Nchi nyingi nazani zote Mambo ya Vilabu vya mpira sana yako ngazi za vyama vya Soka vya nchi husika ingawa hata vyama vyama vya soka navyo havihangaiki sana na Vilabu bali timu ya Taifa kwa sababu ile ndio inabeba utaifa wa nchi ndio maana unapigwa wimbo wa Taifa.
Sasa Tanzania kwa sababu za...