mpira

  1. Torra Siabba

    Sakata la Kuahirishwa Yanga vs Simba,Mbona waandishi mashabiki wa Yanga wanaukosea Mpira?

    Baada ya Bodi ya Ligi kuu Tanzania TPLB Kutangaza kuahirishwa kwa mechi ya watani wa Jadi Yanga vs Simba waandishi wa habari na wachambuzi wa maswala ya Kabumbu wameendelea kuukosea adabu mpira wa nchi hii kwa kuchambua kwa kutumia hisia zitokanazo na mapenzi yao juu ya Yanga badala ya kuwa...
  2. sergio 5

    Lamine Yamal anajua mpira kuliko Vinjr

    Hili halina kipengele kabisa dogo kwa umri wake na mambo yake 🙌
  3. kingphisher

    Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

    Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza. nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani. Mpira wa miguu...
  4. Damaso

    TFF yavifungia Viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza) na Liti (Singida)

    Nimekutana na hii barua kutoka kwa Kaka yangu Cliford Ndimbo kuwa imevifungia viwanja vya Jamhuri, Kirumba, pamoja na Liti kwa kukosa vigezo vya ubora wa kuchezesha michezo ya ligi kuu. Ni suala zuri na bora kutoa taarifa kwa umma kuwa kuna viwanja ambavyo vimekosa vigezo muhimu kikanuni ila...
  5. holoholo

    Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  6. Pdidy

    Ifike wakati Simba na YANGA zisifanywe kama vitega uchumi vya chama cha Mpira na BODI yake ya li..mbona mechi na pamba amkuhairisha huo n ujingaaaa!!!

    Shida iliopo n upigaji WIZI Na utapeli Nakuheshimu kama tff na BODI YENU Ila siwaogopi Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako HAya mambo yafike wakati yafike fiffa na caf tupate uhalisia WA matumizi ya kanuni na sheria za tff Haiwezekani wewe UNAWEKA...
  7. Morning Glory1

    Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  8. Rozela

    "The Crew" genge la Karia linalozidi kuharibu mpira wa Tanzania

    Ni genge la siri linaloundwa na mashabiki 12 wa timu 3 za mpira, kazi yake ni kuwaorganize mashabiki kuja uwanjani na picha za mwanasiasa fulani. Sasa wameprint picha na ujumbe wa mitano tena kwa mwana siasa huyo. Sidhani kama FIFA wamemtuma karia kuanzisha The Crew. Na yule mchambuzi yuko...
  9. Setfree

    Mnaotumia Masaa Mengi Kujadili Mpira, Mnapata Dola Ngapi kwa Siku?

    Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo, lakini je, mijadala hiyo inazalisha kipato chochote? Katika ulimwengu wa sasa, muda ni rasilimali...
  10. S

    Mpira wa Bongo jau

    Mtu ametoka mkoani ametumia gharama ili akaishuhudie timu yake, Halafu mechi inahairishwa kitoto. Kweli Black race itabakia hivi hivi milele.
  11. tpaul

    FIFA waifungie TFF kwa kuingiza siasa kwenye mpira

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kwa hakika, TFF ndio wanaoharibu mpira wa nchi hii kwa kuingiza siasa ndani yake. Kwa mujibu wa sheria za FIFA, ni marufuku mashirikisho ya mpira ambayo ni wanachama wa FIFA, ikiwemo TFF, kuingiza mambo ya siasa kwenye mpira. Kuna matukio kadhaa...
  12. Mowwo

    Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  13. Moaz

    UTAMBULISHO WA JUKWAA LA SAUTI YA MPIRA TANZANIA(SAMTA)

    Ndugu Wadau wa Soka Tanzania, Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha katika mchakato muhimu kuhusu maendeleo ya mpira wa miguu nchini Tanzania kupitia mradi wa SAMTA (Sauti ya Mpira Tanzania). UTAMBULISHO WA SAMTA SAMTA ni jukwaa linalokusudia kuwakutanisha wadau wote wa mpira wa miguu nchini...
  14. kipara kipya

    Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

    Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
  15. Rozela

    Azam anatuharibia mpira: Unamiliki timu halafu unakuwa mdhamini wa ligi, hii haikubaliki

    Leo nimeumia sana, tumenyimwa penati 3 clear kabisa wakuu kisa timu ya mdhamini inacheza. Maumivu ni makali sana, tungefunga penati zote tungewakanda 5-2. GSM na Azam hatuwataki. Mo acha unyonge, dhamini nawewe timu mbili tatu. Simba Nguvu moja.
  16. kajamaa kadogo

    Nishawai toka Kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote. Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja

    unajua wanawake baadhi yao ni vilaza sana if we click we click if we don't we won't Kuna siku nipo kwenye Coster Naelekea Zangu Tunduma Akaja Mdada mmoj Mweupe Kavaa Head phone Maskion Kaja kukaa jiran Ajanisalimia Nikawa na mzoom tu Uku Na Angalia Pemben Tukawa tumefika sehemu inaitwa Mlowo...
  17. Msela Wa Kitaa

    Hawa Watangazaji Wa Azam TV Wanaotangaza Mpira Wa Ujerumani Wanakuwa Tanzania Ama Huko Huko Ujerumani?

    Msaada tutani
  18. kavulata

    Aziz Ki kutoa mpira wake kwa sureboy anatuma ujumbe gani kwa nani?

    Je, ni rafiki yake?; je, anampa pole kwa kusugua benchi? je , anawalaumu makocha kwa kutompa nafasi Sureboy ya kucheza? Au ni nini alimaanisha?
  19. Mbabani

    Sawa Chasambi kakosea, ingekuaje Camara angeudaka mpira?

    Mpira ni mchezo wa makosa, hilo ni kawaida kwa wa mpenzi wa mpira tunakubaliana isipokua wapenzi wa Simba na Yanga. Ingekuaje Mussa Camara angeamua kuudaka ule mpira? Madhara yangekua yapi katika mechi?
  20. THE FIRST BORN

    We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
Back
Top Bottom