Hivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je, na zenyewe ni benki?
Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
Wakuu kwema?
Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi
Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri
Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.
Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
In the last financial year ending March 2022, Kenyans transacted close to Ksh30 TRILLION. ($250 billion) on Mpesa.
That's more than the GDPs of all EAC countries combined.
That's impressive, but scary.
I don't think they will rest until the last paper note is taken out of circulation.
Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri.
kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka.
Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara...
Karibuni niwe wakala wenu,
Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa.
Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka.
Ahsanteni
Naombeni msaada au mwongozo tafadhali ,
mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio kijjn kupelekea kutaftw na polis akaondok na kila kitu changu cha mpesa na lain bdo inatumik...
Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma.
Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo.
Mifumo ya malipo iliyopo haimruhusu mtanzania kuweza kutumia tovuti yako. Na kufanya manunuzi ya kitu...
Jamani nimenuniwa leo.
Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.
Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke?
Nikatoa maelezo...
Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa
Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio...
Role Purpose
The Infrastructure Operations Specialist focuses upon administration of central and/or local data centres, legacy and/or centralized infrastructure, standards and requirements and provides support for the availability of Vodafone IT applications and Data Centre activities and...
Ndugu wanabodi,
Nimehamisha kimakosa fedha kutoka account ya benki kwenda M Pesa ya mtu lakini nikawa nimekosea. Nimepiga customer service ya benk kwa sasa wamefunga na nikipiga voda 100 imeishia kunipeleka Wassap.
Kwanini serikali isiunde mpesa yake ambayo watu watakuwa wanatumiana pesa na kufanya biashara bila makato yoyote. Yaani kama hivi wanavyofanya kwa noti.
Si litakuwa jambo la kimapinduzi sana ikifanya hivyo halafu baada ya muda noti zikaondolewa kwenye mzunguko.
Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma za kutuma na kupokea simu ama MPESA hivyo kupelekea kushuka kwa matumizi na mapato kwa 13.9%.
Soma...
Katika hali ya kushangaza leo niliomba kuangalia mini statement kwenye akaunti zangu za Vodacom.
Nimebaini kuwa pesa zangu zilizokuwa kwenye akaunti ya Mastercard zimerudishwa Mpesa.
Hivi sasa huduma ya Mpesa Mastercard imeondolewa kabisa kwenye menu.
Inawezekana Vodacom walitangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.