Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange!
Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
Habari za jioni wadau wa soka la Bongo.
Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshtuka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda makundi mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua mwenyeji.
Hili swala limenipa kitu cha kufikiria na kuamini kile kitu nipo nakiamini kuwa hata Yanga anaweza kupita pale...
1. Tunaenda kupindua meza kwao.
2. Mungu ni wa wote.
3. Wao wamewezaje na sisi tushindwe?
4. Mpira unadunda kokote pale.
5. Iwe jua iwe mvua.
6. Kikubwa ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu.
7. Wamewezaje kupata alama kwetu na sisi tushindwe kuipata kwao?
GENTAMYCINE nasisitiza, ukibahatika tu...
Michezo inaendeleza Biashara ya watu
Kwenye michezo sahivi ni pesa kwanza, maana yake biashara, watu wanauzwa na kununuliwa kama bidhaa mithili ya ilivyokuwa kwenye zama za utumwa miaka ile. Timu zinakaa mezani kupitia viongozi wao na kujadili bei ya wachezaji kisha kulipana pesa. Hii ni...
Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira.
Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira.
Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka...
Mchambuzi wa Azam Sports 1, James Samwel amelichambua goli la Simba na kukiri wazi kuwa mpira ulishatoka kabla ya Kibu kuurudisha tena uwanjani na Mkude kuuweka ndani ya nyavu. Ameyasema hayo kwenye uchambuzi baada ya mchezo huo.
Mabeki wake Wanakatika ( siyo Viuno vya Vitandani ) halafu Viungo wake ni wa aina Moja tu, Wachezaji wake wanapoteza Mipira kiurahisi halafu ina Washambuliaji wa Kubahatisha na Mmoja wao anayependa Kuzunguka zunguka hovyo kama Inzi wa Chooni halafu hana Madhara kabisa na Msaada kwa Timu.
Wanawake na wanaume wengi ni wapenzi tamthilia za vipindi vya maigizo na mechi za mpira na kuwa wakati wengine hujikuta wakisalia sebuleni au kuweka umakini kwenye TV na kuacha wenza wao wakitangulia kulala peke yao au kukosa wa kuzungumza nao mambo mengine ya kimaisha
Vitendo hivyo vinafanya...
Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na:
1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja.
2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
Wafuatao ndio wachezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Vigezo ni mafanikio binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwepo timu za taifa:
1. Lionel Messi
2. Edson Pele
3. Diego Maradona
4. Christiano Ronaldo
5. Franz Beckenbauer
6. Johan Cruyff
7. Zinedine Zidane
8. Ronaldo...
Ni siku ya tatu tangu kuanza kwa counteroffensive attack katika mji wa kherson na leo wameanza na Kharkiv, kwa kweli mimi kama team Russia kuna muda hata kuingia Twitter naogopa mana upepo sio mzuri sana upande wetu.
Wasiwasi wangu ni kua huenda NATO wameamua kupeleka jeshi kimya kimya mana...
Yanga sc imemtambulisha kiungo wake wa zamani, Tuisila Kisinda kuwa amerudi kikosini kabla ya dirisha la usajili kufungwa 31/08/2022.
Mashabiki wengi wa Yanga wamefurahishwa na ujio wa Tuisila Kisinda. Jambo ambalo hawalijui ni Nani kampisha Tuisila kwasababu usajili wa wachezaji kutoka nje ya...
Simba queens imekuwa timu ya kwanza ya wanawake kutoka Tanzania kwenda kushiriki ligi ya mabingwa Africa.
Hapo unaona uwekezaji mkubwa unaofanywa na mo dewji ukisimamiwa na mwanamama babra Gonzalez ambaye ni moto wa kuotea mbali kwenye usimamizi wa taasisi ya mpira. Simba kwa sasa sio level...
Story of change.
Hadithi yangu inaanzia asubuhi ya Mei 9, 2017 baada ya kupokea simu. Haikuwa ni namba ngeni kwenye simu yangu, alikuwa ni mtu mwenye nilikuwa nikimfahamu na ni mtu wa karibu sana. Baada ya kupokea simu, ndipo upande wa pili akaanza kuongea maneno mazito na yenye uchungu ndani...
Tumeshuhudia Simba ikimgomea Karia udhamini wa GSM bila kufanya chochote, tumemsikia mwenyekiti wa Simba ngugu Mangungu akibwabwaja na kuibwatukia TFF bila Karia kuchukua hatua, tulimuona Barbara akiifyatukia TFF bila kuchukua hatua yoyote.
Ila wadau wa Yanga wakitenda jambo wanaambiwa...
Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa.
Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job...
MIMI SIYO “MZALENDO”
Napenda kumshukuru Mungu wangu kwa kunikirimu afya njema bila ya kumfanyia chochote cha maana. Hiyo ndiyo maana kubwa ya neema kwa jinsi ninavyoelewa mimi.
Ahsante sana Mungu wangu kwa neema hii. Naweka msisitizo katika neno “wangu” kwa maana kila mtu ana imani yake juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.