisi sote tu wana wa Mungu na makosa yote tumeumbiwa sisi, panapo safari iwayo yoyote ikiwemo ya urafiki wa mapenzi kukosana na kukosea ni sehemu ya...
Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana
Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo zinapelekea wao kutuacha
Mimi mpenzi wangu aliniambia "Daydream me naona tuachane" nikamuuliza kwanini...
Habari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na...
Nipo na shosti hapa analalamika kuwa
Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha
Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea
Eti unamsaidiaje shosti wangu??
Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?
Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
Utandawazi na njia za masiliano zime rahisisha namna ya kukutana na kufahamiana na watu tofauti na njia za kizamani za hadi ukutane na mtu uso kwa uso, mfano kanisani, kongamano, bar, harusini, dukani, barabarani, msibani, etc.etc.
kufahamiana kwa namna yoyote ile ni halali, kitu muhimu ni...
Kuna binti mmoja nilipata kujuana nae baada ya kukutana kwenye kazi ya muda ambayo tuliifanya kwa muda wa miezi 6.
Baada ya ile kazi kuisha kila mtu aliendelea na harakati zake zingine lakini bado tulikuwa tutawasiliana mara mojamoja.
Kuna siku alinitumia link ya group la ajira lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.