Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu...
Riziki ni mafungu saba ila katika saba umebakisha moja umalize fungu lako.
Ukiona umepata mafanikio makubwa tambua huko mbeleni kuna misukosuko isiyonatija. CR7 anaamini bado ni mzuri kwenye mpira na Waarabu wamemchukua sio kwa ajili ya mpira kama sanamu lao la matangazo.
Ila huyu mwamba...
Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania.
1. Edibily Lunyamila
2. Mohamed Hussein Mmachinga
3. Amir Maftah
4. Mrisho Ngasa
5. Mbwana Samatta
6. Haruna Moshi
7. Mohamed Mwameja
8. Boniface Pawasa
9. Victor Costa
10. Athuman Iddi Chuji
Moja ya mambo ambayo yamekwamisha sana maendeleo ya sekta nyingi nchini ni kuvurugwa au kutokuwepo kabisa kwa vyama vya wafanyakazi.
Hii imesababisha kutokuwepo kwa mikataba inayozingatia haki za wafanyakazi husika. Upande wa waajiri umekuwa na nguvu ya kuamua malipo na mustakabali mzima wa...
Kumbe ni kweli Feisal amevunja mkataba Yanga ila viongozi wanatudanganya tu. Leo kupitia account yake ya insta amepost akiwa anafanya mazoezi na uongozi wake mpya.
Nimeumia sana.
Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana..
Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid.
Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii.
Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona.
But ndio uhalisia huo? Sio kweli.
Ukweli ni...
Ukiangalia michezo ya ligi inayoendelea nchini ikichezeshwa na marefa wanawake mtaniunga mkono. Ukweli marefa hawa wanashindwa kabisa kusimamia zile Sheria 17 uwanjani na wamegeuka kuwa sehemu ya wasababisha makosa.
TFF iachane nao na Kama bado wanawahitaji wapewe mechi za madaraka ya chini ili...
Nyota huyo wa zamani wa Santos FC, anayetambuliwa kama mmoja wa Wanasoka bora zaidi wakati wote, alilazwa hospitalini tangu Novemba 29, 2022 huko Sao Paulo
Ripoti ya utabibu kabla ya Krismasi ilionyesha alihitaji uangalizi kwa ajili ya ugonjwa wa moyo na figo, na amekuwa akipambana na saratani...
VILABU VYA MPIRA MITAANI VIMEKWENDA WAPI?
Dar es Salaam tuliyokulia sisi katika 1960s hakuna ambae alikuwa hachezi mpira.
Kutoka Upanga hadi kufika Kidongo Chekundu kulikuwa na viwanja zaidi ya 10.
Tukifanya mazoezi kila siku mwaka mzima.
Jangwani kulikuwa na viwanja hata idadi yake sijui kama...
1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi.....
Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi.
2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi......
Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.
Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
Mimi sijawai na sitawai kuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia Kaburini Ila ccm ikifanya vizuri tuwapongeze.
Uchaguzi uliofanyika jana kiukweli nimeupenda kwa kuwa na sifa moja tu.
Kutengenisha kitu kinaitwa Mpira na Siasa kutengenisha sector ya Habari na Siasa, pia naiomba ccm waende mbali...
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata.
Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3 kwa mwezi takribani shilingi za kitanzanha milioni 7 kila mwezi?
Kuna tetesi zipo kwamba Feisal...
Muda huu Brazil wamejaa matumaini hewa kwamba wao ni bora. Kiufundi, Korea hawakubana njia, waliacha open spaces kila mahali na walikuwa na mfumo mbovu wa kukaba pale walipopoteza mpira.
Nikiwaangalia Croatia, ninaona Brazil akienda kukutana na mechi ngumu sana japo wakijitahidi watapita...
Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka.
Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari:
Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
Mfano mdogo tu, mashabiki wa Yanga wiki tatu zilizopita kabla ya kufuzu confederation cup walikuwa tayari wameshamkataa Nabi, na wengi wao walikuwa tayari Nabi angefukuzwa just kama angeshindwa kufuzi.
Leo hii Yanga imefuzi wametulia kabisa wanafurahia pia na matokeo wanayopata sasa, hawana...
Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye.
Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.