Naangalia mpira wa Australia dhidi ya Ufaransa, kwa hakika huu mpira 'formula' yake hapa Afrika hakuna. Yaani jamaa kama wanapigana vita.
Sisi tubaki kushangilia Simba na Yanga tu. Mpira bado sana.
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Mpira una mashabiki maelfu kwa kwa mamia, miongoni mwao mimi sijabahatika kuwemo. Dah alieniroga, hakika sijuwi nimwambieje!
~ Ukiwa na mimi ukaleta habari za mpira kwakweli naona kama vile umekosa la kuzungumza.
~ Kikifika kipindi cha michezo/uchambuzi sijui...
Naangalia mechi kati ya Misri na Ubelgiji hapa na ninaona hawa Wabelgiji warudi nyumbani kwao kuepuka dhahama kwenye Kombe la Dunia.
Beki zinakatika na kutoa maboko, haziwezi kufanya marking wala kukaa man to man.
Forward hazifanyi attempt yoyote zaidi ya kupiga back pass.
Wameshapigwa 2 bila.
Mimi mnyama bila kuficha ila kwa pira lile la jana pale Stade Olympique de Radès Yanga dhidi ya Club Africain, naiona nusu fainal yao kabisa, tena wakizubaa anabeba ndoo. Kule Shirikisho pepesi hakuna wakazaji sasa kama kule.
Hongereni. The Future is Bright.
Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi na kucheza kaunta attack.
Mtihani wa benchi la ufundi kwa sasa ni kuja na mbinu za kuwafunua...
Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu.
Kigezo kikuu ni idadi ya vikombe ila pia tumeangalia ubora wa mpira na uwezo wa kuboresha vipaji vya wachezaji.
1. James Siang'a
2. Abdallah Kibaden
3. Patrick Phiri
4. Jack Chamangwana
5. Patrick Aussems
6...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (katikati) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wanne kulia) wakati wa ufunguzi rasmi wa Mashindano ya taifa ya mpira wa kikapu 2022 (CRDB Bank Taifa Cup), yaliyoanza leo kwenye uwanja wa Bandari jijini Tanga na...
Wanasimba pamoja na kuipongeza timu Kwa ushindi mnono.
Msisahau kumshauri mgunda kuhusu mpira halisi wa Simba.
Miaka 3 nyuma Simba ilisifika Kwa pira Biriani pira udambwi udambwi. Pira pass Mia. Zinapigwa pasi Hadi watu wanafika golini mashabiki wameshashangilia Hadi basi ndo akina Chama hao...
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko?
Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani?
Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo.
Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
Siasa za Tanzania zina mambo ya ajabu sana, kwenye mpira zinafanya nini? FIFA ina vyombo vidogodogo kama TFF, ile ya Afrika sijui inaitwa nini, kwa nini viongozi wa siasa wana nafasi kwenye mpira? Wanashida gani, kwanini wasibaki mashabiki?
Nchi inawashinda bado mnaingia sijui CCM na CHADEMA...
Thomas Lungu Sweswe ni mchezaji wa zamani wa Zimbabwe, beki wa kati anadaiwa kushikiria rekodi ya kucheza dakika 90 dhidi ya Keiza Chiefs bila kugusa mpira Soma (hapa).
Juma Mgunda ana msemo wake mzuri sana. Anakuambia 'Ball itembee'.
Na ukichunguza ni kweli bana, ball ama mpira, muda wote huwa unatembea.
Vivo hivyo, pesa kama ball tu, huwa ina kawaida ya kutembea. Ukiwa na pesa mfukoni lazima kutatokea sababu ya kuitumia hiyo pesa kwa sababu pesa siku zote...
Moja kwa moja.
Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea.
Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la kiufundi.
Mechi ikianza muda huo inamaanisha nusu ya mechi itakuwa wakati wa mwanga wa jua na nusu itakuwa...
Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
Wakuu mjue kile knachowakusanya watu kila sku tena makundi yenye elimu, kpato, uelewa tofauti na wakakaa wakaanza kuzungumza tena bila kiongoz yaani ni wao tu wanajiongoza mjue hapo kuna fursa ya kupata chochote.
Sasa kuna ile tabia ya watu wengi kila mkoa ukienda utaikuta ile asubuhi unakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.