Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo.
Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid).
Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris, France
Nimeshangaa kuona daraja la jipya la Tanzanite linaweza kufungwa ili Watanzania waangalie mpira lakini Serikali haikuona haja ya kuweka tozo.
Namaanisha daraja hili linatumika kama express route kwamba unapita kuharakisha safari ila unaweza kupita barabara ya kawaida ya mzunguko.
Kwa upande wa...
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu.
Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
Za weekend wadau wa soka,
Mapambano yanaendelea na harakati ziendelee maana vyuma vimekaza kweli kweli huku mtaani.
Ikiwa league inaelekea ukingoni huku Yanga akionekena kuwa na dalili zote za kuwa bingwa japo lolote linaweza kutokea ila kimahesabu ni bingwa mtarajiwa.
Ila bingwa anaongoza...
Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika.
Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini...
Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze .
Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia.
Chief-Mkwawa et al
Wakuu Mimi ni Mwanachama na Shabiki Wa Team Ya Yanga.
.
Kimsingi nimepanda Jinsi Simba walivyoonesha domination ya uwanja wa Nyumbani.
.
Haijalishi ni Uwanja Wa Mkapa au Uwanja wowote Wa Nyumbani.
.
Team makini na Sahihi haiwezi kukubali Kupoteza Kwenye Uwanja Wa Nyumbani kwao ingawa mpira una...
Nataka nicheki mpira wa chelseafc na Real Madrid app ipi ni nzuri nitakayoiangalia ambayo haitumii mb kubwa yaani iwe 500 MB kushuka chini naombeni wadau
Kiukweli tunapokuwa tunajinasibu kuwa mpira wetu umekua, tujitahidi kuendana na maneno yetu kiuhalisia, kiukweli mazingira kama haya ya pre match meeting ni aibu na kushangaza TFF na bodi ya ligi msilikalie kimya, ni aibu.
Chadema wamesema hawatashiriki uchaguzi wa 2025 katu bila katiba mpya, na hakuna tume huru itakayopatiokana bila katiba mpya
Utabiri wangu ni 2025 hakuna katiba mpya itakayokuwepo, na hii tume ya sasa pengine itarekebishwa kidogo, ila haitakuwa na uhuru, lakini Chadema watabadilisha gia angani...
Waziri Mkuu akiongea katika kikao cha maafisa Utamaduni na maafisa michezo Jijini Dodoma, alishangaa kwa nini Tanzania haina kocha hata mmoja anayefundisha nje ya nchi, hata Burundi au Rwanda lakini yenyewe ikiwa inachukua makocha wa kigeni kutoka nchi hizo.
Kinachoshangaza zaidi ni Tanzania...
Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)
Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa kucheza vizuri. Wachezaji karibia 90% wa Simba hawawezi kukaa na mpira yaani kupiga chenga na kufosi...
Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
Nimeshuhudia jinsi Watu hao wawili wakijirecorf video namna wanavyouchezea mpira kwa danadana
Tukianza na GSM huyu jamaa alipiga danadana vizuri na kuuuweka mguuni mpira vizuri Sana yaani inaitwa control chumba na sebure halafu hakukaza mguu huyu ni mtu wa soka kweli.
Tukija kwa tajiri yetu MO...
Tusipo tengeneza mpira mzuri hapa tanzania basi hakuta kuwa na utofauti ya kuwapa kipaumbele kama wasanii wawili wanao shindanishwa kwa maslahi binafsi.
Mpira wetu wa hapa bongo kwenye vilabu umewekezwa sana kwenye simba na yanga na si vingine.
Na kila mchezaji yoyote utaka kuingia kwenye hivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.