mpira wa miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

    Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza. nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani. Mpira wa miguu...
  2. Wadau wote wa mpira wa miguu mnaotaka kuuelewa mpira wa miguu na kuuchambua. Karibuni tubadilishane ujuzi, vitabu na maarifa

    Habari wakuu, Huu ni uzi maalumu kwa wadau wote wa mpira wa miguu mnaotaka kuuelewa mpira na kuuchambua mnakaribishwa Pia wadau wote wenye hii taaluma mnakaribishwa kutoa somo na kubadilishana vitabu Binafsi nimesoma vitabu viwili mpaka sasa kimoja namalizia Jambo mbalo sikuwa nalijua ni...
  3. Kwanini hakuna special thread za timu za Tanzania?

    Tangu nijiunge JF naona special thread za timu za ulaya tu: Manchester City Manchester United Arsenal Real Madrid Barcelona Lakini sijaona special thread za Simba SC,Young Africans,Azam,Kagera Sugar, au timu yoyote ile ya Afrika! Zipo mimi ndio sijaziona hizo thread? Sheria na kanuni za...
  4. Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  5. Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni kuanza asubuhi. Kipindi cha michezo ninachozidi robo saa kianze saa moja jioni

    Tunaishi katika taifa linalozungumziwa sana kwa michezo, hasa mpira wa miguu, ambapo timu zinazochambuliwa kila wakati ni Simba na Yanga. Hii imekuwa ni hali ya kawaida, na jua linapotoka hadi linapozama, vipindi vingi redioni vinakuwa ni vya uchambuzi wa michezo pekee. Hata hivyo, kazi...
  6. Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  7. Matangazo ya Mpira wa Miguu Tanzania: Uhitaji wa Tafsiri ya Lugha ya Ishara kwa Watu Wenye Ulemavu wa Kusikia

    Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inatangazwa kupitia AzamTV, ikiwahudumia mashabiki wengi wa mchezo huu. Mechi kubwa kama vile Simba dhidi ya Yanga pamoja na na michezo ya kimataifa huvutia sana umati mkubwa na kutoa burudani ya kipekee. Hata hivyo, watu wenye ulemavu wa kusikia wananyimwa...
  8. F

    Watanzania acheni kushabikia siasa kama mnavyoshabikia mpira wa miguu

    Tatizo kubwa sana hili kwa watanzania kushabikia siasa kama vile wanashabikia mpira wa miguu. Jambo hili limefanya siasa za Tanzania kuwa ushabiki usio na manufaa kwa Watanzania. Hii ina madhara makubwa sana kwa uhai wa Taifa letu.
  9. Je Mpira wa Miguu umeanzia wapi???

    Mpira wa mguu, kama tunavyoujua leo, ulianzia Uingereza, lakini historia yake inahusisha michezo ya zamani kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Hapa kuna muhtasari wa jinsi mpira wa mguu ulivyoanza: 1. Michezo ya Kale: • China: Michezo ya mwanzo inayofanana na mpira wa mguu...
  10. Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  11. S

    Kisheria hakuna mchezaji duniani anayeitwa Pacome wala klabu ya mpira wa miguu inayoitwa Yanga, msiingie taharuki mashabiki wa Simba

    Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi. Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msiyoyajua, take trouble kuomba hata...
  12. D

    Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

    Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
  13. Hivi wachezaji wakibanwa haja ndogo au kubwaa mchezo ukiwa unaendelea anaweza kutoka au kuna vitu wanakula?

    Hivi umewahi kuona wachezaji wanatoka kwenda kujisajidia?ndani mchezo ukiwa unaendelea iwe dakika 45 za mchezo ama zile 45 za kipindi cha pili. Toka nijue mpira sijaona hata aliepata haja akaomba atoke kujisaidia Nawaza tu wanakulaga dawa wasioate haja ama!
  14. Maono yangu kuhusu mpira mwaka huu World Wide

    Haya yafuatayo ni mambo niliyo yaona Kwa mbele mwisho wa msimu huu katika soka itakavyokuws(FORESIGHT) 1. ARSENAL ACHAGUE KATI YA UEFA AU EPL. kitu Cha kwanza baada ya kuona uchezaji wao na wanavyo kaba compact wakifunga dirisha moja wapo wa kombe moja ni uhakika ngoja na captain ordegard aje...
  15. Viwanja Bora vya mpira wa miguu Afrika

    Top 15 best stadiums in Africa 1)-FNB Stadium: Located in Johannesburg, South Africa 🇿🇦, this stadium has a capacity of 94,736 and is the largest stadium in Africa. It hosted the 2010 FIFA World Cup final between Spain and the Netherlands 2)- New Administrative Capital Stadium: Situated in...
  16. Raphael Varane atangaza kustaafu mpira wa miguu wa Kulipwa Akiwa na Miaka 31

    Raphael Varane, beki wa Ufaransa, ametangaza rasmi kustaafu kutoka mpira wa miguu wa kulipwa akiwa na umri wa miaka 31. Varane soka lenye mafanikio makubwa, akishinda mataji mengi, ikiwa ni pamoja na mataji manne ya UEFA Champions League na mataji matatu ya La Liga wakati akiwa Real Madrid. Pia...
  17. Real Madrid ilipomaliza mechi bila kuwa na shot on target hata moja

    Kuna wakati unasikiliza baadhi ya watu huku mitandaoni unabaki kujiuliza hawa watu wanaujua kweli mpira au naongea na bots (kwa wasiojua bots ni mifumo ya kicomputer inayoact kama binadamu mitandaoni ikiwemo kupost comments). Mambo mengi ambayo tunashadadia ni ya kawaida sana kwenye ulimwengu...
  18. Wachambuzi wa mpira bongo, kocha sio mwalimu

    Wachambuzi na watangazaji wa mpira fahamuni kocha sio sawa na mwalimu, kocha ni zaidi ya mwalimu. Mnapomuita au kumfananisha kocha na mwalimu mnakuwa kama watu makanjanja wasio na weledi katika kazi yenu.
  19. C

    Ushabiki wa Simba na Yanga umeanza kuwa na utamaduni wa ngoma za wasukuma wagika na wagalu

    Ushabiki wa timu za mpira umekuwa na historia ya muda mrefu hususani kwa timu hizi mbili za kariakoo. Kwa siku za hivi karibini kumejitokeza utamaduni mpya wa watu kuhamia timu wanayoona inafanya vizuri nje na ndani ya uwanja. Utamaduni huu unaoanza kujengeka,ni kama wa ngoma za jadi za...
  20. Kijana shituka, mpira wa miguu ni biashara ya watu

    Biashara ya mpira wa miguu inalipa sana. Unajazwa upepo na wewe mjinga unafula na kusema tumeujaza uwanja. Wewe hujaujaza uwanja bali wenye akili wamekujaza uwanjani kisha wanaondoka na mamilioni. Somebody mnayemwita msemaji wa timu yenu anawaambia tusikubali lazima tujaze uwanja nyie kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…