Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi.
Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani.
Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli mbalimbali za kibinafsi na hata maendeleo yao.
Hii ni kutokana na kuanza kutekelezwa rasmi kwa tozo mpya...
Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card.
Kwanini Mpesa na wenzake hawaliangalii hili?
Habari wakuu.
NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa ni kali sana.
Hivyo nimefikiria kuanza biashara za migahawa, baba/mama lishe, m pesa au kuuza nguo...
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu.
Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
Habari wanajamvi,
Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa?
Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer nilijaribu, wananiambia 48 hours!
Msaada please.
Nina shida na lines ya M- Pesa na Tigopesa na ana full documents zote na niko Dar es Salaam.
Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na TigoPesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
Nina shida na lines ya Mpesa na Tigopesa, nina full documents zote na niko Dar es salaam.
Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na Tigopesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
Wajuzi naomba msaada.
Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa.
Msaada
Mchango wetu kwa ukuaji wa Africa ni jambo la kufurahisha kwa kweli, tulibuni MPESA na sasa inazidi kuwa tegemeo la Afrika.
===
Mobile money platform M-Pesa is now processing transactions of Sh1.6 trillion per month in Kenya and other African countries, making it the largest payment platform on...
Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
Kilio cha wadau cha kutaka kurahishwe njia za kupokea pesa zimeanza kusikilizwa
Sasa hivi Mteja wa vodacom mwenye Mpesa Sasa waweza pokea pesa toka nchi za nje kwenye simu yako ukitumiwa kwa njia ya World Remit,Money Gram na Juba express.
Kama una mtu nje na una namba ya vodacom yenye Mpesa...
Nazungumzia namna ya kulipa deni ulilorushiwa kwa M-pesa, Tigopesa, halopesa nk. Katika maisha ni kawaida kukwama na kuomba marafiki watunasue na kamkopo.
Mtu anakukopa tuseme laki tano. Unamrushia kwa mpesa (yaweza kuwa mtandao mwingine wowote) laki tano na elfu kumi ili apate na ya kutolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.