mpira

  1. J

    Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Ndugulile aipongeza TFF kwa kujenga Kituo cha Maendeleo ya mpira wa miguu Kigamboni

    DKT NDUGULILE AWAPONGEZA TFF KWA KUJENGA KITUO CHA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU KIGAMBONI Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) amekipongeza Chama Cha Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kujenga kijiji cha maendeleo ya mchezo mpira wa miguu katika Kata ya Kisarawe II, Wilaya ya...
  2. Numero Uno

    Kocha wa mpira

  3. Meneja Wa Makampuni

    Leo nimeota nacheza Mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Hii ina maana gani?

    Habarini wakuu, Leo nimeota ndoto ya ajabu, naiita ya ajabu kwasababu ni mambo ambayo sipendi kuyafanya kwasasa japo nilikua nikifanya zamani. Nimeota nacheza mpira namba 11 ambapo mimi nachezea mguu wa kulia. Japo mara ya mwisho kucheza mpira ni miaka kumi iliyopita. Ndoto ilianza hivi...
  4. Tajiri Tanzanite

    Mawakili wa Mbowe ni kama timu ya mpira iliyozidiwa, wanataka goli la mkono

    Hapo vipi!! Nimekuwa nafuatilia hii kesi ya Mbowe kwa ukaribu sana. Na nimeshuhudia mapingamizi mengi ya kikosa nguvu ya kisheria hivyo kutupiliwa mbali mahakama. Hii ni ishara inayoonyesha timu ya Jamhuri inayongozwa na prominent lawyer Robert kidando ni moto wa kuotea mbali. Ninachokiona...
  5. M

    Bora kunywa gongo na viroba kuliko ushabiki wa mpira madhara ni makubwa zaidi

    Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA) Umesababisha uvivu uliokithiri hasa mikoa ya pwani na baadhi ya miji ya mikoani Umesababisha wanafunzi, watoto wadogo kuanzia...
  6. changaule

    Nawauliza Washabiki wa Simba, je mmeona ugumu wa kutumbukiza mpira wavuni?

    Ukiona Yanga wanapata goli moja msiwabeze kwa kuwaona wabovu kwa kushinda goli moja moja. Kutumbukiza goli wavuni na kupata point tatu sio kazi ndogo. Simba imecheza dhidi ya Biashara wakahaha kutumbukiza mpira wavuni lakini wapi mpaka refa akawapa penati lakini boko akawabokoa kwa kukosa...
  7. K

    Ni wakati sasa kuondokana na viongozi "wachuuzi wa mpira wa miguu" kwenye vilabu vyetu

    Baada ya Simba kufungwa jana na wabotswana tumeona kauli za haraka haraka kutoka kwa viongozi wa Simba kuandika mambo ambayo mimi naweza sema ni upuuzi. Kwa kuangalia comments za wapenzi wa soka wakijaribu kujaribu viongozi kwa ujinga walioandika (nimeweka baadhi hapo chini) nadhani ni wakati...
  8. H

    Kumteua Mwijaku kuwa mhamasishaji wetu ni kuunajisi mpira

    Simba imetukosea Sana sisi mashabiki wake kutuletea mtu wa udaku kwenye mpira wetu. Mwijaku hajui mpira hata tu kutaja wachezaji 6 wa Simba hajui pia hajui history ya team kiujumla eti awe mhamasishaji kweli? Like serious! Kwenye press yake 99.9% kaitumia kushambulia maisha binafsi ya Manara...
  9. Analogia Malenga

    Fedha za CWT zilitumika kuangalia mpira Cape Verde

    Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018. Manyalika alieleza hayo...
  10. GENTAMYCINE

    Msimu huu kwa Mpira huu 'mwingi' wa Yanga SC tutawasingizia Wananunua tu

    Najua huko ( huku ) Mitaani sasa Gumzo ni Yanga SC 'Kanunua' kwa KMC FC na kwamba Kipa Farouq Shikalo na Beki Vicent Dante Chikupe ndiyo 'wamechomesha' kwa Kuchukua 'Mlungula' Yanga SC kwakuwa walitoka huko. Nadhani JamiiForums nzima hakuna asiyejua kuwa GENTAMYCINE Mimi ni Simba SC 'lia lia'...
  11. M

    Yanga mpira mnacheza, magoli yanafungwa na burudani tunapewa, kongole sana wananchi

    Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa ni jibu tosha ya kinachofanyika uwanjani, nawapa heko waliosajili🙌🙌🙌 N:B KMC msirudie kuipeleka...
  12. Last emperor

    Simba sasa hivi inacheza mpira makande

    Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu! Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe yanapatikana kipapatupapatu kama ya utopolo. Leo nimeona takwimu eti Simba katika mechi 2 za ligi ndo...
  13. S

    Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
  14. Thailand

    SIMBA; Formation na wachezaji wanaoweza kurudisha Mpira Biriani

    Tatizo la simba siku za hivi karibuni imekuwa namna ya kupata kiungo mshambuliaji kariba ya clotus Chama ili timu iweze kutengeneza nafasi nyingi za magori kwa washambuliaji. Tatizo haliko kwa washambuliaji waliopo, tatizo lipo kwa kiungo gani sahihi aliopo pale msimbazi kuchukua jukumu hilo...
  15. M

    Hivi nyie mnaoshangilia Mpira wa Fujo, Kukamiwa, Kuumizwa na Ahadi za Viongozi wenye Uyanga wanazofanyiwa Simba SC mna Akili timamu?

    1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu zingine huwa hawatoi Ahadi zao kama Vilabu hivi vikicheza na Simba SC? 2. Sikatai kutoa Motisha ila...
  16. Masibayi

    Yataka moyo kuwa mchezaji wa mpira wa miguu Tanzania

    Hebu piga picha, lengo la yanga ni kutafuta watu,lengo la simba ni kuonesha kikosi kipana. Ndugu zangu wanaobeti sasa! Unakuta anaitabiria yanga kufunga magoli saba huku haina kikosi kipana? Duh! Wao wanataka watu na siyo magoli,hhhhhh! Hongereni watani zangu yanga kaa ushindi wa jumapili.
  17. A

    Aina ya mpira wanao cheza yanga hauvutii hata kidogo

    Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na mashambulizi ya kushitukiza(counter attack) lakini kwa bahati mbaya kwa miaka ya hivi karibuni kama sio...
  18. Bayga

    SoC01 Kwanini mashabiki wa mpira wanakufa kwa matatizo ya moyo?

    Mashabiki wengi kipenzi wa mpira wapo hatarini kufa au kuathiri afya zao kutokana na magonjwa ya moyo, Kiharusi na matatizo ya kisaikolojia kwa mjibu wa utafiti uliochapishwa katika jarida la Current problem in cardiology na katika jarida la Stress and Health mwaka 2020.  #Picha | Mwanaspoti...
  19. M

    Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25 Septemba, 2021. Kwa aina ya Mpira mkubwa (mwingi) na wa Kiwango cha Kimataifa iliyoucheza (...
Back
Top Bottom