mpesa

  1. Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  2. Nifanyeje kupata line ya lipa kwa mpesa?

    samahani wadau kuna mwenye ujuzi jinsi ya kupata line ya lipa kwa mpesa utaratibu gharama na faida zake
  3. Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Ndugu mteja, Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu? Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi. Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya: - Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika...
  4. SoC01 Tozo mpya zinauma, lakini zinaweza kuwauma CCM,upinzani ukasongesha

    ALHAMISI ya Julai 15, 2021 inaweza kuwa moja ya siku yenye kumbukumbu ya kuchosha akili za mamilioni ya Watanzania, ambao simu imekuwa tegemeo lao la kufanya miamala ili kufanikisha shughuli mbalimbali za kibinafsi na hata maendeleo yao. Hii ni kutokana na kuanza kutekelezwa rasmi kwa tozo mpya...
  5. Kwa nini Mpesa hawajaweka sytem ya kuweza kulipia kwenye app za google play?

    Nimecheki nimeona wenzetu Kenya, safaricom wanaruhusu hili jambo, tena muda mrefu sana. Hii inarahisisha sana malipo. Si kila mtu ana mastercard au visa card. Kwanini Mpesa na wenzake hawaliangalii hili?
  6. Natafuta eneo kwaajili ya mgahawa au M-Pesa. Mtaji laki tano tu

    Habari wakuu. NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa ni kali sana. Hivyo nimefikiria kuanza biashara za migahawa, baba/mama lishe, m pesa au kuuza nguo...
  7. Mbunge ataka kuwe na utaratibu wa kuchukua fedha M-Pesa, Tigo Pesa kwa watu wanaofariki na kuacha fedha huko

    Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu. Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
  8. D

    M-Pesa kulikoni haifanyi kazi?

    Tangu asubuhi najaribu kununua muda na bundle sipati inagoma tu, na hatujaambiwa chochote, na mzigo wote upo humo, leo mipango hakuna yani.
  9. Jinsi ya kutuma transferwise (WISE) kwenda Voda Mpesa

    Habari wanajamvi, Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa? Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer nilijaribu, wananiambia 48 hours! Msaada please.
  10. A

    TILL ya TigoPesa na M-Pesa

    Nina shida na lines ya M- Pesa na Tigopesa na ana full documents zote na niko Dar es Salaam. Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na TigoPesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
  11. A

    Nahitaji Till za Mpesa na Tigopesa

    Nina shida na lines ya Mpesa na Tigopesa, nina full documents zote na niko Dar es salaam. Mwenye namba ya mawakala wakuu wa Mpesa na Tigopesa naomba au kama unatengeneza hizi lines nijulishe kwa namba 0625828267
  12. Hivi mtu akifa na hela zake ziko benki na Mpesa, tukiwa na cheti cha kifo tunaweza fuatilia?

    Wajuzi naomba msaada. Ndugu kafa. Ana akaunti benk ila password hazijulikani pia ana mpesa na pesa zipo ila no password. Mkewe ana death certificate. Atapataje pesa za mmewe? Pia ana cheti cha ndoa. Msaada
  13. M-Pesa: Ubunifu wa Kenya wazidi kuongoza Afrika kwa miamala

    Mchango wetu kwa ukuaji wa Africa ni jambo la kufurahisha kwa kweli, tulibuni MPESA na sasa inazidi kuwa tegemeo la Afrika. === Mobile money platform M-Pesa is now processing transactions of Sh1.6 trillion per month in Kenya and other African countries, making it the largest payment platform on...
  14. Mpesa MasterCard Tanzania: Kama unapenda uhakika wa malipo yako mtandaoni USIITUMIE

    Habari wana-bodi, kwa Majina naitwa Lwifunyo Mangula, ni mmoja wa watu wanaopenda technolojia ikiwamo IT ninaifurahia na nina kautaalamu kidogo kuhusu online business maana ninapenda hivyo vitu. So hapa nipo kutoa ushauri kwa wadau wengine kuhusu MPESA MASTERCARD TANZANIA kulingana na UZOEFU...
  15. Mteja wa Vodacom sasa anaweza kupokea pesa kutoka nchi za nje akitumiwa kwa njia ya World Remit, Money Gram na Juba express

    Kilio cha wadau cha kutaka kurahishwe njia za kupokea pesa zimeanza kusikilizwa Sasa hivi Mteja wa vodacom mwenye Mpesa Sasa waweza pokea pesa toka nchi za nje kwenye simu yako ukitumiwa kwa njia ya World Remit,Money Gram na Juba express. Kama una mtu nje na una namba ya vodacom yenye Mpesa...
  16. Unapolipa deni kumbuka haya (M-pesa, Tigopesa, Halopesa nk)

    Nazungumzia namna ya kulipa deni ulilorushiwa kwa M-pesa, Tigopesa, halopesa nk. Katika maisha ni kawaida kukwama na kuomba marafiki watunasue na kamkopo. Mtu anakukopa tuseme laki tano. Unamrushia kwa mpesa (yaweza kuwa mtandao mwingine wowote) laki tano na elfu kumi ili apate na ya kutolea...
  17. LAINI ZA TIGO PESA NA M PESA

    Nauza line mbili moja ya tigopesa na nyingine ya m-pesa. Serious customers tuwasiliane. 0763776305 zote mbili 350,000/= NOTE: Bei Haipungui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…